Oya mbona hii Taarifa ya Max Zengeli anaondoka kuelekea Morocco inafichwa sana kwa Sisi wana Yanga SC wenye Uchungu?

Oya mbona hii Taarifa ya Max Zengeli anaondoka kuelekea Morocco inafichwa sana kwa Sisi wana Yanga SC wenye Uchungu?

Kipindi kile ulituambia Max ana mgomo wala hakua majeruhi baadae tukamouna uwanjani leo umekuja na jipya tupe mrejesho kwanza wa lile la kwanza kabla hatujatoa maoni kwenye hili
 
Back
Top Bottom