Padre wa Kanisa Katoliki Italia afukuzwa baada ya kuhubiri kwamba Papa Francis ni 'Masonic' na 'Anti-pope'

Padre wa Kanisa Katoliki Italia afukuzwa baada ya kuhubiri kwamba Papa Francis ni 'Masonic' na 'Anti-pope'

Fr. Ramon Guidetti wa Italy amefukuzwa tar 3 January 2024 baada ya kuhubiri kwamba papa francis anakinajisi kiti cha Mtume Petro (anti-pope) na anatimiza matakwa ya wapinga Kristo.

Hio ilitokea alipokua anahubiria tarehe 31 December 2023 siku iliokua ni kumbukizi ya kifo cha Papa Benedicto wa 16. Alienda mbali zaidi na kusema kwamba Papa Benedicto ndie alikua papa wa kweli lkn huyu wa sasa ni 'Antipope and masonic jesuit'

Ikumbukwe pia wakuu kadhaa ndani ya roman catholic walitumia siku ya trh 31 ambayo ni kumbukumbu ya kifo cha papa benedicto wa 16 kutoa yao ya moyoni dhidi ya uendeshaji potofu wa papa francis wakiwemo makardinali wawili waliokua karibu sana na papa benedicto wa 16

Soma zaidi hapa Italian priest excommunicated for slandering Pope Francis during Mass

Maoni yangu, mapadri, maaskofu wote wanaofukuzwa wafungue kanisa jipya ambalo litafuata kanuni za conservative catholics lkn tu lisimtambue papa kama walivyofanya orthodox, wakifungua hilo kanisa mimi nitakua muumini wa kwanza hapa Tanzania, huyu papa wa sasa 'Tumepigwa'
Seen.
 
Najaribu kuhusianisha contents na emoji lakin wapi
kanisa la roma haliwezi kuwa chini ya masonic kwan ndilo mmiliki halali wa masonic iluminant na jesuits ......😂🤣😅😆😁😄😃.....kiukwel iko hivi papa hawezi kujiamulia tuu na kujifanyia mambo pale vatican...anachokisema ndyo maamuzi halisi ya taasis ya kikatoliki....yaan katoliki iĺivonamfumo imara vile ety papa akurupuke tuu from nowhere kwel jaman wakatoliki wenzangu wa buza tujiulize mara2😅🤣😂......n swal la muda tuu katoliki sio tuu itabariki bali kufunģisha kabisa ndòa za jinsia moja ...narudia n swala la muda tuu....itaua mamilion kama ilivoua karne ya 16 17 na 18 by mm nabii mlokole
 
Yaan mfumo ndo umwamua!!!!!
 
Hatuwezi kufanya mambo ya Kimungu kwa kukurupuka kama hivi,Kanisa Katoliki mpaka sasa lina sala maalumu kwa ajili ya kuomba muunganiko uliokuwepo zamani urudi kuwe na Kanisa moja sasa tukisema tena wajitenge waanzishe lingine itakuwa ni kuzidi kugawa imani.

Kila kitu kina muda wake personally naungoja muda wa Mungu ufanye kitu kwa huyu Papa maana amekengeuka sana sana sana yaani amezidi,naamini hili litapita salama.
Kanisa moja chini ya papa?
Kwanza lini ktk ukristo kulikuwa na kanisa moja?
 
Pope alikuwa Yohane Paulo 11 . Yule jamaa alipiga kazi acha kabisa.
 
Ungekuwa upo deep kiasi cha kuyajua mengi kunishinda ungeshanielewa pale juu nilipokwambia uombe hekima kwanza ndiyo ujadili haya mambo ya imani.

Imagine huijui hata sekunde moja ya pumzi yako lakini unathubutu kusema hapa kwamba watu fulani ni wa shetani,who are you bro?mimi nitaenda motoni unajuaje kama nitaenda motoni mzee?just kwa sababu ni Mkatoliki?umeujuaje utendaji wa Mungu?umeijuaje hekima ya Mungu ktk kuwahukumu wale waliojitahidi au kujaribu kumtafuta lakini wakawa hawapo sehemu sahihi?

Usijimilikishe wewe ukuu,Mungu ana taratibu zake siyo mimi wala wewe anayezijua itoshe kusema tusali kwa imani zetu tukingoja yajayo hakuna mwenye mamlaka ya kumuhukumu mwenzake.
Upo sawa

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Sawa wewe msafi sana usiyekuwa na dhambi na unayejua sana maandiko Matakatifu rudi ktk post yangu nionyeshe wapi nimeandika neno “WARAKA WA KWANZA WA YOHANE”

Upo huru usije kusema nimerudi ku-edit soma uliponi-quote original post yangu umeishikilia wewe siwezi kui-edit,kama Mungu unayemuamini ndiye amekupa utashi huu ndugu unastahili kujiuliza mara mbili mbili ni Mungu kweli au kitu gani?

Brother hekima,nasisitiza hekima binadamu unayepumua ukikosa kitu kinaitwa hekima wewe ni bure siyo kwa jamii tu hata kwa Mungu wako.
Shetani na mawakala zake roman catholic hawaitaji kuoneshwa hekima;
 
Roman haitakaa iache upinga kristo
Ja wala haikuanza leo
Biblia inasema shetan mwenyewe atajitukuza hata kukaa madhabahuni na kuabudiwa
Papa ni ofisi kuu ya shetani
Hata akibadikishwa papa,atakaekuja atafanya masharti yaleyale
Upinga kristo ni kitu cha kidini.
666 ni hesabu iliopo katika kofia ya papa.
Na ni jina jingine la paoa.

Petro hakuwahi kuwa papa.
Na wala hajawah kukanyaga vatican wala italy.
 
Hakuna sehemu leo utaingia ujisikie amani kama ndani ya Kanisa Katoliki,ni huyu mzee tu anavuruga lakini Catholic bado ni sehemu sahihi sana kiimani kwa mtu anyejitambua.
biblia imetoa mlango wa kutoka humo, kuna imani gani ndani ya ukatoliki?
 
Hatuwezi kufanya mambo ya Kimungu kwa kukurupuka kama hivi,Kanisa Katoliki mpaka sasa lina sala maalumu kwa ajili ya kuomba muunganiko uliokuwepo zamani urudi kuwe na Kanisa moja sasa tukisema tena wajitenge waanzishe lingine itakuwa ni kuzidi kugawa imani.

Kila kitu kina muda wake personally naungoja muda wa Mungu ufanye kitu kwa huyu Papa maana amekengeuka sana sana sana yaani amezidi,naamini hili litapita salama.
Haliwezi kupita salama wakati kashatoa matamko kuwa wapenzi wa jinsia moja wapewe baraka na mapadiri
 
Hatuwezi kufanya mambo ya Kimungu kwa kukurupuka kama hivi,Kanisa Katoliki mpaka sasa lina sala maalumu kwa ajili ya kuomba muunganiko uliokuwepo zamani urudi kuwe na Kanisa moja sasa tukisema tena wajitenge waanzishe lingine itakuwa ni kuzidi kugawa imani.

Kila kitu kina muda wake personally naungoja muda wa Mungu ufanye kitu kwa huyu Papa maana amekengeuka sana sana sana yaani amezidi,naamini hili litapita salama.
Hakuna mtu timamu anaweza kubali muunganiko na kanisa linalotoa matamko ya ajabu,mimi ni mkatoriki lakini haya mambo yanayoendelea ni aibu kwa kanisa na waamini

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Yaani siku mimi nikiwa siyo Mkatoliki nitakuwa either atheist au marehemu hii ipo clearly kabisa Mungu aonae sirini anajua,nilipofikia sina muda wa kwenda kufundishwa jinsi ya kuwa hater na mbinafsi.

Imani nyingi nje ya Kanisa Katoliki zinashambulia wale wasiokuwa wenzao hazipo kwa ajili ya kujengana kiimani,mtu kumuita mwenzake shetani,kum-provoke anachokiamini au kumnanga siyo mwenzao ni kitu cha kawaida lakini ndani ya Kanisa Katoliki hakuna siku Padre,Askofu au Shemasi atasimama madhabahuni na kusema wale ni wa shetani sisi ni wa Mungu lakini hao wengine tangu mwanzo wa ibada mpaka mwisho wa ibada ni majungu tu.
Catholic hakuna kitu kinachoitwa dhambi,
 
Shetani na mawakala zake roman catholic hawaitaji kuoneshwa hekima;
Shukrani sana mkuu.

Mungu akurehemu lakini zingatia sana nilichokuambia kwenye post yangu ya kwanza kwako,kuna kitu umekikosa ktk ufahamu wako kama binadamu omba na hicho upewe maana Mungu siyo mchoyo.
 
Back
Top Bottom