Naona umekuja na ID nyingine ya ku quotes ile comment yako ya juu.
[emoji23][emoji23][emoji23] wabongo bado tuna safari ndefu sana. Yani mtu anaamua kutumia ID mbili tofauti kwa sababu tu ya mambo madogo kama haya dah...
Vijana wengi wa kiafrika haswa wakibongo wamekuwa hawafahamu mifumo ya kibaguzi wa rangi inayotumiwa na vyombo vya usalama vya Marekani, na ndio maana haishangazi kuona polisi mzungu anauwa mtu mweusi kimya kimya na jumba bovu kudondoshewa gang au mtu mweusi mwenzake ili kupoteza ushahidi wa ukatili wao.
Hata hayo makundi unayosema ya gang members, mengi yanapewa silaha na hao hao polisi na vyombo vingine vya usalama ili wauwane wao kwa wao. Ila kama hauna uwezo au ujanja wa kufikiria nje ya box hauwezi kulijua na kulitambua hili zaidi ya kukariri ma puppet fulan wanaopewa pesa na hao hao wana usalama ili waje wapotoshe jamii na kupoteza ushahidi.
Nina imani kama isingekuwa mambo ya mitandao kupanuka duniani na watu kujua ukweli wa kile kinachoendelea katika dunia basi hata mauaji ya kina....
1) George Floyd
2) Daunte Wright
3) Andre Hill
4) Manuel Ellis
5) Breonna Taylor
..... na wengine wengi yangeonganishwa na matukio ya kihalifu. Kwamba mauaji yao yangeonekana yametokana na magenge fulani ya kihalifu kama yale yaliohusishwa na vifo vya kina 2pac nk. Lakini kwa vile dunia ya leo sio sawa na ile ya kina 2pac basi imekuwa ngumu wao (polisi) kujiweka mbali na mauaji hayo kama walivyozoea huko nyuma.