Outings na mwanaume wa hivi ni uchafu

Matter call yako, we unajuwa hela kaipatia wapi mpaka umpangie!!?. We kula hata kama ni mishkaki ya jero usipo taka watakula malaya waliokuzidi utimamu wa akili
 
Tukikufatilia Kitu pekee unachomiliki ni vipedo , mewani kama unachomelea mageti, na lipstick alafu unajiona mjanja
 
Matter call yako, we unajuwa hela kaipatia wapi mpaka umpangie!!?. We kula hata kama ni mishkaki ya jero usipo taka watakula malaya waliokuzidi utimamu wa akili
,😂 we bwana
 
Si wengine outing tuna kula ugali na kitimoto rost au choma alafu tuna shushua na konyagi
 
Wanawake wa Dar na wanaume wenu mnafanana .



Agiza Kange la samaki, ugali wa muhogo, Juice nzito safi, maji ya Kilimanjaro .

Agiza Nyama ya mbuzi ya kuchomwa kilo 2, kichuri pemben, Ugali ,Juisi Maji

Watu wa Dar mnashida gan???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…