KING ASSENGA
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 928
- 1,478
Umetumwa sio bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naishi kwa sista angu sinza mori nagombania remote na ugali wa shem!
NDIO SASA UTAWAOA WEWE HATA UNGEKUA HAIL0
Na watoto wataolewa sio
Uvivu wa kufikiriNi ufara sana na huezi kuleta mademu
Mademu? kwani hana mke mpaka leo?Ni ufara sana na huezi kuleta mademu
Hapo kwa RAY KIGOSI umenichekesha sana
[emoji419]Uzuri ni wanaume tunaoamini wao ndo viongozi kwenye familia zetu. Unakuta mke alishauri wajenge akaitwa mjuaji/hana adabu kwa mumewe. Nasubiri povu
Serikali kila siku inakuambia ardhi ni yake we kiherehere cha kuijengea unakitoa wapi
Ray acha makasiriko umri km huo sio wa kukaa kwa dingi yako acha ufala[emoji23][emoji23]
Ananyumba Mbweni na Tabata segereaLE BEBEZ, u know! Free Education, free housing
Utajengaje barabarani, sehemu ambayo tunapita tuDuniani ni kama stendi tu
Unajenga stendi ili iweje wakati tunapita tu
Na New York MarekaniAnanyumba Mbweni na Tabata segerea
Haha, huyo Ray mshenzy mtu wa madem1. Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la erikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali
2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.
3.Brigedia Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?
Aliwahi kuwa brigedia jeshini,Naibu Waziri ulinzi,Mkuu wa wilaya Bagamoyo,mkuu w mkoa Singida,mhamasishaji wa CCM,Katibu mwenezi CCM,naibu katibu mkuu CCM Nk
4. Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au, anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo. Alipostaafu aliigomea Serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM.
Akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua Sokoine if at all they try to vacate him, wakampotezea.
5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk
6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofali ngapi
7.
Itaendelea
Msiba umefanyika OnlineLE BEBEZ, u know! Free Education, free housing
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jina kubwa sana hilijasiri Muongoza njia