Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 2,737
- 5,464
Mkuu snoop sio Blood Yule Ni Crip aka CwalkSnoop na Tupac gang wao ni west coast hasa California so ni bloods ,east coast watoto wa mjini Newyork ni hao akina Didy na magenge yao ndio crips
Hizi vita za magenge ya wahuni mitaani Marekani hasa bloods na crips Ndio zilozochochea hilo battle pia ,Maana batttle walipeleka mitaani kabisa