waislam walionya kutoandamana...............hivyo yaani, kanisa wasitafute huruma wataenda kujibu kwa allaah waliyoyafanya.Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema viongozi wa Kanisa hilo walitoa tahadhari mapema kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu hatari ya kutorekebisha kasoro za uchaguzi, akieleza kuwa walionya kuwa hali hiyo ingeweza kusababisha maafa nchini.
Hili ni kanisa ambalo lilikuwa likishiriana bega kwa bega na uhalifu wa wakoloni barani Afrika, ikiwemo Tanzania. Hata sasa ni kichaka cha kujifichia majasusi, vibaraka wa Magharibi. Linafadhili usimikaji wa viongozi wenye maslahi kwa kanisa na nchi za Magharibi. Nyerere, Mkapa na Magufuli kuwa wakatoliki wote sio kitendo cha bahati mbaya tu (chance).Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema viongozi wa Kanisa hilo walitoa tahadhari mapema kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu hatari ya kutorekebisha kasoro za uchaguzi, akieleza kuwa walionya kuwa hali hiyo ingeweza kusababisha maafa nchini.
Akizungumza wakati wa misa ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya Oktoba 29, 2025, Padre Kitima amesema Januari 8, 2024, Maaskofu walikutana na Makamu Mwenyekiti wa CCM mjini Dodoma na kumweleza wasiwasi wao kuhusu mwenendo wa uchaguzi, wakirejea changamoto walizoziona katika chaguzi za mwaka 2019 na 2020.
Amesema katika mazungumzo hayo, kiongozi huyo wa CCM aliwaahidi kuwa masuala waliyoyawasilisha yangefanyiwa kazi ili yasijirudie, lakini baadaye walishuhudia matukio ya kutoweka na kuuawa kwa baadhi ya watu, hali iliyozidisha wasiwasi wao kuhusu usalama na mwenendo wa siasa nchini.
Amesisitiza kuwa toba ya kweli inahitaji kuondokana na kiburi na kupanda mbegu za ukweli, unyenyekevu na upendo, akieleza kuwa hayo ndiyo msingi wa msamaha na maridhiano ya kweli katika jamii.
Unajua moja kati ya kikwazo cha haki nchi hii kwa sasa ni baadhi ya waislam kulibeba hili swala kwenye mlengo wa kidini? Waislam pia walipoteza uhai kwenye haya matukio.waislam walionya kutoandamana...............hivyo yaani, kanisa wasitafute huruma wataenda kujibu kwa allaah waliyoyafanya.
HakikaUnajua moja kati ya kikwazo cha haki nchi hii kwa sasa ni baadhi ya waislam kulibeba hili swala kwenye mlengo wa kidini? Waislam pia walipoteza uhai kwenye haya matukio.
Ukafie mbele huko mbwaHuyu mwamba anajitahidi kujisafisha sana lakini wapi. Inabidi atubu tu, maneno yake yalisababisha madhara makubwa ambayo hakuyategemea
Huyu mwamba anajitahidi kujisafisha sana lakini wapi. Inabidi atubu tu, maneno yake yalisababisha madhara makubwa ambayo hakuyategemea
SAYNGAYwaislam walionya kutoandamana...............hivyo yaani, kanisa wasitafute huruma wataenda kujibu kwa allaah waliyoyafanya.
Ni mauaji mkuu siyo matukio.Waislam pia walipoteza uhai kwenye haya matukio.
Hili ni kanisa ambalo lilikuwa likishiriana bega kwa bega na uhalifu wa wakoloni barani Afrika, ikiwemo Tanzania. Hata sasa ni kichaka cha kujifichia majasusi, vibaraka wa Magharibi. Linafadhili usimikaji wa viongozi wenye maslahi kwa kanisa na nchi za Magharibi. Nyerere, Mkapa na Magufuli kuwa wakatoliki wote sio kitendo cha bahati mbaya tu (chance).
Let me confirm to you Fr.Kitima without fear of contradictions,Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema viongozi wa Kanisa hilo walitoa tahadhari mapema kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu hatari ya kutorekebisha kasoro za uchaguzi, akieleza kuwa walionya kuwa hali hiyo ingeweza kusababisha maafa nchini.
Akizungumza wakati wa misa ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya Oktoba 29, 2025, Padre Kitima amesema Januari 8, 2024, Maaskofu walikutana na Makamu Mwenyekiti wa CCM mjini Dodoma na kumweleza wasiwasi wao kuhusu mwenendo wa uchaguzi, wakirejea changamoto walizoziona katika chaguzi za mwaka 2019 na 2020.
Amesema katika mazungumzo hayo, kiongozi huyo wa CCM aliwaahidi kuwa masuala waliyoyawasilisha yangefanyiwa kazi ili yasijirudie, lakini baadaye walishuhudia matukio ya kutoweka na kuuawa kwa baadhi ya watu, hali iliyozidisha wasiwasi wao kuhusu usalama na mwenendo wa siasa nchini.
Amesisitiza kuwa toba ya kweli inahitaji kuondokana na kiburi na kupanda mbegu za ukweli, unyenyekevu na upendo, akieleza kuwa hayo ndiyo msingi wa msamaha na maridhiano ya kweli katika jamii.
Mimi nilijua kuwa na akili ni kuongoza mtihani darasani,badaye nilipokuwa kijana nikajua kuwa na akili ni kuwa na hera au kuwa kiongoziHili ni kanisa ambalo lilikuwa likishiriana bega kwa bega na uhalifu wa wakoloni barani Afrika, ikiwemo Tanzania. Hata sasa ni kichaka cha kujifichia majasusi, vibaraka wa Magharibi. Linafadhili usimikaji wa viongozi wenye maslahi kwa kanisa na nchi za Magharibi. Nyerere, Mkapa na Magufuli kuwa wakatoliki wote sio kitendo cha bahati mbaya tu (chance).
Hili ni kanisa ambalo lilikuwa likishiriana bega kwa bega na uhalifu wa wakoloni barani Afrika, ikiwemo Tanzania. Hata sasa ni kichaka cha kujifichia majasusi, vibaraka wa Magharibi. Linafadhili usimikaji wa viongozi wenye maslahi kwa kanisa na nchi za Magharibi. Nyerere, Mkapa na Magufuli kuwa wakatoliki wote sio kitendo cha bahati mbaya tu (chance).
ndio maana nasisitizaga sana humu jukwaani kwamba kanisa katoliki lilihusika moja kwa moja katika kupanga, kuhamisha na kuchochea kilichotokea Oct 2025. Nadhani naanza kueleweka kwa kauli hiyo ya fr.Kitima"""LISSU,HECHE,CATHOLICS WALIONYA""
INACHEKESHA SANA,YAANI TAASISI ZINAINGILIA RATIBA ZA UCHAGUZI AMBAO UPO KIKATIBA!...
WALIPOONA HAWASIKILIZWI BAADHI WAKAJIAPIZA KUZUIA UCHAGUZI NA KIBIDI KUASI,
YAANI UNAUZUIA MFUMO WA SEREKALI USIFANYE KAZI.
RC wajitafakari, wafanye toba ya kweli na waache viburi.