Masterplaner
Senior Member
- Jul 30, 2020
- 121
- 184
Ugojwa ni huu wa mabeberu au? Tatizo nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, mkuu ulishatoka Norway? Ina maana uko vizuri kwenye Kiswahili kuliko mimi? Asante mkuu ila ngoja niulize kwanza BAKITA wewe unaweza kuniingiza chaka!Mkuu heshima kwako. Siyo dhehebu ni madhehebu kwenye kiswahili hamna dhehebu ni madhehebu mfano madhehebu ya shia, madhehebu ya sunni, madhehebu ya kikatoliki, madhehebu ya kiluteri n. K
Senior JF linguistic expert
R. I. p
Shangaa na wewe mkuu! Majitu yamekuwa kama mataahira vile! Kwanza ukijiuliza zamani pneumonia ilikuwa haibebi watu?Kwahiyo huko nyuma watu walikua hawafi hadi saizi kila kifo iwe Corona?
Mkuu unataka ka Mr. Jiwe kadanje na Codiv?Ingependeza zaid hizo sifa angetujalia sasa hivi Rais mwanamke
[emoji2958][emoji2958][emoji2958] Shhhhhhhhhh!!! Wewe!!! acha kuchochea vita ya Uchumi huo ni ugonjwa mpya wa homa ya mapafu unaitwa ALIMONIA ... ni mpya huo na sio CORONAkorona ni noma
[emoji2958][emoji2958][emoji2958] Shhhhhhhh!!! hapana sio ni "ALIMONIA"Nimonia hiyo
Changamoto Ya Upumuaji (CHAYU-21) tuiombe WHO iutambue huu ugonjwa na iuingize rasmi kwenye records zake za magonjwa ya binadamu japo sio ugonjwa hatarishi; ni wa kawaida sana inaoneka.Pole kanisa katoliki kwa kumpoteza Padri Ireneus.
Bila shaka sasa tutumie neno 'changamoto ya upumuaji' badala ya lile jina baya la ugonjwa ambalo ukilisema unaonekana si mzalendo wa taifa lako.
Rip padre!
Hivi mkuu hana miradi ya kuzindua maana tumemmiss sana