P Funky Majani (Godfather wa Bongofleva) ni mzaliwa wa wapi? Je, ni mtanzania halisi au kachanganya?

Huyo P funky kaanza kutumia sana kiswahili baada ya kujihusisha na bongo flava. Kabla ya hapo kiswahili kwake ni muda mfupi sana alikuwa anakitumia. He isnt pretending.
 
Mzawa na baba yake ni raia wa Netherland ila sheria ya tanzania inasema kwa wote waliozaliwa tanzania baba akiwa ni mgeni lazima wanapofika umri wa miaka 18 lazima waende mahakamani kukana uraia wa baba sasa nina uhakika hajafanya hivyo bado ni mboga au kitoweo cha uhamiaji.
 
Hapo hao wana tofauti gani na wewe unayekesha kutafuta Vocabulary ili uje ukomoe watu humu JF? Tena wakati mwingine una quote mtu aliyeandika Kiswahili safi kabisa na wewe kumwaga malugha yako..

Fisadi kuu hivi hicho kidoti kwenye avatar yako uwa ni sjida?
 
Ni ushamba tu unaowasumbua,ebu waambie waende kwenye interview ya kingereza kitupu kama hawatambwela,ninachojiuliza ni je wakiwa nje wakihojiwa kwa kiingereza pia huwa wanachanganyaga na kiswahili??maana kwa hali yeyote kiswahii ndio lugha wanayoifahamu kwa ufasaha zaidi kuliko hicho kingereza
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umenivunja mbavu chaa cjui umewaza nn!
 
International School of Tanganyika. Ada Mil 15


Shule ya Sekondari Masela. Ada Bure (Kiingilio miguu yako).

Usikute kuna mtu analalamika kafelishwa hapo.
Dadeki!
 
Hapo hao wana tofauti gani na wewe unayekesha kutafuta Vocabulary ili uje ukomoe watu humu JF? Tena wakati mwingine una quote mtu aliyeandika Kiswahili safi kabisa na wewe kumwaga malugha yako..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shkamoo Fisadi.
 

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila kingereza chenye swaga za mamtoni kitamu acheni tu.

Watu hawa wakiongea huwa sitamani waache The bold & Seven Mosha.
 


Mkuu hao wote uliowataja ni fake. Diamond na Hasheem Kiingereza wamjuwa hivi majuzi tu na mpaka leo bado hawakijuwi vizuri ila wanajifanya hawajuwi Kiswahili....Ukisikia utumwa wa kiakili ni huu. Hasheem mpaka leo akiwa Marekani anaogopa kuongea na wamarekani weusi kuogopa kuchekwa kwa ajili ya lafudhi yake kuwa ngumu na Domo ndiyo kabisaaaa, yaani bora aongee tu Kiganda.
 

Basi noma sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…