P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

Snoop na Tupac gang wao ni west coast hasa California so ni bloods ,east coast watoto wa mjini Newyork ni hao akina Didy na magenge yao ndio crips
Hizi vita za magenge ya wahuni mitaani Marekani hasa bloods na crips Ndio zilozochochea hilo battle pia ,Maana batttle walipeleka mitaani kabisa
Mkuu snoop sio Blood Yule Ni Crip aka Cwalk
 
kwa TD Jakes mbona kama mnaleta utani
Huyu shababi anaazaje kupigwa Rungu?😂
images (7).jpeg
 
Hahahahah nyokow
Zile jela zao tu wamejazwa serial killers , wavuta madawa ya kulevya ,physchopaths ,mapedophiles wabakaji ,vibaka ,majambazi nk
Unaenda kukutana na majitu ambayo hujawahi kudhani kama yana exist dunia hii .
Jela za Marekani penyewe mtoto wa mama anainamishwa kirahisi sana ,maana kuna washenzi mule wameshindikana.
 
Kuna Series moja ya kitambo inahusu uharifu unaofanyika jela inaitwa OZ

Hicho unachokisema nimekiona mule ni noma
 
Back
Top Bottom