Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile kampeni inachochewa na umaskini.KATAA NDOA.
NDOA NI UTAPELI.
AFYA YA AKILI NI MUHIMU SANA KATIKA MAISHA YAKO.
Kumbe mwisho wa yote ni kukosekana kwa chapaa tu daaah....[emoji2960][emoji28]
Unauhakika kuwa Boss Ruge Hakujenga ama Unajilimbwasa tu...!? Acha kukariri licha ya kuwa na mijengo mikali Dar, Mwanza, Arusha na Bukoba Boss Ruge alikuwa anamiliki Mashamba makubwa saana kule Morogoro, Mbeya na Iringa..... Ruge akili kubwa kuliko unavyofikiria wewe1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay
ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali
2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.
3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?
4.Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea
5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk
6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi
7.Ruge Mutahaba
Huyu ni kama alijua atakata moto mapema akaona isiwe taabu
Itaendelea
si ndo hao wanavimba humu wanaendekeza mfumo dume hawataki ushauri wowote kutoka kwa wake zaoWakati mwingine wanaume wenzetu wanakuwa majinga sana. Ni ushamba na kutojiamini tu
Hamna povu,, umesema kweli.Uzuri ni wanaume tunaoamini wao ndo viongozi kwenye familia zetu. Unakuta mke alishauri wajenge akaitwa mjuaji/hana adabu kwa mumewe. Nasubiri povu
😂😂😂Ushamba mbona marehemu wa juzi hakujenga kwao ...Mnataka mtu ajenge ili mumuue kabisa ,huko migombani pamebaki wajane na makuburi ya wanaumeJe wewe umejenga kajibanda pwani? Unaona Moshi majumba ya hatariiii migombani yapo wazi tu. Uchagani hamna nyumba ya tope.
Mkuu acha kupotosha toka hapo clouds fmUnauhakika kuwa Boss Ruge Hakujenga ama Unajilimbwasa tu...!? Acha kukariri licha ya kuwa na mijengo mikali Dar, Mwanza, Arusha na Bukoba Boss Ruge alikuwa anamiliki Mashamba makubwa saana kule Morogoro, Mbeya na Iringa..... Ruge akili kubwa kuliko unavyofikiria wewe
🤣🤣🤣kwao hapajifichiHivi mnayajuaje haya yote?
Au aje ilazo ddm hapaSure mkuu nyumba za watanzania wengi ni Mapagale ,ukitaka kuona nyumba fika Mbweni JKT.
Kwenye hili sitamsamehe kabisa Madam Wema. Alaaniwe yule aliyemshauri kupunguza mwili.Alikuwa anamiliki tako. Nalo lilitoweka
Makazi ya kudumu ya kimwili yapo futi sita chini. Au wengine wanachomwa kabisa.Makazi ya mbinguni ni ya kiroho sio ya kimwili
Aaah,kumbe hujajenga game change?ndo uanze kujenga sasaHuu Uzi wako ungenoga zaidi baada ya kumaliza Kuwananga na Kuwacheka Wenzako na Wewe hapo chini ungetuwekea idadi ya Nyumba zako unazozimiliki na alizojenga Baba yako Mzazi.
Otherwise unaonekana ni Mswahili, mpenda Majungu, una Chuki Binafsi, mwenye Wivu na Ujuha mwingi Kichwani mwako.