Padri Kitima: Ali Kibao amekamatwa kwenye halaiki mchana, wanasema tunyamaze? Uovu lazima tuukemee!

Kapata Ulinzi?

Maana hawa watekaji wanaweza kumrudia, tena wale wale kama walivyofanya kwa Mdude.
 
Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
🤔
 
Ni "Mungu" gani unaye mzungumzia wewe; huyo mnayemwamurisha na kumwagiza wenyewe afanye mnayoyataka nyinyi?
Mnavyomchukia nyie na TEC yenu unafikiri angekuwepo mpaka Leo bila nguvu na ukuu wa Mungu?!!!! Mungu ni mmoja tu, kama wapo wengi ni huko kwenu. Yeye haamrishwi Bali huamrisha......... mengine hamyajui ila mnayapangilia kwa matakwa yenu.
 
Akienguliwa kugombea na chama chake utabadili kauli?!
Hivi hili linawezekana; litaanzia wai; na nani atalianzisha!

CCM kama chama kimeshikiliwa na GENGE hatari sana wakati huu kukiachia chama kifanye hilo unalo lisema

Na ikitokea hivyo, kutakuwa na mtikisiko mkubwa sana ndani ya chama hicho.

Wewe si unaona hata humu JF, hawa akina Nicholasmmari/maDrwa Manesi, ambao ndio sasa wanaokishikilia CCM; hawa ndani ya chama utaambia kitu gani wakusikilize, na kuondoa matumaini yao chini ya Samia Suluhu Hassan?
Hawa ndio wenye chama chao CCM sasa hivi.
 
Mnavyomchukia nyie na TEC yenu unafikiri angekuwepo mpaka Leo bila nguvu na ukuu wa Mungu?!!!! Mungu ni mmoja tu, kama wapo wengi ni huko kwenu. Yeye haamrishwi Bali huamrisha......... mengine hamyajui ila mnayapangilia kwa matakwa yenu.
Kwa hiyo ni 'Mungu' wenu huyo, ndiye anayeagiza muwateke watu na kuwaua, au mnawateka nyinyi na kumwamuru yeye awaue?
Inaonekana kama unamzungumzia Samia kuwa ndiye 'Mungu' wenu! Huyu 'Mungu' Samia "anawaamurisha" nyinyi machawa wake mtimize matakwa yake ya kuteka na kuua watanzania!
 
Kwa hiyo ni 'Mungu' wenu huyo, ndiye anayeagiza muwateke watu na kuwaua, au mnawateka nyinyi na kumwamuru yeye awaue?
Inaonekana kama unamzungumzia Samia kuwa ndiye 'Mungu' wenu!
Kumbe naongea na linyumbu lililochanganyikiwa?!!!! Pole
 
Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
Udini unakutesa mkuu. Pia sio Kila anaetoka Singida ni Mnyiramba mkuu.
 
Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
Kama kweli "waislam" wanakutegemea mtu kama wewe kuwasemea mambo ya dini yao, hili litakuwa ni jambo la kusikitisha sana.

Kwani hawa "waislam" unaowawakilisha wewe, wanaishi wai hawa ; wao haa Tanzania; na wao ni waTanzania kama sisi wote tusiokuwa na dini au dini zetu ni tofauti na hiyo ya kwenu?
Hii Tanzania tuwaachie nyinyi, 'waislam' ya aina yako na hawa wenzako humu JF?
Sasa tukiwaachia hii Tanzania mbaki eke yenu, hao mtajisikia kuwa vizuri sana kuliko mnavyojisikia sasa?
Hamtaanza tena kuzozana nyinyi kwa nyinyi, kama tunavyoona kwenye baadhi ya mataifa mengine kma Sudani, au Somalia?

Mwisho. Kama kweli wewe ni muislam, na unamenda 'Mungu' wako kwelikweli; na 'Mungu' huyo kaamua kukuweka Tanzania. Mshukuru sana 'Mungu' wako huyo; kwa sababu anaienda sana nchiii aliyo amua kukuweka wewe. Usiinajisi nchi hii kwa kutumia kisingizio cha dini yako na 'Mungu' wako.
Hata kama huyo 'Mungu' unaye mwamini wewe atakuwa ni tofauti na 'Mungu' wa hao waTanzania wenzako wengine; fahamu kwamba wao ia wanamshukuru 'Mungu' wao kwa kuwaweka kwenye hii moja tuliyomo sisi sote. Na hawa 'Miungu' wetu tofauti, wote wanaienda sana nchi hii, ndiyo maana wakatuweka sisi sote (waTanzania) kuwa ndani ya nchi hii. Hili ndilo linalo tuunganisha sote kwa amoja, hata kama hao 'Miungu' wetu wako mbalimbali.

Ukienda kunielewa, nielewe.
 
Si tu linawezekana, ni jambo ccm hawawezi kuliepuka.
Kumwengua Samia; kwenye dakika hii hatarishi kwa kila mmoja wao ndani ya chama?

GENGE hili lililo kiteka chama utalieleka wai hadi likuachie chama?

Bado kabisa sishawishiki na hoja yako, mkuu 'Gagnija'.
 
Ni vita za kidini, wakati wa Magu watu walinyooshwa sana mbona hatukuwasikia?
TEC walitoa nyaraka hata wakati wa Nyerere.
Mrudishe huyo Magu uone kama watu hawataongea.!!

Yaani watu wapotee na kutekwa unataka watu wasikemee??
Wakikemea unasema vita ya kidini?

Fanya ukaguzi wa akili yako tafadhali.
 
Mtu yeyote akishaingiwa na roho ya kiburi, hekima na busara kwake huwa ni kitu kisicho cha kipaumbele tena...

Mambo maovu huambatana na mtu huyu maana asili ya kiburi ni shetani...

Mtu huyu ni watawala wa Afrika kwa asilimia kubwa...
 
Gazeti refuu kumbe pumba tuu
 
Mnavyomchukia nyie na TEC yenu unafikiri angekuwepo mpaka Leo bila nguvu na ukuu wa Mungu?!!!! Mungu ni mmoja tu, kama wapo wengi ni huko kwenu. Yeye haamrishwi Bali huamrisha......... mengine hamyajui ila mnayapangilia kwa matakwa yenu.
Umeulizwa mzee kibao angekuwa babako still ungeendelea kupiga hilo domo kwa njia hasi
 
Hawajaanza Leo, hawatamaliza kesho.......Samia atalindwa na Mungu na si hawa binadamu waliojaa chuki na hila
Kwa hiyo Samia ana haki ya kuishi na kulindwa na Mungu ila Mzee Kibao haki yake ilikuwa ni kuuliwa kikatili.
 
Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
Ukiwa muislam ndo anaruhusiwa kuua????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…