Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
- Thread starter
-
- #101
naam wana sema uki weza kudhibiti zipu ya suruali yako, basi ume shinda mtihani mkubwa Kama mwanaume.Sahihi kabisa, uanaume ni pamoja na kuweza kuzitawala hisia. Sio kila shimo ni la kuingia.
Ngono ni udhaifu namba moja kwa mwanaume, ukiishinda hiyo tamaa wewe ni kidume, its not easy hata kidogo.naam wana sema uki weza kudhibiti zipu ya suruali yako, basi ume shinda mtihani mkubwa Kama mwanaume.
Nah, A paying generator ain't what I'm trying to be ma nigga.If you can pay for convenience, do it
Nime fika kwenye level hiyo kaka, licha ya kuwa na access za hapa na pale.Ngono ni udhaifu namba moja kwa mwanaume, ukiishinda hiyo tamaa wewe ni kidume, its not easy hata kidogo.
Sawa chief ujumbe umetufikiaKutoa pesa kununua UCHI/MALAYA ni ushamba, upumbavu, laana & zaidi ya yote ni dalili ya kuwa na IQ ya funza kula mizoga.
Unawezaje kulala na mtu usiyemjua? Unawezaje kulala na mtu anayelalwa na zaidi ya wanaume 10 kwa siku?Unajichotea tu mikosi, balaa & roho chafu bila kujua.
tafuta mwenza mmoja tulia, haikuondolei urijali wako ila una Linda afya ya Mwili, akili na roho yako.
udomo zenge ni concept ya kufuchia ujinga tu, infact uki shindwa approach mchuchu waweza mwambia hata rafiki yake aku pigia pasi.Madomo zege waponee wapi ,wavivu wa kufikiri wanafanyia kazi uchi zao
Naam tuishi humuSawa chief ujumbe umetufikia
Duh mchango wa Malaya kumbe ndio huo?,damn itMalaya pia wana mchango wao kwenye jamii kupunguza kiu ya wale wanaume wasioweza kupata tendo kwa njia rasm kama kutongoza na kuoa... Kuna kes za ubakaj ukizskia mpka mchungaj utamskia anasema wapo ad wanawake wa 3000 lakn kaenda kubaka.. ndio ujue hao n kama chumv na sukar usipoihitaj asubh utaitumia jion
Hongera sana, wengine pamoja na uzee wetu we ain't backing off just yet😅Nime fika kwenye level hiyo kaka, licha ya kuwa na access za hapa na pale.
Interaction ya warembo wa kila namna, ila naamua kukaa kwenye box langu.
mazoezi, dedication ya ninacho kihitaji, recuperation vina nisaidia Sana kuwa makini.
Upo kijanaNaam tuishi humu
Aisee just because your chick ni Malaya, haimaanisni kila mwanamke yuko hivyo bob.UTULIE NA DEMU YUPI? KUNUNUA INAPENDEZA NA WALA HAINA STRESS.
UNASEMA DEMU WAKO UNATULIA NAE AU MNATULIA NAE MKIPEWA RATIBA KILA MTU? NI NGUMU KUPATA MARADHI YA ZINAA KWA MALAYA LAKINI KWA HUYO UNAYEMWITA DEMU WAKO NI FASTA.
Ndio Ile wanasema Mara Moja moja nafungua mkanda😂😁Hongera sana, wengine pamoja na uzee wetu we ain't backing off just yet😅
Nipo kabisaUpo kijana
You will reap, what you sowBado natafta chimbo la mwisho la malaya ili nile wa mwisho nitulie na kuoa
Kama umeadimika au ulifariki😃Nipo kabisa
Nakazia, tamaa tu.hamna kitu zaidi ya kuendekeza tamaa tu, kwani Kuna na mwenza mmoja mwaminifu Ina ondoa ladha ya tendo mkuu?
Vyovyote utakavyo iweka ni sawaKama umeadimika au ulifariki😃
Nambie kwa kiswahili mkuu. Sijaelewa ata neno apoYou will reap, what you sow