Naona mnajifurahisha sana kama mnao ushahidi kuwa kanisa lilishiriki si mpeleke tume ushahidi wenu au uwekeni hadharani.Manabii wakweli huziona ishara mbaya na hutahadharisha.Kanisa liliona hatari iliyo mbele na halikusubiri yatokee.Na sio kanisa tu watu mbali mbali walionya iwe wakristo au waislam.Wako pia wanaccm nao walionya wakiwemo akina Warioba,Polepole,Mzee butiku,Msujkuma pia aliongea bungeni,haya kuna yule mbunge alisema serikali intende haki kwenye mchakato na wakati wa uchaguzi.Sasa wewe unataka uambiwe nini?