Padre Titus Amigu anasema muda huu kupitia Radio Maria kuwa viongozi wakuu wa nchi wanajua wauaji ni akina nani

Wakristo kwa chuki ndo zao,hapo matamko yatakuwa ni kila siku,chukueni time zenu.
Huwa nakuonea huruma sanaaa Kwa kukosa Akili timamu..
Upofu wa Akili unawakosesha kuishi maisha mema na jamii kilakitu unapeleka kwenye udini Tu

Wewe Fala badilika Akili dini haiwezi kukufikisha mbinguni
 
Tena ni mbaya sana kuwa na wasomi wengi halafu wanafanya mambo ya kinyama kiasi hicho!!
Wanafanya au amefanya??... Though bado mahakama haijathibitisha.

But naamin umeelewa point yangu
 
Mwenyezi Mungu wakati mwingine huweka ushahidi wa kimazingira kuhusu mambo yanayotokea Duniani.
 
Msema kweli Mpenzi wa Mungu
Mungu yupi? Hata Padre aliyeshiriki kumchinja Albino alikuwa kila Jumapili anahubiri kanisani kama huyo Padre anayeongea hapo Radio Tumaini kwa hiyo usiwaamini sana binadamu hasa hao wanajiona ni wasafi sana na kunyooshea wenzao kumbe ni shetani wakubwa!
 
Huwa nakuonea huruma sanaaa Kwa kukosa Akili timamu..
Upofu wa Akili unawakosesha kuishi maisha mema na jamii kilakitu unapeleka kwenye udini Tu

Wewe Fala badilika Akili dini haiwezi kukufikisha mbinguni
Fala mwenyewe kafiri wewe.

Nani hajui kuwa makafiri mmejaa chuki zisizo na kifani kwa waislam na uislam??

Sasa KWA taarifa yenu,huyu mama hamumfanyi chochote kile,hizo mimba zenu za chukii safari hii mtaenda labor mtake msitake.
 
Intelejesia ya polisi huwa inaona viashiria vya uvunjifu wa amani kwa vyama vya siasa vya upande wa pili na kuzuia mikutano Yao ila kwa mambo mengine ya hatari wala hawajali na madam jana amedhihorisha hilo kwamba vyanzo vyake vinasa mipango vya chama kimoja cha siasa. (Kwingine sijui wanafeli wapi)

Hii issue ya utekaji nilitegemea polisi na madam wangetoa kauli kwamba endapo wananchi tunakutana na situation kama hiyo ya kiongozi wa CHADEMA kuchukuliwa mchana kweupe tufanye nini lakini badala yake wanakuja na kauli ya kifo ni kifo na kulinganisha na matukio yaliyofanyika Kwa kificho
 
Viongozi wanaojua kinachoendelea.
1. Samia anajua A to Z
2. Mpango anajua A to Z
3. Waziri wa Mambo ya ndani anajua A to Z
4. IGP anajua A to Z ingawa yeye anapokea maagizo tu ili kulinda mkeka wake.
5. Viongozi wa ngazi za juu wa CCM.
 
Wanafanya au amefanya??... Though bado mahakama haijathibitisha.

But naamin umeelewa point yangu
Wanafanya wapo wengi wanafanya ushetani mitaani halafu Jumapili yuko Madhabahuni akihubiri.
 
Mungu yupi? Hata Padre aliyeshiriki kumchinja Albino alikuwa kila Jumapili anahubiri kanisani kama huyo Padre anayeongea hapo Radio Tumaini kwa hiyo usiwaamini sana binadamu hasa hao wanajiona ni wasafi sana na kunyooshea wenzao kumbe ni shetani wakubwa!
Wapuuzi tuh hawa,eti Leo wanajiita wanamjua mungu,toka lini matapeli wa Imani za watu wakamjua mungu?
 
Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowahibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
Mbona hata mwenyekiti wa Chadema Taifa alisema hivyo, au ilikua ramli na hadaa tu kwa wananchi?🐒
 
Mungu yupi? Hata Padre aliyeshiriki kumchinja Albino alikuwa kila Jumapili anahubiri kanisani kama huyo Padre anayeongea hapo Radio Tumaini kwa hiyo usiwaamini sana binadamu hasa hao wanajiona ni wasafi sana na kunyooshea wenzao kumbe ni shetani wakubwa!
ok
 
Intelejesia ya polisi huwa inaona viashiria vya uvunjifu wa amani kwa vyama vya siasa vya upande wa pili na kuzuia mikutano Yao ila kwa mambo mengine ya hatari wala hawajali na madam jana amedhihorisha hilo kwamba vyanzo vyake vinasa mipango vya chama kimoja cha siasa. (Kwingine sijui wanafeli wapi)

Hii issue ya utekaji nilitegemea polisi na madam wangetoa kauli kwamba endapo wananchi tunakutana na situation kama hiyo ya kiongozi wa CHADEMA kuchukuliwa mchana kweupe tufanye nini lakini badala yake wanakuja na kauli ya kifo ni kifo na kulinganisha na matukio yaliyofanyika Kwa kificho
Wapinzani ndio wakosaji zaidi ulitaka wawaone wengine hata kama hawajapanga uhaini wa Samia Must Go?
 
Wakristo kwa chuki ndo zao,hapo matamko yatakuwa ni kila siku,chukueni time zenu.

UMEFANYA WAISLAMU WAONEKANEWA WANALIA LIA KILA WAKATI. SO KUMBE NI UDINI SASA? ACHENI KUDEKA MNAPOKOSOLEWA MJIREKEBISHE MSIWE KAMA CHURA MPUMBAVU KWENYE SUFURIA LA MOTO.
 
Back
Top Bottom