George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Lahaulaaaaaaaaah!
😑😑😑
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lahaulaaaaaaaaah!
Lazima vyuma vilisuguana. Moto uliwaka.Mh anasema waliingia wakakuta mwamba ana mabaunsa wana vyuma kabisa,na mwenyeji wao swizz aliishia coridoni😁😁😁.
Yesu wangu,nini hiki kinanijia kichwani???shindwa pepoooo wa hisia mbaya.
Mbona umemuita huyu mchaga wa kubet!!??
Ajibu shutumaMbona umemuita huyu mchaga wa kubet!!??
Habari umeokoteza mtandaoni bila ushahidi wowote unauleta humu kupiga porojo....stupid wahed🚨
Huyu jamaa nilidhania anasingiziwa kumbe ni mshenzi kweli. P. Diddy aka Mr Love anaeshutumiwa kwa makosa mbalimbali ya udhalilishaji wa ki ngono kwa wanawake na wanaune nimeona kwenye moja ya mahojiano yake (crip) anaweka wazi kuwa hamu yake ya kufanya mapenzi huwa haichagui mwanamke au mwanaume bali itategemea na mood na vibe atakayokuwa nayo wakati huo.
Alafu anaulizwa kama ameshmbandua Meek Meel ambaye ni producer wa kiume anajibu kuwa hilo hawezi kulisema kama ni kweli au si kweli.
Malalamiko ya huyo producer ni kwamba aliliwa kiboga na Didy ili asaidiwe kupata tuzo ya Grammy ya producer bora wa mwaka.
Yaani yeye alikuwa ana exchange matako ya mtu na heshima unayoitaka. Dah! Alafu huyu jamaa alikuwa karibu sana na Burna Boy wa Nigeria na ndiyo aliyemsaidia kupata tuzo mbalimbali kubwa za kimataifa.
Hili suala limenishtua sana na sasa ndiyo najua hata wasanii wetu wa Afrika ikiwemo hawa wa Tanzania ambao hadi wanapigiana video call na Rick Ross kuna siri nyingi sana nyuma yao zinazowafikisha hapo ambapo wakati ukifika itagundulika tu.
Napata shaka sana juu ya mond kama hajabanduliwa na huyu filauni sababu nimemuona yeye na mameneja wake wakieleza waliwahi fika nyumbani kwa Didy
Nilichojifunza ni kwamba dunia imeharibika sana hivyo siyo busara kutamani mafanikio ya mtu maana kuna wengine wameyapata kwa gharama ya kuudhalilisha utu wao aisee🤔🤔
Vijana wenzangu turidhike na maisha yetu aliyotujaalia Mwenyezi Mungu kwani shetani siyo mwema ki hivyo hadi akupe maisha mazuri bure bure.
Asante sana kwa mchango wako kitoto kizuri kuliko dada yakoHabari umeokoteza mtandaoni bila ushahidi wowote unauleta humu kupiga porojo....stupid wahed
Ukisoma maovu yake kwa umakini utaona kuwa hana tofauti kabisa na Mohammed, sema tu Diddy hana hulka ya kuoa wajane na vitoto vidogo kama Aisha.🚨
Huyu jamaa nilidhania anasingiziwa kumbe ni mshenzi kweli. P. Diddy aka Mr Love anaeshutumiwa kwa makosa mbalimbali ya udhalilishaji wa ki ngono kwa wanawake na wanaune nimeona kwenye moja ya mahojiano yake (crip) anaweka wazi kuwa hamu yake ya kufanya mapenzi huwa haichagui mwanamke au mwanaume bali itategemea na mood na vibe atakayokuwa nayo wakati huo.
Alafu anaulizwa kama ameshmbandua Meek Meel ambaye ni producer wa kiume anajibu kuwa hilo hawezi kulisema kama ni kweli au si kweli.
Malalamiko ya huyo producer ni kwamba aliliwa kiboga na Didy ili asaidiwe kupata tuzo ya Grammy ya producer bora wa mwaka.
Yaani yeye alikuwa ana exchange matako ya mtu na heshima unayoitaka. Dah! Alafu huyu jamaa alikuwa karibu sana na Burna Boy wa Nigeria na ndiyo aliyemsaidia kupata tuzo mbalimbali kubwa za kimataifa.
Hili suala limenishtua sana na sasa ndiyo najua hata wasanii wetu wa Afrika ikiwemo hawa wa Tanzania ambao hadi wanapigiana video call na Rick Ross kuna siri nyingi sana nyuma yao zinazowafikisha hapo ambapo wakati ukifika itagundulika tu.
Napata shaka sana juu ya mond kama hajabanduliwa na huyu filauni sababu nimemuona yeye na mameneja wake wakieleza waliwahi fika nyumbani kwa Didy
Nilichojifunza ni kwamba dunia imeharibika sana hivyo siyo busara kutamani mafanikio ya mtu maana kuna wengine wameyapata kwa gharama ya kuudhalilisha utu wao aisee🤔🤔
Vijana wenzangu turidhike na maisha yetu aliyotujaalia Mwenyezi Mungu kwani shetani siyo mwema ki hivyo hadi akupe maisha mazuri bure bure.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hadi polisi wanaogopa kwenda kumkamata wakihofia usalama wa vijambio vyao
Sio kweliNikiisikia Mtaani hapa hata yule mchambuzi wa mpira (Sports Arena)wa radio yake alimpa crown na ameshamtatua Malinda [emoji23][emoji23]
Muddy wa Qur'an, yule mshikaji wa shetani na majiniMohamed Gani? Huyu wa Simba au yule Mwameja?
Muddiest MuddyMuddy wa Qur'an, yule mshikaji wa shetani na majini
Umekurupuka kuandika uzi wako, huyo producer anaitwa Rodney jones 'Lil Rod'[emoji599]
Huyu jamaa nilidhania anasingiziwa kumbe ni mshenzi kweli. P. Diddy aka Mr Love anaeshutumiwa kwa makosa mbalimbali ya udhalilishaji wa ki ngono kwa wanawake na wanaune nimeona kwenye moja ya mahojiano yake (crip) anaweka wazi kuwa hamu yake ya kufanya mapenzi huwa haichagui mwanamke au mwanaume bali itategemea na mood na vibe atakayokuwa nayo wakati huo.
Alafu anaulizwa kama ameshmbandua Meek Meel ambaye ni producer wa kiume anajibu kuwa hilo hawezi kulisema kama ni kweli au si kweli.
Malalamiko ya huyo producer ni kwamba aliliwa kiboga na Didy ili asaidiwe kupata tuzo ya Grammy ya producer bora wa mwaka.
Yaani yeye alikuwa ana exchange matako ya mtu na heshima unayoitaka. Dah! Alafu huyu jamaa alikuwa karibu sana na Burna Boy wa Nigeria na ndiyo aliyemsaidia kupata tuzo mbalimbali kubwa za kimataifa.
Hili suala limenishtua sana na sasa ndiyo najua hata wasanii wetu wa Afrika ikiwemo hawa wa Tanzania ambao hadi wanapigiana video call na Rick Ross kuna siri nyingi sana nyuma yao zinazowafikisha hapo ambapo wakati ukifika itagundulika tu.
Napata shaka sana juu ya mond kama hajabanduliwa na huyu filauni sababu nimemuona yeye na mameneja wake wakieleza waliwahi fika nyumbani kwa Didy
Nilichojifunza ni kwamba dunia imeharibika sana hivyo siyo busara kutamani mafanikio ya mtu maana kuna wengine wameyapata kwa gharama ya kuudhalilisha utu wao aisee[emoji848][emoji848]
Vijana wenzangu turidhike na maisha yetu aliyotujaalia Mwenyezi Mungu kwani shetani siyo mwema ki hivyo hadi akupe maisha mazuri bure bure.
Hii hatari hii, tuwapime kwa kupiga tochi kwenye nya zaoNdio hivo hawa wasanii wana mengi sana, itabidi tuanze kutupia jicho kwa wasanii wote waliopewa collabo na Hawa wasanii wa nje isije kuwa viboga vilihusika 🤣🤣🤣
Kwani hana trako!Uchu ni mbaya sana, sijui kama Diamond kapona
AiseeKwani hana trako!
Nadhani kwenye masuala ya kiroho Kinyeo kina nafasi yake ya kipekee! Tuwaulize wataalamu wa kiroho.
Tuna wasiwasi na Justin Bieber aisee...🚨