Padre wa Kanisa Katoliki Italia afukuzwa baada ya kuhubiri kwamba Papa Francis ni 'Masonic' na 'Anti-pope'

Seen.
 
Najaribu kuhusianisha contents na emoji lakin wapi
 
Yaan mfumo ndo umwamua!!!!!
 
Kanisa moja chini ya papa?
Kwanza lini ktk ukristo kulikuwa na kanisa moja?
 
Pope alikuwa Yohane Paulo 11 . Yule jamaa alipiga kazi acha kabisa.
 
Upo sawa

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Shetani na mawakala zake roman catholic hawaitaji kuoneshwa hekima;
 
Roman haitakaa iache upinga kristo
Ja wala haikuanza leo
Biblia inasema shetan mwenyewe atajitukuza hata kukaa madhabahuni na kuabudiwa
Papa ni ofisi kuu ya shetani
Hata akibadikishwa papa,atakaekuja atafanya masharti yaleyale
Upinga kristo ni kitu cha kidini.
666 ni hesabu iliopo katika kofia ya papa.
Na ni jina jingine la paoa.

Petro hakuwahi kuwa papa.
Na wala hajawah kukanyaga vatican wala italy.
 
Hakuna sehemu leo utaingia ujisikie amani kama ndani ya Kanisa Katoliki,ni huyu mzee tu anavuruga lakini Catholic bado ni sehemu sahihi sana kiimani kwa mtu anyejitambua.
biblia imetoa mlango wa kutoka humo, kuna imani gani ndani ya ukatoliki?
 
Haliwezi kupita salama wakati kashatoa matamko kuwa wapenzi wa jinsia moja wapewe baraka na mapadiri
 
Hakuna mtu timamu anaweza kubali muunganiko na kanisa linalotoa matamko ya ajabu,mimi ni mkatoriki lakini haya mambo yanayoendelea ni aibu kwa kanisa na waamini

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Catholic hakuna kitu kinachoitwa dhambi,
 
Shetani na mawakala zake roman catholic hawaitaji kuoneshwa hekima;
Shukrani sana mkuu.

Mungu akurehemu lakini zingatia sana nilichokuambia kwenye post yangu ya kwanza kwako,kuna kitu umekikosa ktk ufahamu wako kama binadamu omba na hicho upewe maana Mungu siyo mchoyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…