Wewe bhana CCM hamwezi kuwa wema milele kwa mauaji mliofanya ili mama yenu awe rais mnaona anavyotapatapa bibi yenu raha ya kuongoza watu anayo? CCM Mauji haya hayatakuja kusahaurika hata msemeje!Najua ni kitu hamtaki kusikia hata yeye pia anajificha na kujifariji kwa maneno ya watu kama wewe mliojaa shari na maneno machafu midomo mwenu.
Kwamba,ulikuwa unapita walipoandama na kuomba utambulisho wao kidini/dhehebu, sivyo?wakristo hasa wakatoliki walikuwa wakihamasisha watu waandamane
Roho mbaya wanazomiliki na utamu wa kusifiwa wameshika patamu(hatamu), hawawezi kufanya toba.Ccm wachutame, wakubali tu makosa yao ya wizi wa uchaguzi na mauaji ya halaiki, wasulubiwe kwa mujibu wa Katiba, nchi isonge mbele
Kanisa la RC linatakiwa liwe Re- categorized, kutoka religious insititution na kuwa/kwenda chama cha siasa. Nimasema hivyo kwa sababu mbili:Hili ndio kanisa sasa, kanisa limesimama na wananchi. Sio hawa makanjanja waumini wao wameuliwa waishia kusifu tu
Umeongea kama punguani au mtu timamu? Kwamba kukemea mauaji ni siasa?!Kanisa la RC linatakiwa liwe Re- categorized, kutoka religious insititution na kuwa/kwenda chama cha siasa. Nimasema hivyo kwa sababu mbili:
1. Kuwepo kwa kundi kubwa la mapdre wanaohubiri siasa kilq mara
2. Kuwepo na mapadre wengi wenye elimu kubwa ya uongozi na upendo kwa watanzania.
Wakiwemo 'mashehe ubwabwa'Unajua moja kati ya kikwazo cha haki nchi hii kwa sasa ni baadhi ya waislam kulibeba hili swala kwenye mlengo wa kidini? Waislam pia walipoteza uhai kwenye haya matukio.
Kitima anaandamwa na laana ya mauaji hayo. Mwambieni atubuKatibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema viongozi wa Kanisa hilo walitoa tahadhari mapema kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu hatari ya kutorekebisha kasoro za uchaguzi, akieleza kuwa walionya kuwa hali hiyo ingeweza kusababisha maafa nchini.
Akizungumza wakati wa misa ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya Oktoba 29, 2025, Padre Kitima amesema Januari 8, 2024, Maaskofu walikutana na Makamu Mwenyekiti wa CCM mjini Dodoma na kumweleza wasiwasi wao kuhusu mwenendo wa uchaguzi, wakirejea changamoto walizoziona katika chaguzi za mwaka 2019 na 2020.
Amesema katika mazungumzo hayo, kiongozi huyo wa CCM aliwaahidi kuwa masuala waliyoyawasilisha yangefanyiwa kazi ili yasijirudie, lakini baadaye walishuhudia matukio ya kutoweka na kuuawa kwa baadhi ya watu, hali iliyozidisha wasiwasi wao kuhusu usalama na mwenendo wa siasa nchini.
Amesisitiza kuwa toba ya kweli inahitaji kuondokana na kiburi na kupanda mbegu za ukweli, unyenyekevu na upendo, akieleza kuwa hayo ndiyo msingi wa msamaha na maridhiano ya kweli katika jamii.
Kwa akili kama hizi Tz bado tuna safari ndefu ana.Subirini miaka imebaki minne, mkatoliki mwenzenu aje awape katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mlimshindwa magufuli mnangoja kwa samia ndio mwataka katiba tena kwa ulazima wa kanisa kwa kisingizio cha wananchi eti kisa wanaosali ni wananchi kwa zama hizi huwezi kutupumbaza kiboya kiasi hicho
Pole kwa mujaheedina wa kikatoliki Allah awarehemuKwa akili kama hizi Tz bado tuna safari ndefu ana.
Hapana ni wanafiki!Hili ndio kanisa sasa, kanisa limesimama na wananchi. Sio hawa makanjanja waumini wao wameuliwa waishia kusifu tu
Labda kama huelewi, "Roman Catholic" ni dhehebu, na kiongozi wake mkuu ana kiti umoja wa mataifa hivyo kama unafahamu kiongozi wa dhehebu hilo anapofanya ziara kwenye taifa lolote kwanza anatambuliwa kuwa ni kiongozi wa nchi, na pia anatambuliwa kuwa ni kiongozi wa dini, Sasa ujiulize wewe mwenyewe taifa linapogundua chochote kwenye nchi kibaya au kizuri, linapopaza sauti tatizo linatokea wapi?. Muhimu utambue kuwa unapopambana na ukatoliki hupambani na kanisa tu ila unapambana pia na taifa lenye kiti umoja wa mataifaHili ni kanisa ambalo lilikuwa likishiriana bega kwa bega na uhalifu wa wakoloni barani Afrika, ikiwemo Tanzania. Hata sasa ni kichaka cha kujifichia majasusi, vibaraka wa Magharibi. Linafadhili usimikaji wa viongozi wenye maslahi kwa kanisa na nchi za Magharibi. Nyerere, Mkapa na Magufuli kuwa wakatoliki wote sio kitendo cha bahati mbaya tu (chance).
Allah hana mamlaka juu ya wakristu. Huyo anawaweza waislam tuwaislam walionya kutoandamana...............hivyo yaani, kanisa wasitafute huruma wataenda kujibu kwa allaah waliyoyafanya.
The level of bias we see these days is extremeKatibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema viongozi wa Kanisa hilo walitoa tahadhari mapema kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu hatari ya kutorekebisha kasoro za uchaguzi, akieleza kuwa walionya kuwa hali hiyo ingeweza kusababisha maafa nchini.
Akizungumza wakati wa misa ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya Oktoba 29, 2025, Padre Kitima amesema Januari 8, 2024, Maaskofu walikutana na Makamu Mwenyekiti wa CCM mjini Dodoma na kumweleza wasiwasi wao kuhusu mwenendo wa uchaguzi, wakirejea changamoto walizoziona katika chaguzi za mwaka 2019 na 2020.
Amesema katika mazungumzo hayo, kiongozi huyo wa CCM aliwaahidi kuwa masuala waliyoyawasilisha yangefanyiwa kazi ili yasijirudie, lakini baadaye walishuhudia matukio ya kutoweka na kuuawa kwa baadhi ya watu, hali iliyozidisha wasiwasi wao kuhusu usalama na mwenendo wa siasa nchini.
Amesisitiza kuwa toba ya kweli inahitaji kuondokana na kiburi na kupanda mbegu za ukweli, unyenyekevu na upendo, akieleza kuwa hayo ndiyo msingi wa msamaha na maridhiano ya kweli katika jamii.
Futa maneno yako au tukosomee albadiriWakiwemo 'mashehe ubwabwa'
Hakika ŵàtu wengine mmelaanini kaama walivyolaaniwa wauaji wa Watangànyika,iwapo ulikùa. Miongoni mwa wauaji laana nà ikupate mara 1000 ya muuaji ambaye hakuja huu kujigamba kwa kazìchafu aliyoifanya kwa malipo yàvipan̈e vya fēdha za kupewa na waratibu wa mauaji ili kulinnda mamlaka yao.Hili ni kanisa ambalo lilikuwa likishiriana bega kwa bega na uhalifu wa wakoloni barani Afrika, ikiwemo Tanzania. Hata sasa ni kichaka cha kujifichia majasusi, vibaraka wa Magharibi. Linafadhili usimikaji wa viongozi wenye maslahi kwa kanisa na nchi za Magharibi. Nyerere, Mkapa na Magufuli kuwa wakatoliki wote sio kitendo cha bahati mbaya tu (chance).
Kama yule aliyetumia ulimi wake kusema "hakutakuwa na nywinywi wala nywinywinywila" na ikawa hivyo...""Hufahamu ulimi ni silaha kali sana kuliko bunduki ""