Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
walifanya hivyo bila kuvunja sheria na inawezekana. Hiyo kuzuia mfumo ni maneno yako."""LISSU,HECHE,CATHOLICS WALIONYA""
INACHEKESHA SANA,YAANI TAASISI ZINAINGILIA RATIBA ZA UCHAGUZI AMBAO UPO KIKATIBA!...
WALIPOONA HAWASIKILIZWI BAADHI WAKAJIAPIZA KUZUIA UCHAGUZI NA IKIBIDI KUASI,
YAANI UNAUZUIA MFUMO WA SEREKALI USIFANYE KAZI.
Hebu ficha upumbavu wako, kama kuna sababu za msingi kwanini usisogezwe mbele?..haya sasa Maelfu ya Watanganyika wamekufa, umefurahi?"""LISSU,HECHE,CATHOLICS WALIONYA""
INACHEKESHA SANA,YAANI TAASISI ZINAINGILIA RATIBA ZA UCHAGUZI AMBAO UPO KIKATIBA!...
WALIPOONA HAWASIKILIZWI BAADHI WAKAJIAPIZA KUZUIA UCHAGUZI NA IKIBIDI KUASI,
YAANI UNAUZUIA MFUMO WA SEREKALI USIFANYE KAZI.
Malasusa etalHili ndio kanisa sasa, kanisa limesimama na wananchi. Sio hawa makanjanja waumini wao wameuliwa waishia kusifu tu
Wachaa we!Hili ni kanisa ambalo lilikuwa likishiriana bega kwa bega na uhalifu wa wakoloni barani Afrika, ikiwemo Tanzania. Hata sasa ni kichaka cha kujifichia majasusi, vibaraka wa Magharibi. Linafadhili usimikaji wa viongozi wenye maslahi kwa kanisa na nchi za Magharibi. Nyerere, Mkapa na Magufuli kuwa wakatoliki wote sio kitendo cha bahati mbaya tu (chance).
Uchaguzi gani wa kutegemea waalimu na maaskari kuchezea sanduku la kura,ccm hamkuwa tayari kwa uchaguzi huru ndio mana mkagomea mabadiliko japo muda ulikuwepo wa kutosha."""LISSU,HECHE,CATHOLICS WALIONYA""
INACHEKESHA SANA,YAANI TAASISI ZINAINGILIA RATIBA ZA UCHAGUZI AMBAO UPO KIKATIBA!...
WALIPOONA HAWASIKILIZWI BAADHI WAKAJIAPIZA KUZUIA UCHAGUZI NA IKIBIDI KUASI,
YAANI UNAUZUIA MFUMO WA SEREKALI USIFANYE KAZI.
Naona mnajifurahisha sana kama mnao ushahidi kuwa kanisa lilishiriki si mpeleke tume ushahidi wenu au uwekeni hadharani.Manabii wakweli huziona ishara mbaya na hutahadharisha.Kanisa liliona hatari iliyo mbele na halikusubiri yatokee.Na sio kanisa tu watu mbali mbali walionya iwe wakristo au waislam.Wako pia wanaccm nao walionya wakiwemo akina Warioba,Polepole,Mzee butiku,Msujkuma pia aliongea bungeni,haya kuna yule mbunge alisema serikali intende haki kwenye mchakato na wakati wa uchaguzi.Sasa wewe unataka uambiwe nini?Huyu mwamba anajitahidi kujisafisha sana lakini wapi. Inabidi atubu tu, maneno yake yalisababisha madhara makubwa ambayo hakuyategemea
MTaje tuuHili ndio kanisa sasa, kanisa limesimama na wananchi. Sio hawa makanjanja waumini wao wameuliwa waishia kusifu tu
sasa hivi wanatapatapa, wamepuuzwa mpaka wanaona aibu"""LISSU,HECHE,CATHOLICS WALIONYA""
INACHEKESHA SANA,YAANI TAASISI ZINAINGILIA RATIBA ZA UCHAGUZI AMBAO UPO KIKATIBA!...
WALIPOONA HAWASIKILIZWI BAADHI WAKAJIAPIZA KUZUIA UCHAGUZI NA IKIBIDI KUASI,
YAANI UNAUZUIA MFUMO WA SEREKALI USIFANYE KAZI.
tume ipo kazini, uhaini ulizimwa kwa ustadi sana.Naona mnajifurahisha sana kama mnao ushahidi kuwa kanisa lilishiriki si mpeleke tume ushahidi wenu au uwekeni hadharani.Manabii wakweli huziona ishara mbaya na hutahadharisha.Kanisa liliona hatari iliyo mbele na halikusubiri yatokee.Na sio kanisa tu watu mbali mbali walionya iwe wakristo au waislam.Wako pia wanaccm nao walionya wakiwemo akina Warioba,Polepole,Mzee butiku,Msujkuma pia aliongea bungeni,haya kuna yule mbunge alisema serikali intende haki kwenye mchakato na wakati wa uchaguzi.Sasa wewe unataka uambiwe nini?
Hivi kuna kiongozi yeyote wa kanisa alikamata bunduki na kuua watu mitaani, barabarani na kwenye kumbi za starehe..?"""LISSU,HECHE,CATHOLICS WALIONYA""
INACHEKESHA SANA,YAANI TAASISI ZINAINGILIA RATIBA ZA UCHAGUZI AMBAO UPO KIKATIBA!...
WALIPOONA HAWASIKILIZWI BAADHI WAKAJIAPIZA KUZUIA UCHAGUZI NA IKIBIDI KUASI,
YAANI UNAUZUIA MFUMO WA SEREKALI USIFANYE KAZI.
msingeandamana kama walivyoonya waislama yangetufika yale?Unajua moja kati ya kikwazo cha haki nchi hii kwa sasa ni baadhi ya waislam kulibeba hili swala kwenye mlengo wa kidini? Waislam pia walipoteza uhai kwenye haya matukio.
Na ndio waliokuwekea mipaka ukiwa Bado u kimaHili ni kanisa ambalo lilikuwa likishiriana bega kwa bega na uhalifu wa wakoloni barani Afrika, ikiwemo Tanzania. Hata sasa ni kichaka cha kujifichia majasusi, vibaraka wa Magharibi. Linafadhili usimikaji wa viongozi wenye maslahi kwa kanisa na nchi za Magharibi. Nyerere, Mkapa na Magufuli kuwa wakatoliki wote sio kitendo cha bahati mbaya tu (chance).
Sema ambao upo kwenye kakikatibu sio katiba"""LISSU,HECHE,CATHOLICS WALIONYA""
INACHEKESHA SANA,YAANI TAASISI ZINAINGILIA RATIBA ZA UCHAGUZI AMBAO UPO KIKATIBA!...
WALIPOONA HAWASIKILIZWI BAADHI WAKAJIAPIZA KUZUIA UCHAGUZI NA IKIBIDI KUASI,
YAANI UNAUZUIA MFUMO WA SEREKALI USIFANYE KAZI.
Huyu mwamba anajitahidi kujisafisha sana lakini wapi. Inabidi atubu tu, maneno yake yalisababisha madhara makubwa ambayo hakuyategemea
""Hufahamu ulimi ni silaha kali sana kuliko bunduki ""Hivi kuna kiongozi yeyote wa kanisa alikamata bunduki na kuua watu mitaani, barabarani na kwenye kumbi za starehe..?
Ni nani huyo na kesi yake Iko mahakama ipi ili tuwape kongole..?
Kama hakuna kitu kama hicho, kanisa linahusikaje na mauaji ya 29/10/2025..?
Mliitwa mahakamani ili mtoe ushahidi mkala kona huku mmeifyata mikia yenu katikati ya makali😵ooh...sorry!Kumbe hata mikia hammiliki.Mlikatwa wakati wa "ubatizo wa panga"!"""LISSU,HECHE,CATHOLICS WALIONYA""
INACHEKESHA SANA,YAANI TAASISI ZINAINGILIA RATIBA ZA UCHAGUZI AMBAO UPO KIKATIBA!...
WALIPOONA HAWASIKILIZWI BAADHI WAKAJIAPIZA KUZUIA UCHAGUZI NA IKIBIDI KUASI,
YAANI UNAUZUIA MFUMO WA SEREKALI USIFANYE KAZI.
Hakuna Dini alituma watu waandamane,ni swala la utashi wao.msingeandamana kama walivyoonya waislama yangetufika yale?
wakristo hasa wakatoliki walikuwa wakihamasisha watu waandamaneHakuna Dini alituma watu waandamane,ni swala la utashi wao.
Ila kuwaua watu bila hatia wote walikufa si wakristo Au Waislam