PostGE2025 Padre Kitima: Kanisa lilionya kutofanya uchaguzi kabla ya kurekebisha kasoro za uchaguzi

PostGE2025 Padre Kitima: Kanisa lilionya kutofanya uchaguzi kabla ya kurekebisha kasoro za uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Najua ni kitu hamtaki kusikia hata yeye pia anajificha na kujifariji kwa maneno ya watu kama wewe mliojaa shari na maneno machafu midomo mwenu.
Wewe bhana CCM hamwezi kuwa wema milele kwa mauaji mliofanya ili mama yenu awe rais mnaona anavyotapatapa bibi yenu raha ya kuongoza watu anayo? CCM Mauji haya hayatakuja kusahaurika hata msemeje!
Mnafikiri mnaweza kumtupia mtu mwingine hili balaa! Ebu nikukumbushe safari yenu mlikotokea ili kujificha:
1.Siku ya kumwapisha kibaka wenu ( Mstuni huko). Alichomboze vineno oooh walikuwa ni vijana kutoka nje!
2. Mkaja na issue ya gaaaazi! Gaaaizi! Huku mkitaka watu wawaze miundo mbinu ambayo mliharibu wenyewe na uvcmm wenu.
3. Bibi akakusanya wazee uchwara huko dar akaropoka ropoka ikapita na haikusaidia
3.Akaja na ripoti feki ya sijui ya chande nayo ikapita hamna msaada.
4.Baadae mkaishiwa janja hadi mkasema " nguvu gani ingetumika sasa" hapo alieua kashajulikana tayari, itakubidi uwe mshabiki kweli kweli tena hata kichwani ziwe chache kidogo kutokumjua alieua, lkn kama unazo hata za kuweza kutype kwenye keyboard km wewe lazima ujue
5. Mkakazana na Lissu mwamba huyo kawanyoosha mahakamani kila mtu ameona mbebaki na ubishi tu FREEE TAL💯%
6. Mkaja na mbwembe nyungi hadi kina shehe Mwipopo nao mliona wanamsaada wawasaidie nayo hola!
MOTO UNAWAKA HAMTOUZIMA HAMTOWEZA CCM WACHAFU KUZIDI KIASI
 
Ccm wachutame, wakubali tu makosa yao ya wizi wa uchaguzi na mauaji ya halaiki, wasulubiwe kwa mujibu wa Katiba, nchi isonge mbele.

Bila uporaji wa uchaguzi unaofanywa na ccm uliochosha wananchi wengi, yote hayo yasingetokea
 
Hili ndio kanisa sasa, kanisa limesimama na wananchi. Sio hawa makanjanja waumini wao wameuliwa waishia kusifu tu
Kanisa la RC linatakiwa liwe Re- categorized, kutoka religious insititution na kuwa/kwenda chama cha siasa. Nimasema hivyo kwa sababu mbili:
1. Kuwepo kwa kundi kubwa la mapdre wanaohubiri siasa kilq mara
2. Kuwepo na mapadre wengi wenye elimu kubwa ya uongozi na upendo kwa watanzania.
 
Subirini miaka imebaki minne, mkatoliki mwenzenu aje awape katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mlimshindwa magufuli mnangoja kwa samia ndio mwataka katiba tena kwa ulazima wa kanisa kwa kisingizio cha wananchi eti kisa wanaosali ni wananchi kwa zama hizi huwezi kutupumbaza kiboya kiasi hicho
 
Umeongea kama punguani au mtu timamu? Kwamba kukemea mauaji ni siasa?!
 
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema viongozi wa Kanisa hilo walitoa tahadhari mapema kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu hatari ya kutorekebisha kasoro za uchaguzi, akieleza kuwa walionya kuwa hali hiyo ingeweza kusababisha maafa nchini.

Akizungumza wakati wa misa ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya Oktoba 29, 2025, Padre Kitima amesema Januari 8, 2024, Maaskofu walikutana na Makamu Mwenyekiti wa CCM mjini Dodoma na kumweleza wasiwasi wao kuhusu mwenendo wa uchaguzi, wakirejea changamoto walizoziona katika chaguzi za mwaka 2019 na 2020.

Amesema katika mazungumzo hayo, kiongozi huyo wa CCM aliwaahidi kuwa masuala waliyoyawasilisha yangefanyiwa kazi ili yasijirudie, lakini baadaye walishuhudia matukio ya kutoweka na kuuawa kwa baadhi ya watu, hali iliyozidisha wasiwasi wao kuhusu usalama na mwenendo wa siasa nchini.

Amesisitiza kuwa toba ya kweli inahitaji kuondokana na kiburi na kupanda mbegu za ukweli, unyenyekevu na upendo, akieleza kuwa hayo ndiyo msingi wa msamaha na maridhiano ya kweli katika jamii.
Kitima anaandamwa na laana ya mauaji hayo. Mwambieni atubu
 
Subirini miaka imebaki minne, mkatoliki mwenzenu aje awape katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mlimshindwa magufuli mnangoja kwa samia ndio mwataka katiba tena kwa ulazima wa kanisa kwa kisingizio cha wananchi eti kisa wanaosali ni wananchi kwa zama hizi huwezi kutupumbaza kiboya kiasi hicho
Kwa akili kama hizi Tz bado tuna safari ndefu ana.
 
Hili ndio kanisa sasa, kanisa limesimama na wananchi. Sio hawa makanjanja waumini wao wameuliwa waishia kusifu tu
Hapana ni wanafiki!

Kwani chaguzi za umwagaji damu na kupora kura zimeanza leo!!?

Kipindi cha Ben 2001 waliomba misa mauaji ya Zanzibar!!?

Mbona hawakuzuia uchaguzi wa 2005 Hadi kasoro zifanyiwe kazi zile za 2000!!?

Hatikatai dosari mauaji na vyote vilitokea lakini wao mbona hawakuchukua hatua kama hizi za sasa!!?

Nauliza TU,coz kama wangechukua hatua hayo ya October 29 yasingekiwepo kabisa!!!
 
Hili ni kanisa ambalo lilikuwa likishiriana bega kwa bega na uhalifu wa wakoloni barani Afrika, ikiwemo Tanzania. Hata sasa ni kichaka cha kujifichia majasusi, vibaraka wa Magharibi. Linafadhili usimikaji wa viongozi wenye maslahi kwa kanisa na nchi za Magharibi. Nyerere, Mkapa na Magufuli kuwa wakatoliki wote sio kitendo cha bahati mbaya tu (chance).
Labda kama huelewi, "Roman Catholic" ni dhehebu, na kiongozi wake mkuu ana kiti umoja wa mataifa hivyo kama unafahamu kiongozi wa dhehebu hilo anapofanya ziara kwenye taifa lolote kwanza anatambuliwa kuwa ni kiongozi wa nchi, na pia anatambuliwa kuwa ni kiongozi wa dini, Sasa ujiulize wewe mwenyewe taifa linapogundua chochote kwenye nchi kibaya au kizuri, linapopaza sauti tatizo linatokea wapi?. Muhimu utambue kuwa unapopambana na ukatoliki hupambani na kanisa tu ila unapambana pia na taifa lenye kiti umoja wa mataifa
 
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema viongozi wa Kanisa hilo walitoa tahadhari mapema kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu hatari ya kutorekebisha kasoro za uchaguzi, akieleza kuwa walionya kuwa hali hiyo ingeweza kusababisha maafa nchini.

Akizungumza wakati wa misa ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya Oktoba 29, 2025, Padre Kitima amesema Januari 8, 2024, Maaskofu walikutana na Makamu Mwenyekiti wa CCM mjini Dodoma na kumweleza wasiwasi wao kuhusu mwenendo wa uchaguzi, wakirejea changamoto walizoziona katika chaguzi za mwaka 2019 na 2020.

Amesema katika mazungumzo hayo, kiongozi huyo wa CCM aliwaahidi kuwa masuala waliyoyawasilisha yangefanyiwa kazi ili yasijirudie, lakini baadaye walishuhudia matukio ya kutoweka na kuuawa kwa baadhi ya watu, hali iliyozidisha wasiwasi wao kuhusu usalama na mwenendo wa siasa nchini.

Amesisitiza kuwa toba ya kweli inahitaji kuondokana na kiburi na kupanda mbegu za ukweli, unyenyekevu na upendo, akieleza kuwa hayo ndiyo msingi wa msamaha na maridhiano ya kweli katika jamii.
The level of bias we see these days is extreme

Vipi position ya kanisa kwenye unyanyasaji dhidi ta palestines?
 
Padre Kitima aache Unafiki.
yeye ni miongoni mwa viongozi wa Kanisa aliye eneza na kusambaza chuki dhidi ya Serikali.
Hakuna kificho kuwa alishirikiana na viongozi wa Chadema kufanikisha vurugu katika uchaguzi. Hana aibu hata kidogo.
Safari hii asiachwe, ashitakiwe mahakamani ikiunganishwa na viongozi wa chadema.
 
Hili ni kanisa ambalo lilikuwa likishiriana bega kwa bega na uhalifu wa wakoloni barani Afrika, ikiwemo Tanzania. Hata sasa ni kichaka cha kujifichia majasusi, vibaraka wa Magharibi. Linafadhili usimikaji wa viongozi wenye maslahi kwa kanisa na nchi za Magharibi. Nyerere, Mkapa na Magufuli kuwa wakatoliki wote sio kitendo cha bahati mbaya tu (chance).
Hakika ŵàtu wengine mmelaanini kaama walivyolaaniwa wauaji wa Watangànyika,iwapo ulikùa. Miongoni mwa wauaji laana nà ikupate mara 1000 ya muuaji ambaye hakuja huu kujigamba kwa kazìchafu aliyoifanya kwa malipo yàvipan̈e vya fēdha za kupewa na waratibu wa mauaji ili kulinnda mamlaka yao.
 
""Hufahamu ulimi ni silaha kali sana kuliko bunduki ""
Kama yule aliyetumia ulimi wake kusema "hakutakuwa na nywinywi wala nywinywinywila" na ikawa hivyo...

Akaongeza kusema "mwaka huu 2025 Kuna uchaguzi mkuu, nawaagiza wanajeshi wote mjiandae kikamilifu", na ikawa hivyo, maghala ya silaha yakafunguliwa na watu kuuwawa..!

Najua pia kuandika kwako huku umemlenga Tundu Lissu na ujinga wenu mlioupeleka mahakamani na kauli kama "tutakinukisha"

Cha ajabu kauli imetolewa na Tundu Lissu miezi 7 kabla ya mauaji. Lakini walioua watu kwa bunduki na risasi za moto ni askari Polisi, JWTZ, KMKM walio chini ya mamlaka za kiserikali...!

Ajabu nyingine ni kuwa waliotoa kauli hizo mmoja (Tundu Lissu) yuko gerezani anakabiliwa na mashitaka ya uhaini kwa kauli ya "tutakinukisha" lakini mmoja (Samia Suluhu Hassan) aliyeamuru majeshi kujipanga kuua raia wasio na hatia siku ya uchaguzi eti yuko huru anatamba tu mitaani..!!

Na ajabu ya mwisho ni kuwa, askari wote walioua raia eti nao wako mitaani wanatamba tu kana kwamba hakuna kilichotokea...

Mnajidanganya, KISASI KINAKUJA, KIPO VISOGONI MWENU...!!!
 
Back
Top Bottom