maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Na kama kweli hawajui hiyo ni sababu tosha ya kuwaondoa madarakani. Haiwezekani intelligentsia yao ihusu vyama vya upinzani tu.Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowahibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.