Tetesi: P Diddy ahusishwa na kifo cha Notorious B.I.G

Upo sahii mkuu nakubaliana wewe baadhi ya mambo.Lakini gangs afliation za L.A kama piru,s as bloods sets na crips na seti zake na latino kingz na seti zake zote zinahusika na vifo vya watu wengi including Pac.Na undercover wengi wa serikali ya marekani ni members wa hizo gangs.So lolote liliweza kutokea huo mwaka 1996.
 
Kenneth Superme alihusika pia na 50 cent kupigwa risasi baada ya 50cent kumdis kwenye ile hit ""How to rob""
 
Kwani suge knight si yupo jela anatumikia kifungo,, huko mahakamani ana misala mingine au amekataa rufaa,,
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani mle alimtukana Big mpaka mtu aliekuwa anasikiliza nyimbo za Big nae alihusishwa kwenye matusi.
*uck Mobb Deep, *uck Biggie
uck Bad Boy as a staff, record label and as a mother*ucking crew
And if you want to be down with Bad Boy, then *uck you too
Chino XL, *uck you too
All you mother*uckers, *uck you too..Hapo imetukanwa label ya bad boys na wafanyakazi wake wote hadi wafagiaji,Mobb Deep nao wakaingizwa humohumo na yeyote anayejihusisha au kuihusudu Bad Boy nae kaingizwa ilikuwa hatar sana hiiπŸ˜€
 
SugeKnight si yupo ndani kifungo cha miaka 25 kwa kuau kwa kukusudia...alimgonga jamaa ambaye alikuwa na bifu naye makusudi hadi jaa kufariki
 
SugeKnight si yupo ndani kifungo cha miaka 25 kwa kuau kwa kukusudia...alimgonga jamaa ambaye alikuwa na bifu naye makusudi hadi jaa kufariki
Suge anakesi zaidi ya 15,mwezi uliopita alipandshwa mahakamani kwa kesi ya ubakaji ndipo alipokutana na mama ake biggie...

Suge bado ana mawe yakutosha na anabase kuwa nje ya jela...hashindwi.
 
Hata na mimi nakubaliana kwa namna fulan ya kile ulichoandika. Ila kusema kuwa gangs wa LA watakuwa wamehusika ma mauaji hayo kidogo inanifanya nisikubaliane na wewe moja kwa moja.

2pac pale LA ndio alikuwa kama ngao yao kimziki na kingome. Pac alikubalika sana LA mpaka akajiona kama vile pale ndipo alipopaswa kuzaliwa.

Shambulio la 2pac lilifanyikia Nevada katika jimbo la Texas. Sheria za Texas haziruhusu mtu yoyote kutoka nje ya jimbo hilo kuingia na silaha ndani ya jimbo lao, na hiyo ndio sababu iliyosababisha kina 2pac na ulinzi wao wasiingie na silaha jimboni humo.

Lingine unafikiri hao wauaji walijuaje kama 2pac hakuwa na kinga ya kuzuia risasi kama sio mpango mahususi ulipangwa na watu wakubwa. Ukiangalia ile historia ya 2pac ambayo alikuwa anasimulia mwenyewe maisha yake toka utoto hadi kifo kilipotokea, utaona kuna sehemu wakati kina 2pac wakienda club walikutana na polisi wale wa beskeli, wale polisi wakaongea kwa muda na kina 2pac afu wakawaruhusu waendelee na safari yao.

Haikupita muda wakafika katika mataa na kukuta mataa ya upande wao yamefunga, hivyo ikawalazimu wasubiri mataa yaruhusu ndo waendelee na safari. Sasa katika mazingira hayo ndio shambulizi lilipotokea.

Kwahiyo inaweza kuwa kweli vijana wamepewa deal na wakubwa kwa ahadi kwamba hawatafuatiliwa na vyombo vya usalama. Kwahiyo na wao kwa makubaliano hayo wakafanya yao na jumba bovu kuangushiwa kina Orlando na Big ambao hawajui hili wala lile.

Wahenga walisema mdomo uliponza kichwa. Nyimbo ya Big who shot ya imemponza, na dogo Orlando lile pambano likatumiwa kama njia ya wauaji kufikia malengo yao.
 
Hii issue ni ngumu sana kung'amua kama ingekuwa rahisi basi naamini kuna watu wangeshajitosa mazima kujua ukweli. Either kwa ujiko tu au ku piga hela.

ila huwa nawaza wale outlawz wanaweza kuwa na abc's za waliomwangusha big maana kwa aina ya kifo alichokufa pac lazima jamaa wangeingia chimbo kulipa kisasi. Kama upande wa pac hawakuhusika moja kwa moja lazima outlawz kama washkaji wa karibu wa pac wangetamani kujua nani alimwangusha big.

Katika wa watu mwanzo waliamini kurejea kwa pac mimi nilikuwa mmoja wao ile tarehe ili pofika kimya nikaamini nikajua jamaa alikufa kweli.
All in all baada ya kusoma vitu vingi mitandaoni naamini all was set up kuwaondoka wote (kuwaangusha).

Ukirudi nyuma jinsi hali ya east n west side zilivyokuwa unawaza hivi leo ingekuwaje. ilikuwa hatari sana. hizi habari za suge knight sijui diddy sijui Orlando ni uzushi tu.
 
Walimchapa risasi nyingi zaidi ya tisa. Na alienda hospital akiwa mahututi na ndipo akalazwa sana. Alikaa sana benchi.
 
Bila kuwasahau Lil Kim na Da Brat nao waliwekwa kwenye list ya watukanwaji 🀣🀣🀣
 
Kweli kabisa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…