Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Huyu naskia amazulu wanamviziaOngeza bwalya😁😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu naskia amazulu wanamviziaOngeza bwalya😁😁😁😁
Hivi ni kweli ndo aliyechoma dawa kule Orlando? Basi noma sana!Makocha ndo wabeba mizigo yote wakati timu haikuwa na wachezaji wenye ushindani
mda upomakolo bana sometimes ua mnajifariji kipumbavu kabisa
ushauri tu kama umelala amka sasa ni saa nane mchna achana na hizo ndoto za mchanamda upo
Hivi huyu jamaa hana hirizi kweli?Kamati ya Usajili yatakiwa iondolewe maana wamehusika kwa sehemu kubwa na huu upuuzi
Wasimuache Matola, huyu ndiye Nyoka kwenye Timu
wewe ndo unaotaushauri tu kama umelala amka sasa ni saa nane mchna achana na hizo ndoto za mchana
watu wanazeeka viwango vinapunguaKwani msimu jana tulitoboaje? Hawakuwepo??
Mnampenda professor Nabi eehnabi kuanzia Sudan simba walimtaka ila alikuwa hajamaliza mkataba wake ,ile anamaliza simba wameshamchukua Gomes ,ndo maana Nabi alipofika Dar anahojiwa nawaandishi anasema Simba is the best club ,akaanza kukumbushwa upo Yanga. Hata hizi holidays alizokuwa anaenda wanasema anakwepa kurenew kwa sababu kuna ishu ya chini chini na Simba.
Alitakiwa kwanza kuondoka Mtendaji mkuu(CEO) Yeye ndio chanzo cha kuporomoka kwa Simba! mengine yote ni kuficha tu udhaifu wa CEO timu haina hamasa kabisaVIKAO vya siku mbili ndani ya Simba vimeamua rasmi kuachana na kocha mkuu Pablo Franco kwa kile kilichodaiwa ni kutoridhishwa na mwenendo wa timu hiyo.
Simba imepoteza mataji yake yote mawili la Ligi Kuu Bara ambalo walilitwaa kwa mara nne mfululizo pamoja na taji la Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) walilobeba mara mbili mfululizo.
Habari za kikao hicho zilinaswa na Mwanaspoti kwamba wamefikia makubaliano hayo na tayari Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez alimwandikia barua ya kuvunja mkataba kocha huyo aliyomtumia jana jioni.
Pablo amekiri kupokea barua hiyo na kwamba alimrudishia bosi wake kwani kuna vitu ndani ya barua hiyo vilikuwa havijakaa sawa hivyo anachosubiri sasa ni Barbara kufanya marekebisho hayo ili asaini.
"Ni kweli tulikuwa na kikao na mabosi wangu na kuna mambo sikukubaliana nayo hususani upande wa usajili, jioni CEO alinitumia barua ya kuvunja mkataba lakini ilikuwa na upungufu hivyo sikusaini nilimrudishia ili arekebishe.
"Sikupanga kuondoka Simba kwani tayari nilikuwa nimeikatia Visa familia yangu ya kuishi hapa kwa mwaka mmoja, hivyo nasubiri akirekebisha hiyo barua na kuyaweka yale niliyoyapendekeza ambayo ni maslahi basi nitasaini kuvunja mkataba," amesema Pablo ambaye aliingia Simba Novemba mwaka jana.
Credit, MwanaSpoti
Updates,
View attachment 2245636
Yametimia, muda umeongea
Alitakiwa kwanza kuondoka Mtendaji mkuu(CEO) Yeye ndio chanzo cha kuporomoka kwa Simba! mengine yote ni kuficha tu udhaifu wa CEO timu haina hamasa kabisa
Hao wataenda DTB moto watakao uwasha tutajutaSasa tunasubiri panga la wachezaji.
Mugalu
Wawa
Kagere
Lwanga
Dilunga
Boko
Mhilu
Gadiel
OUT
George Mpole
IN
Nabi si mpuuzi kiasi hicho..!!Kama Nabi mpaka sasa hajarenew mkataba Yanga kazi wanayo,watapigwa kweupe
DTB ishabadilishwa jina mkuu,sasa hivi inaitwa Singida Big StarsHao wataenda DTB moto watakao uwasha tutajuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah.nabi kuanzia Sudan simba walimtaka ila alikuwa hajamaliza mkataba wake ,ile anamaliza simba wameshamchukua Gomes ,ndo maana Nabi alipofika Dar anahojiwa nawaandishi anasema Simba is the best club ,akaanza kukumbushwa upo Yanga. Hata hizi holidays alizokuwa anaenda wanasema anakwepa kurenew kwa sababu kuna ishu ya chini chini na Simba.
Tayar ashatua amazulu huko.Ongeza bwalya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]