Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha sasa yeye mama yake kamsomesha USA vidudu hadi Uni....dunia tofauti.Lakini pia ana kipato kizuri million kumi nikiipata namfungulia MAMA japo kimradi
Yeah that's HOPAC... Iko Africana kama unaenda TegetaHeaven of Peace Academy I think.
Hata Harmorapa?Shilole, Wema Sepetu, Ali Kiba, TID, JayDee, Harmorapa wote hawajui kiswahili vizuri. Mara nyingi wanategemea sana kiingereza ili kunyosha story zao.
Hata sisi wa Kwamtogole pia, tukiishaanza tuition pale kwa Ras Simba basi tunaongea "you know let me tell you, yule jamaa bwana, I don't think so"
Huyo P funky kaanza kutumia sana kiswahili baada ya kujihusisha na bongo flava. Kabla ya hapo kiswahili kwake ni muda mfupi sana alikuwa anakitumia. He isnt pretending.Watangazaji pia wanaweza kuwa wanamfanya aegamie upande fulani ktk matumizi ya lugha iwe Kiingereza au Kiswahili kama mfano wa clip mbili nilizoweka, P-Funk na mtangazaji wa Bongo5 TV ni watu wana ''rapport / bond '' yaani mzuka wao ni wa aina moja. Na hakika hata angekuwa yupo studio za Mkasi TV pia itakuwa hivyo hivyo.
Hivi anajiita P Funk au P Funky?Huyo P funky kaanza kutumia sana kiswahili baada ya kujihusisha na bongo flava. Kabla ya hapo kiswahili kwake ni muda mfupi sana alikuwa anakitumia. He isnt pretending.
Mzawa na baba yake ni raia wa Netherland ila sheria ya tanzania inasema kwa wote waliozaliwa tanzania baba akiwa ni mgeni lazima wanapofika umri wa miaka 18 lazima waende mahakamani kukana uraia wa baba sasa nina uhakika hajafanya hivyo bado ni mboga au kitoweo cha uhamiaji.Habari zenu ndugu zangu napenda kujua historia ya huyu producer mkongwe hapa nchini nimeangalia interview zake mbalimbali nimevutiwa na uwezo wake wa kuelezea vitu pia huyu jamaa ana content Sana hababaishi.
Napenda kujua asili yake kwa sababu kwenye interview zake nyingi anaonekana kiswahili kumpa shida sana katika uzungumzaji wake kama sio mbwembwe.
Ukfatilia interview alofanya na dj Lil omy wa times FM utagundua nilichokisema
Hivyo basi nakaribisha michango yenu kwa anayejua historia ya pfunky majani
Hapo hao wana tofauti gani na wewe unayekesha kutafuta Vocabulary ili uje ukomoe watu humu JF? Tena wakati mwingine una quote mtu aliyeandika Kiswahili safi kabisa na wewe kumwaga malugha yako..
Ni ushamba tu unaowasumbua,ebu waambie waende kwenye interview ya kingereza kitupu kama hawatambwela,ninachojiuliza ni je wakiwa nje wakihojiwa kwa kiingereza pia huwa wanachanganyaga na kiswahili??maana kwa hali yeyote kiswahii ndio lugha wanayoifahamu kwa ufasaha zaidi kuliko hicho kingerezaVijana wengi wa Kitanzania hususan hawa millennials hupata shida kuongea Kiswahili kitupu kilichonyooka.
We jaribu kumsikiliza yule mwigizaji Lulu uone.
Jaribu tu kuwasikiliza wabongo fleva...hata Diamond naye siku hizi kaanza kuwa hivyo.
Yule mcheza kikapu Hashimu Thabiti ndo kabisaaa....utadhani hajazaliwa Dar au Tanzania. Huwa anapata shida sana kuongea akiwa anaongea Kiswahili.
Sijajua hasa tatizo ni nini lakini ninahisi mojawapo ya sababu ni kutaka kujifanya u wa hali na hadhi fulani [kwa kuchomekea sana maneno ya Kiingereza] na pia kutokujua vizuri lugha yoyote ile, iwe Kiswahili au Kiingereza.
Sina uhakika lipi kati ya hayo.Hivi anajiita P Funk au P Funky?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umenivunja mbavu chaa cjui umewaza nn!Yaani uishi na kina Kobe Bryant miaka 5 asubuhi upo nao jioni upo nao mchana upo nao..mazoezini kambini na kwenye mechi halafu eti ubaki tu kuongea kama kingwendu??..huo utakua sio tu ulofa ila utakua ufala..lazima ubebe swaga za mtoni..hao mnaowaona wanakaa mbele na wakirudi wanaongea kama senga ujue walikua wanajifungia tu vyumbani huko..
heheheheheheheFisadi kuu hivi hicho kidoti kwenye avatar yako uwa ni sjida?
Gari,teh teh teh....IST ndo nn
Pole inanitosha sana Mkuu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole au hingera nkupee?!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shkamoo Fisadi.Hapo hao wana tofauti gani na wewe unayekesha kutafuta Vocabulary ili uje ukomoe watu humu JF? Tena wakati mwingine una quote mtu aliyeandika Kiswahili safi kabisa na wewe kumwaga malugha yako..
Yaani uishi na kina Kobe Bryant miaka 5 asubuhi upo nao jioni upo nao mchana upo nao..mazoezini kambini na kwenye mechi halafu eti ubaki tu kuongea kama kingwendu??..huo utakua sio tu ulofa ila utakua ufala..lazima ubebe swaga za mtoni..hao mnaowaona wanakaa mbele na wakirudi wanaongea kama senga ujue walikua wanajifungia tu vyumbani huko..
Vijana wengi wa Kitanzania hususan hawa millennials hupata shida kuongea Kiswahili kitupu kilichonyooka.
We jaribu kumsikiliza yule mwigizaji Lulu uone.
Jaribu tu kuwasikiliza wabongo fleva...hata Diamond naye siku hizi kaanza kuwa hivyo.
Yule mcheza kikapu Hashimu Thabiti ndo kabisaaa....utadhani hajazaliwa Dar au Tanzania. Huwa anapata shida sana kuongea akiwa anaongea Kiswahili.
Sijajua hasa tatizo ni nini lakini ninahisi mojawapo ya sababu ni kutaka kujifanya u wa hali na hadhi fulani [kwa kuchomekea sana maneno ya Kiingereza] na pia kutokujua vizuri lugha yoyote ile, iwe Kiswahili au Kiingereza.
Mkuu hao wote uliowataja ni fake. Diamond na Hasheem Kiingereza wamjuwa hivi majuzi tu na mpaka leo bado hawakijuwi vizuri ila wanajifanya hawajuwi Kiswahili....Ukisikia utumwa wa kiakili ni huu. Hasheem mpaka leo akiwa Marekani anaogopa kuongea na wamarekani weusi kuogopa kuchekwa kwa ajili ya lafudhi yake kuwa ngumu na Domo ndiyo kabisaaaa, yaani bora aongee tu Kiganda.