Padri Dkt. Kitima: Sikujua sababu ya kuitwa Ikulu, msimamo wetu ni ule ule, hatukubaliani na IGA

Nadhani pia una " walakini" na mabadiliko ya HJA na IGA tuloaminishwa siku Ile kuwa yamefanyika.
Bila hata kuonyesha au kueleza ni mabadiliko gani yamefanyika.

Nilisema tokea mwanzo, mwanamke huyu ni hatari zaidi kuliko hata kiongozi aliyekuwa akipiga kelele nyingi za vitisho, na hata kuumiza wapinzani wake.

Huyu Samia anaumiza taifa zima, huku akitabasamu na kuonyesha uso wa furaha.
 
Mkuu Mimi mtu Mdogo sana tena mnatuita dayaspora

I am just challenging jamaa because he’s not reliable
 
Mkuu Mimi mtu Mdogo sana tena mnatuita dayaspora

I am just challenging jamaa because he’s not reliable
Who are you challenging. Who is not reliable?

If you do not believe what Dr Kitima is saying, it is easy to verify that.
If you believe Samia is right, then tell us the basis of your your belief.
People are unashamedly telling blatant lies, and still we have gullible citizens giving them benefit of the doubt?
I am led to believe that you have your own reasons for allowing yourself to be lied to, and attempting to abate the same to the rest of us.
 
Mchumia tumbo umevimbiwa na asali tayari
 
Usinifokee, nani alikuambia Kuna mihuri ya challenging mnayo wachache… peleka kichefuchefu chako kule

Nimeweka very simple understanding hapo

Naona unawashwa
 
Siungi mkono ishu ya bandari ila kitima alisema kanisa lina database makini na intelijensia nchi nzima?Sasa walishindwaje kujua kuwa kuna jambo ikulu kuhusu bandari hyo siku?
 
Yupo sahihi, HGA haiwezi kwenda kinyume na IGA, waonyeshe IGA ikiyofanyiwa marekebisho
 
Kwani yeye ni nani kujua siri za nchi kushinda wa Tanzania 60m......hizo phd za theology zina wanadanganya wanata kuji pima umbavu wao na "State"
Sio theology tu, wana degree ya philosophy pia. Ukija kwenye elimu yetu ya wote Fr. Kitima ana PhD, ni mbobevu wa sheria. Amenifundisha Constitution Law pale SAUT.
 
Kwakweli mimi siwezi kwenda kwenye hafla ambayo sijui inahusu nini, nitaamdika tu barua ya kujibu mwaliko.
 
Kwani yeye ni nani kujua siri za nchi kushinda wa Tanzania 60m......hizo phd za theology zina wanadanganya wanata kuji pima umbavu wao na "State"
Akili kisoda! Kwa ujuha wako unaona ni sahihi mikataba kusainiwa gizani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…