TANZIA Padre Ireneus Mbahulira amelala usingizi wa umauti akipatiwa matibabu Hospitali ya Mugana

TANZIA Padre Ireneus Mbahulira amelala usingizi wa umauti akipatiwa matibabu Hospitali ya Mugana

(Reuters) - Britain is banning all arrivals from Tanzania and Democratic Republic of Congo from Friday to stop the spread of the South Africa COVID-19 variant, transport secretary Grant Shapps said in a tweet on Thursday.

"All passengers from these countries except British & Irish Nationals and third country nationals with residents rights will be denied entry," Shapps wrote in his tweet.
 
Padre wa kanisa katoliki wa jimbo la Bukoba ndugu Ireneus miaka 80 amefariki dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Mugana wilayani Misenyi amambako alikuwa akipatiwa matibabu.

Awali padre huyo alikuwa chini ya usaidizi wa mashine y kupumua inayoambatanishwa na mfumo wa mvuke.

Askofu Kilaini amethibitisha kifo hicho
Rip
 
R.I.P
 
Attachments

  • 2669515_FAFCA4C4-0E7B-4ADC-8BC0-F48C32637141 (1).jpeg
    2669515_FAFCA4C4-0E7B-4ADC-8BC0-F48C32637141 (1).jpeg
    49.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20210124-004709.png
    Screenshot_20210124-004709.png
    53.6 KB · Views: 1
Padre wa kanisa katoliki wa jimbo la Bukoba ndugu Ireneus miaka 80 amefariki dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Mugana wilayani Misenyi amambako alikuwa akipatiwa matibabu.

Awali padre huyo alikuwa chini ya usaidizi wa mashine y kupumua inayoambatanishwa na mfumo wa mvuke.

Askofu Kilaini amethibitisha kifo hicho

"TANZANIA SIO MAKAZI YA MUNGU" ASKOFU BAGONZA KALIKAWE.
 
Padre wa kanisa katoliki wa jimbo la Bukoba ndugu Ireneus miaka 80 amefariki dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Mugana wilayani Misenyi amambako alikuwa akipatiwa matibabu.

Awali padre huyo alikuwa chini ya usaidizi wa mashine y kupumua inayoambatanishwa na mfumo wa mvuke.

Askofu Kilaini amethibitisha kifo hicho
Ndugu Ireneus nani? Miaka 80 alikuwa bado ni padre?
 
Katika hiyo attachment, professor hakumtendea haki huyo mtoto wa miaka mnine huko kijijini kwao kwa kutabasamu tu baada ya mtoto huyo kumsihi asivae mask kwani corona haiko! Angefanya jambo la busara kama angelimuelimisha kuyo mtoto wa miaka minne hapo kijijini kuwa wanaosema kuwa corona haipo wanaongopa kwani watu wanakufa kwa hiyo corona nchini!!! Kwakufanya hivyo angewasaidia wanakijini wasije kuwa wahanga wa haya maradhi kwani huyo kijana angekwenda kuwaelimisha wenzie!!
 
Padre wa kanisa katoliki wa jimbo la Bukoba ndugu Ireneus miaka 80 amefariki dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Mugana wilayani Misenyi amambako alikuwa akipatiwa matibabu.

Awali padre huyo alikuwa chini ya usaidizi wa mashine y kupumua inayoambatanishwa na mfumo wa mvuke.

Askofu Kilaini amethibitisha kifo hicho
R.I.P Padre lakin me nashangaa kwa baadhi ya watu kuunganisha matukio ya vifo na corona kila anayekufa now kila mtu ni corona hili jambo sio zuri na linaleta taharuki sana
 
Corona ya Tanzania HAIAMBUKIZI?
muwe mnajiuliza Hilo swali kwanza mmgekuwa mmetumia akili zenu vizuri.
Mtu amelazwa ICU masiku na masiku.
Ulishawahi kuingia ICU au emergency ukakuta mgonjwa Hana hyo mashine ya kupumulia?
Pole kanisa katoliki kwa kumpoteza Padri Ireneus.

Bila shaka sasa tutumie neno 'changamoto ya upumuaji' badala ya lile jina baya la ugonjwa ambalo ukilisema unaonekana si mzalendo wa taifa lako.
 
Corona ya Tanzania HAIAMBUKIZI?
muwe mnajiuliza Hilo swali kwanza mmgekuwa mmetumia akili zenu vizuri.
Mtu amelazwa ICU masiku na masiku.
Ulishawahi kuingia ICU au emergency ukakuta mgonjwa Hana hyo mashine ya kupumulia?

Kama ilivyo katika bandiko kama corona jina lina ukakasi, tumia hata "changamoto za kupumua" tu jombi.

Kwani si ukipenda chongo, si waweza ita hata ni kengeza tu?
 
Corona ya Tanzania HAIAMBUKIZI?
muwe mnajiuliza Hilo swali kwanza mmgekuwa mmetumia akili zenu vizuri.
Mtu amelazwa ICU masiku na masiku.
Ulishawahi kuingia ICU au emergency ukakuta mgonjwa Hana hyo mashine ya kupumulia?
Kwa huu 'usiri' na nguvu kubwa inayotumia serikali kunyamazisha habari za korona,tuna sabbu ya kuhisi vinginevyo.

Tanzania siyo makazi ya Mungu! by Askofu Bagonza.
 
Back
Top Bottom