Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

Hizo sio karama si degree.Karama anatoa Mungu (Roho Mtakatifu) na uwa hatoi ukomando au PHD .Mfano wa karama ni kukirimu,unabii,uponyaji,kupambanua roho n.k
Inategemeana. Kwa Wakatoliki Roho Mtakatifu anatoa Hekima, Akili, Shauri, Nguvu, Elimu, Ibada na Uchaji wa Mungu. [emoji16]
 
Mmekatazwa kusoma[emoji23][emoji848]
 
Mnaotamani kupiga HATUA za kimaisha kwa namna yeyote, Mungu awafanyie wepesi
Hapa kuna mushikeri,....kwa namna yeyote...! Yaani hata kama ni kuvunja amri za Mungu ni sawa kweli???
 
Naona mzee anachezea nunchaku....huyu balAa...muda huo huo ujue upadri..huo huo..uwe architecture...komando...dah..muda huo huo.ui master martial arts Hadi amepata black belt...huyu mzee balaa
Mambo ya black belt yapo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…