Tetesi: P Diddy ahusishwa na kifo cha Notorious B.I.G

Du aloo hii sio mchezo
 
Hapa umeteleza, aliuawa Las Vegas ambayo iko jimbo la Nevada sio Texas, Nevada ni jimbo na Texas ni jimbo pia..ambayo yako kwenye different geographical areas.
Kweli mkuu hapo niliteleza kweli. Nakushukuru sana kwa kunisahihisha kiungwana.
Tofauti na wengine ambao wanaokoteza makosa madogo madogo kama haya na kuamua kuyafanya ajenda ya kupingana na ukweli nilioandika.
 
Mpaka sasa hujaleta ushahidi wowote kuhusu nadharia zako. Unaleta stori za vijiweni tu.
-Orlando alikuwepo MGM Grand, Las Vegas usiku wa September 7.
-Orlando alishambuliwa na Tupac pamoja na entourage ya Deathrow usiku huo (motive).
-Mshikaji wake wa karibu anayeitwa BG Knoccout ameshaongea kwenye mahojiano mbali mbali kama Vladtv na Art of the Dialogue podcast na akasema wazi kwamba Orlando baada ya kurudi Compton alikuwa ana-brag kwamba ndiye shooter.
-Kwenye documentary ya Murder Rap, Keefe D, mbele ya lawyer alisimulia kisa chote cha usiku wa September 7 na kukiri kwamba Orlando alikuwa shooter.

Ni kweli nimeokoteza taarifa kama ulivyosema lakini wewe hata hint hauna. Unaleta hekaya tu bila facts zozote.
 
Hiyo picha ya BMW haionyeshi sehemu ambayo Tupac aliuawa. Baada ya shambulio Suge Knight alipiga U turn na kupanda ukingo wa barabara na kurudi walikotoka. Kwa kupanda ukingo gari likapata pancha na wakashindwa kuendelea. Hapo ni mahali ambapo gari lilikwama, sio mahali lilipofanyika shambulio. Ungekuwa unajua hii ishu usingeposti kwamba hiyo picha ni sehemu ambayo Pac alishambuliwa.

Uongo mwingine ni kusema eti Tupac alipigwa risasi baada mademu kumuita na akafungua dirisha. Dirisha la upande wa Tupac lilikuwa wazi muda wote wa Safari yao ya kutoka hoteli ya The Luxor walikofikia kwenda Club ya 662. Nina uhakika hujui lolote kuhusu hilo. Mademu walimuita baada ya kumuona Tupac kwa sababu dirisha la upande wake lilikuwa wazi. Ushahidi ni hii iconic picture ya Tupac dakika kadhaa kabla Cadillac nyeupe haijafika pembeni yao na shambulio kutokea.
 
Basi tufupishe wewe kwa kuamini unachoamini na mimi niamini ninachoamini. Simple like that.
 
Anyway kwa kufupisha tu wewe baki na matango pori yako uliyolishwa. Hakuna hata neno moja la maana uliloandika.
Wewe ni wale mnaosubiri mtu aandike jambo fulan afu mrukie fasta kujifanya mnakosoa bila kuonesha fact ya ukosoaji wenyewe.
Yani umeshagundua kuwa wewe binafsi hauwezi kuandika lolote likaeleweka hadi urukie kile alichoandika mungine kwa ku quote ndo uonekane kuwa na wewe ujua kila kitu na wakati unachoandika hakina mashiko yoyote kwa watu wenye akili.
 
Huyo jamaa story zake ni zile conspiracy theories. It is well known shooter ni Orlando au mtu aliekuwa nao kwenye ile gari usiku ule kama tukiamua kutokumuanini Keefe D. 2Pac kafa sababu ya gang stuff, hakuna cha FBI wala nani. Ni ujinga ulimcost. Biggie kafa kama collateral.
 
Naona umekuja na ID nyingine ya ku quotes ile comment yako ya juu.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wabongo bado tuna safari ndefu sana. Yani mtu anaamua kutumia ID mbili tofauti kwa sababu tu ya mambo madogo kama haya dah...

Vijana wengi wa kiafrika haswa wakibongo wamekuwa hawafahamu mifumo ya kibaguzi wa rangi inayotumiwa na vyombo vya usalama vya Marekani, na ndio maana haishangazi kuona polisi mzungu anauwa mtu mweusi kimya kimya na jumba bovu kudondoshewa gang au mtu mweusi mwenzake ili kupoteza ushahidi wa ukatili wao.

Hata hayo makundi unayosema ya gang members, mengi yanapewa silaha na hao hao polisi na vyombo vingine vya usalama ili wauwane wao kwa wao. Ila kama hauna uwezo au ujanja wa kufikiria nje ya box hauwezi kulijua na kulitambua hili zaidi ya kukariri ma puppet fulan wanaopewa pesa na hao hao wana usalama ili waje wapotoshe jamii na kupoteza ushahidi.

Nina imani kama isingekuwa mambo ya mitandao kupanuka duniani na watu kujua ukweli wa kile kinachoendelea katika dunia basi hata mauaji ya kina....
1) George Floyd
2) Daunte Wright
3) Andre Hill
4) Manuel Ellis
5) Breonna Taylor
..... na wengine wengi yangeonganishwa na matukio ya kihalifu. Kwamba mauaji yao yangeonekana yametokana na magenge fulani ya kihalifu kama yale yaliohusishwa na vifo vya kina 2pac nk. Lakini kwa vile dunia ya leo sio sawa na ile ya kina 2pac basi imekuwa ngumu wao (polisi) kujiweka mbali na mauaji hayo kama walivyozoea huko nyuma.
 
Usitudondoshe ukaishia kusepa ,unafatiliwa ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…