PostGE2025 Padre Kitima: Kanisa lilionya kutofanya uchaguzi kabla ya kurekebisha kasoro za uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kitima aliposhauri sana kama kawaida yao akili ndogo mtu yoyote anayewashauri wakiona hawataki awaamshe wananchi wanaona dawa ni kummaliza na wakamtumia kweli vibaka kumdhuru.

Ni ajabu huyu kibaka wa CCM yuko huko mtaani anadunda ni uthibitisho tosha CCM sio chama tena bali ni genge la vibaka na wauaji.


 
Mwinyi, Kikwete, Samia wote waislamu... what do you say?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…