Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Uovu upi uliomchukiza Mungu hadi kuiteketeza dunia kwa moto zaidi ya ushoga na gharika enzi za Nuhu?Nonsense, kulishakua na mapapa waovu zaidi ya huyu ila Nguvu ya Mungu haijawahi kushindwa
Ungekuwa upo deep kiasi cha kuyajua mengi kunishinda ungeshanielewa pale juu nilipokwambia uombe hekima kwanza ndiyo ujadili haya mambo ya imani.Nipo deep kuliko unavyodhani mkuu,
duuu vatikan haikosei ikitamka ndo ilivo ...walipinga wakina luther wakauwawa sasa s sembuse hawa wameachwa hai....mtaguso mkuu wa 2 wa vatikan unasema papa hakosei...na roma haibadiliki...ww ndo umeivamia vatikan...meng yatakuja makubwa .Acha kuandika bila kufuatilia mambo. Francis alipoingia amewatoa wadhifa watu wengi waliokua wanampinga au kuonesha kumpiga, wamewekwa watu wanaitwa 'mercenaries wake' sasa hao wao ni wanatishia sana.
Tamko la vatican ni la baraza, sio la papa lkn ni baraza ambalo limejazwa watu aidha waliokengeuka tyr au waliotishwa, unategemea watapinga?
Upo sahihi sana ktk hili.Ila kusema kweli dunia ya leo inahitaji kujenga imani kwenye Neno na sio wote wanaoitwa watumishi wa Mungu wanafanya maagizo ya Mungu.
Kuna nyakati ni tete usipokuwa makini unadondokea shimoni maana unaongozwa na kiongozi kipofu.
Binafsi ni Mkristo ambaye niko huru, sibanwi na mapokeo ya dhehebu flani au kiongozi flani bali ninabanwa na neno la MUNGU MKUU lililo kwenye bible.
Kwa hiyo hata kiongozi wa kiimani akifanya matendo ya kishetani hata hainiumizi chochote kwa vile sina tumaini juu ya mwanadamu, ila kikubwa zingatia andiko hili,
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Alikaa karibu miaka 10 baada ya kujiuzulu, tena akiwa na afya nzuri tu.Papa benedict sijui ni nini tu kilimlazimu kujiudhuru, na ukicheki francis kasubiri benedict afe ndio afanye yake.
Kuna kardinali mmoja alisema pala benedict kpnd anajiudhuru alidhan hatoishi hata zaidi ya mwaka
Naam brother.Jililie nafsi yako wala si Papa sababu kila Mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe.............[emoji3578]
YEREMIA 17:5.
BWANA asema hivi,
Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu,
Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake
Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Asante sana , Let us be proud of our Catholicism.Kanisa na imani yetu haitayumba kwani tumelelewa kwny misingi imara..huyo papa hawezi kututeteresha..atapita na yy kama walivyopita wengine waovu na kanisa bado liko pale pale...kuna waves kwenye maisha ya imani ni jukumu letu kusimama imara...
Nitakiri imani yangu ya kanisa katoliki mpk kufa...
Wakati kuishi ni kristo na kufa ni faidaUzee wote ule unaogopa kifo.
Uwe unakiri imani ya Mungu ili uwe na uzima wa milele siku yako ikiwadia sio kuweka imani kwenye kanisa pekee.Kanisa na imani yetu haitayumba kwani tumelelewa kwny misingi imara..huyo papa hawezi kututeteresha..atapita na yy kama walivyopita wengine waovu na kanisa bado liko pale pale...kuna waves kwenye maisha ya imani ni jukumu letu kusimama imara...
Nitakiri imani yangu ya kanisa katoliki mpk kufa...
Fara weweFr. Ramon Guidetti wa Italy amefukuzwa tar 3 January 2024 baada ya kuhubiri kwamba papa francis anakinajisi kiti cha Mtume Petro (anti-pope) na anatimiza matakwa ya wapinga Kristo.
Hio ilitokea alipokua anahubiria tarehe 31 December 2023 siku iliokua ni kumbukizi ya kifo cha Papa Benedicto wa 16. Alienda mbali zaidi na kusema kwamba Papa Benedicto ndie alikua papa wa kweli lkn huyu wa sasa ni 'Antipope and masonic jesuit'
Ikumbukwe pia wakuu kadhaa ndani ya roman catholic walitumia siku ya trh 31 ambayo ni kumbukumbu ya kifo cha papa benedicto wa 16 kutoa yao ya moyoni dhidi ya uendeshaji potofu wa papa francis wakiwemo makardinali wawili waliokua karibu sana na papa benedicto wa 16
Soma zaidi hapa Italian priest excommunicated for slandering Pope Francis during Mass
Maoni yangu, mapadri, maaskofu wote wanaofukuzwa wafungue kanisa jipya ambalo litafuata kanuni za conservative catholics lkn tu lisimtambue papa kama walivyofanya orthodox, wakifungua hilo kanisa mimi nitakua muumini wa kwanza hapa Tanzania, huyu papa wa sasa 'Tumepigwa'
Sawa...Uwe unakiri imani ya Mungu ili uwe na uzima wa milele siku yako ikiwadia sio kuweka imani kwenye kanisa pekee.
Ndani ya kanisa lolote kuna sintofahamu nyini, hivyo unaweza jikuta unawekeza tumaini kwenye mapokeo yaliyowekwa na wanadamu ukasahau kuimarisha uhusiano wako binafsi na YEHOVA.
Hakuna kanisa linalompeleka mtu mbinguni bali imani thabiti iliyojengwa juu ya Neno la Mungu kupitia kwa Yesu Kristu.
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
UbarikiweSawa...
Utakuwa hauna tofauti na waprotestant ambao kwao hata wakitofautiana mavazi wanaanzisha kanisa jipyaMaoni yangu, mapadri, maaskofu wote wanaofukuzwa wafungue kanisa jipya ambalo litafuata kanuni za conservative catholics lkn tu lisimtambue papa kama walivyofanya orthodox, wakifungua hilo kanisa mimi nitakua muumini wa kwanza hapa Tanzania, huyu papa wa sasa 'Tumepigwa'
Nasisitiza, kulikuwapo Mapapa waovu zaidi ya huyu lakini walipita na kanisa likasimama. Ni kwa kuwa watu mpo wavivu tu wa kusomaUovu upi uliomchukiza Mungu hadi kuiteketeza dunia kwa moto zaidi ya ushoga na gharika enzi za Nuhu?
Ni kweli,kupitia maneno yako nimeiona hiyo shida waliyokupeleka nayo huko Milembe.Mungu gan tena?? . .... ..POPE maana yake n baba mtakatifu yaan (mungu wa wakatoliki wote)...nimetoka milembe juz sjamaliza dozi