TANZIA Padre Ireneus Mbahulira amelala usingizi wa umauti akipatiwa matibabu Hospitali ya Mugana

TANZIA Padre Ireneus Mbahulira amelala usingizi wa umauti akipatiwa matibabu Hospitali ya Mugana

R.I.P Padre lakin me nashangaa kwa baadhi ya watu kuunganisha matukio ya vifo na corona kila anayekufa now kila mtu ni corona hili jambo sio zuri na linaleta taharuki sana

Mbona hawajasema ni Corona?

Wamesema "changamoto za kupumua."

Kama kuna wamesema corona, basi itakuwa ni kughafirika tu.
 
Jibi swali kwanza Corona ya Tanzania HAIAMBUKIZI?.
Mtu amelazwa ICU zaidi ya wiki mbili .
Kwani kutumia ventilator kumeanza leo kipindi Cha Corona?
Kama ilivyo katika bandiko kama corona jina lina ukakasi, tumia hata "changamoto za kupumua" tu jombi.

Kwani si ukipenda chongo, si waweza ita hata ni kengeza tu?
 
Wako wapi waliombukizwa.?
fikiri Kama mtu mwenye akili timamu
Acha story za vijiweni humu.
Inaambukiza na watu wanaondoka kila uchao. Bado familia yako haijagongwa. Subiri igongwe ndio akili itakurudia
 
CHADEMA watashangilia[emoji52][emoji25]
Wewe una uwendawazimu.

Wanaoshangilia vifo hivi ni wale wanaokataa kuwa tuna tatizo la covid 19 nchini. Hawa wanataka watu tuzidi kupukutika, labda wanataka wabakie wao tu. Maana wanajua kuwa kuna tatizo. Wao wanajikinga lakini wanawaambia wananchi kuwa hakuna tatizo, tatizo limekwisha, tumeshinda corona, chapeni kazi.

Kuna shida gani kufanya upimaji ili kuwa na tathmini sahihi ya tatizo, kuweka mkazo mkubwa kwenye utoaji wa elimu na kutoa maelekezo ya taratibu mbalimbali za kufuata tunapofanya kazi zetu za kila siku?
 
Mpaka jana, Zimbabwe mawaziri 4 wamefariki na kuthibitishwa kuwa wamefariki kwa tatizo la Covid 19, huku wengine kadhaa wakiwa katika hali mbaya hospitalini.

Kati ya waliofariki hiyo juzi, mmoja ni Kabudi wao wa huko.
 
Wako wapi waliombukizwa.?
fikiri Kama mtu mwenye akili timamu
Acha story za vijiweni humu.
Ninatudia tena, wewe kwa kuwa haijagonga endelea kukejeli na kuona watu hatuna akili. Kwa ujinga wako unataka tutaje majina ya marehemu humu JF?Subiri itakufikia tu. We endelea kuleta masihara
 
[emoji3083] [emoji3083] [emoji3083] tuchukue tahadhari
 
R.I.P Padre lakin me nashangaa kwa baadhi ya watu kuunganisha matukio ya vifo na corona kila anayekufa now kila mtu ni corona hili jambo sio zuri na linaleta taharuki sana
Na ukizingatia kwamba marehemu alishakula chumvi nyingi (miaka 80 si haba!!!). Inawezekana muda wake wa kuishi ulishatimia
 
Tanzania sio KIJIJI Wala hatuishi pangoni.
Katika ugonjwa ambao hauna SIRI BASINI CORONA.
Hauwezi kuificha corona.bora ukimwi utakaanao miaka nendarudi.
tuambie Ni Nani anaumwa Corona tumpeleke karantini?
Ninatudia tena, wewe kwa kuwa haijagonga endelea kukejeli na kuona watu hatuna akili. Kwa ujinga wako unataka tutaje majina ya marehemu humu JF?Subiri itakufikia tu. We endelea kuleta masihara
 
Vifo Vimeongezeka Sana yaani tangu mshikaji aseme madhabahuni kuwa hamna COVID19, Basi wanaokufa kwa ugonjwa wa mapafu wameongezeka
Kwani huyu mtumishi wa Mungu naye amekufa kwa changamoto za kupumua?
 
Siasa ni mbaya mno, amejificha Chattle' huku watu wanaangamia. Jamaa zangu wa karibu karibu wanne wameripoti kuuguliwa, wawili ndugu zao wako ICU wakisaidiwa kupumua!
Uingereza imekataa wasafiri kutoka Tanzania kuingia kwao! Intelijensia yao imeshawataarifu kinachoendelea.

Upo kwa jina la Pneumonia
 
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.. JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
Ni huzuni
Ni majonzi

Mpendwa wetu ametutoka akipatiwa matibabu Hospitali Mugana wilayani Misenyi

Mtumishi huyu wa Bwana amehitimisha safari yake ya Utume katika Parokia ya Mtakatifu Yohana Maria Muzeyi - Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba

Mwili wa Mwendazake huyo utapumzishwa Jumatatu kwenye makaburi maalumu ya Mapadre ya Rubya Bukoba.

R.I.PFather Elineo kama tulivyozea kukuita, nitakukumbuka sana, hasa tulivyokuwa tukipiga Kilaji pamoja.
 
Back
Top Bottom