P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

Mkuu snoop sio Blood Yule Ni Crip aka Cwalk
 
Hahahahah nyokow
Zile jela zao tu wamejazwa serial killers , wavuta madawa ya kulevya ,physchopaths ,mapedophiles wabakaji ,vibaka ,majambazi nk
Unaenda kukutana na majitu ambayo hujawahi kudhani kama yana exist dunia hii .
Jela za Marekani penyewe mtoto wa mama anainamishwa kirahisi sana ,maana kuna washenzi mule wameshindikana.
 
Kuna Series moja ya kitambo inahusu uharifu unaofanyika jela inaitwa OZ


Hicho unachokisema nimekiona mule ni noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…