SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mo ni mhuni kuliko Ghalib,au hujui alichofanya enzi za HSC wakati wa utawala wa awamu ya nne?Wanatakiwa akina GSM na Mo wengi ni kweli lakini hawatakiwi kuzigeuza timu mke wa pili.Kataa wahuni,Mudi ni muhuni.
mpra wa sasa kazi ya kocha kufundisha mpra na mbinu zake na kuwajua wapinzani, kazi ya kusajili ina watu wake pia ,ila uzur ukiwa na kocha mwenye maono anajua kumpoint mchazaji mzur ukiwa na manegement nzur na skaut wanaojua mpra ata kama hauna kocha unasajil vzur kocha anafundisha mpra mchezaji mzur ambae anajua mpra na anajua kaz yake mpra anafundishika na kocha yoyote yuleKama kawaida yetu wabongo wanaanza kuvaa viatu, then ndio wanavaa soksi.
Watamwondoa Pablo, then watawaondoa wachezaji na usajili wa wachezaji utasimamiwa na viongozi, baada ya kumaliza kusajili ndipo watakapo msajili kocha mwengine na kumpa malengo ya timu,kupitia wachezaji walio wasajili wao viongozi na kesho watamlaumu kwa matokeo mabovu kipitia wachezaji walio wasajilo wao.
Wewe hawa wanadanganyaga na miafrica tulivyi wajinga ikishakuwaga ngozi nyeuoe hatufanyagi upekuzi wakutoshaTatizo la mpira wa nchi hii sio makocha hata muwalete wa madrid na wa liverpool, wasaidiane , hamtoboi, kocha inakuwaje asihusike kwenye usajiri?kweli kwa wenzetu hao, ni wa kudanganya cv zao?kitu ambacho ni kugumu, kwani cv ya kocha sio kama ya mlinzi
Wewe kama ni mpambe wa Kigwangalla endelea kumpamba.Mwanasiasa mzalendo Dr Kigwangalla alilamikia Uwekezaji na uendeshaji wa klabu yake pendwa Simba SC aka Makolo
Hoja zake zimeanza kufanyiwa Kazi kimya kimya
Sisi tunalipwa na CCMKwanini asiwalipe nyie UWT?
Hahaha......Wewe kama ni mpambe wa Kigwangalla endelea kumpamba.
Suala la kocha SSC lilikuwa halikwepeki na lilikuwa wazi kwa wale tunaoifuatilia timu yetu Pendwa.
Kigwangalla anaendeleza Bifu la kunyimwa mkopo wa PIKIPIKI na DEWJI.
Wala na hili halina Ubishi maana Tanzania nzima ilijua wakati ule wa Kampeni.
mpra wa sasa kazi ya kocha kufundisha mpra na mbinu zake na kuwajua wapinzani, kazi ya kusajili ina watu wake pia ,ila uzur ukiwa na kocha mwenye maono anajua kumpoint mchazaji mzur ukiwa na manegement nzur na skaut wanaojua mpra ata kama hauna kocha unasajil vzur kocha anafundisha mpra mchezaji mzur ambae anajua mpra na anajua kaz yake mpra anafundishika na kocha yoyote yule
Menejimenti ya Timu ya Simba imesema wakati Pablo anafungasha virago, Timu itakuwa chini ya Kocha Seleman Matola. Hivyo, wito wako umechelewa Mkuu!Kamati ya Usajili yatakiwa iondolewe maana wamehusika kwa sehemu kubwa na huu upuuzi
Wasimuache Matola, huyu ndiye Nyoka kwenye Timu
Ila ningekuwa mimi ndio Mwajiri ningemwacha Kocha Pablo aendelee na kazi. Ningempa kazi ya kutafuta wachezaji wa kufit kwenye mfumo wake. Mnyonge mnyongeni Jamaa ni bonge la Kocha ila anaangushwa na Wachezaji wenye umri mkubwa na wasiojituma! Ikiwezekana Azam FC wamchukue huyu Bwana maana yule Kocha wao mmh, ni msimamizi wa mazoezi.Huu sasa ni utani! Juzi tu alipewa kazi kutokana na CV yake kuwa kubwa na iliyo shiba! Kocha aliyefundisha Real Madrid na Getafe! Halafu leo anafurushwa!
Mohamed huwa hatanii maana anamnyatia hata Senzo ila Target itakuwa ni Nabi!Kama Nabi mpaka sasa hajarenew mkataba Yanga kazi wanayo,watapigwa kweupe
Hii inaitwa "Learning from Complex to Simple"Kama kawaida yetu wabongo wanaanza kuvaa viatu, then ndio wanavaa soksi.
Watamwondoa Pablo, then watawaondoa wachezaji na usajili wa wachezaji utasimamiwa na viongozi, baada ya kumaliza kusajili ndipo watakapo msajili kocha mwengine na kumpa malengo ya timu,kupitia wachezaji walio wasajili wao viongozi na kesho watamlaumu kwa matokeo mabovu kipitia wachezaji walio wasajilo wao.
Wampe Mkwasa Timu waone mambo!Kwa nini hamtaki wazawa wapewe timu kubwa hizi
Utapigwa mpira balaaa. Tatizo lao wanataka ngozi nyeupe tuuWampe Mkwasa Timu waone mambo!
aka Makolo