HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Kwanza ni kosa kumlaumu mtu kisa hajajenga.Hapo ni kumlaumu bure.... 28 year mtu hutakiwi kulaumiwa kabisa
Kanumba alikuwa mdogo bado
Kuna kajamaa kako humu 2017 kalikuwa FTNA, kamemaliza CSSE 2019 kakafeli, bado kapo kwa wazazi, kanajifanya kashauri.
Watanzania wengi wanasema wanajenga ila ni vichekesho