Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,885
- 5,625
Ficha utaahira wako!! Mimi ni CCM lakini kwa wajinga kama wewe sitaki kuwa karibu nawe!!Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
Usihamishe magoli, alitekwa na nani? Ni Samia kama mnavyolazimisha ionekane?!!!Kwa hiyo Samia ana haki ya kuishi na kulindwa na Mungu ila Mzee Kibao haki yake ilikuwa ni kuuliwa kikatili.
Nyagali alikuwa anashinda akiomba Samia afe, adhalilike, apotee, achanganyikiwe, familia yake iaibike, adharaulike.......apate Kila aina ya dhoruba. Hatujui kilichotokea lkn huenda majibu ya maombi yake maovu yamejibiwa kwa kumrudia yeye mwenyewe. Haya mengine, kama kawaida yenu, mnavusha kwa hisia zenu tu. Hata mkeo hapo anavyokosa mimba kutokana na wewe kutokuwa na nguvu za kiume lawama unampelekea Samia; ndivyo mnavyofunzwa na lissu hivyo.Ficha utaahira wako!! Mimi ni CCM lakini kwa wajinga kama wewe sitaki kuwa karibu nawe!!
Wewe unaona sawa tu alivyouawa Ali Kibao , na Watanzania wengine walivyopotea akina Soka, Mdude Nyagali n.k?! Jinga sana wewe!
Suala sio kuhamisha magoli. Kila mtu ana haki ya kuishi wewe kama ungekuwa umetekwa na kuuliwa usingepata nafasi ya kupashana taarifa kama hivi. Huenda sio Samia aliyefanya vile lakini, kwa mamlaka yake aliagiza uchunguzi ufanyike na taarifa aipate kwa haraka ila mpaka leo hakuna chochote kinachojulikana.Usihamishe magoli, alitekwa na nani? Ni Samia kama mnavyolazimisha ionekane?!!!
Taraji yasiyotarajiwaGazeti refuu kumbe pumba tuu
Ila Soka aliniuma sana, sasa kijana mdogo kama yule aliyekua na future kubwa mbele anapotezwa kama vile ni nobody huku wajinga jinga kama Mwijaku ndio wanashabikiwa.Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima
Ngoja siku ndugu yako atekwe na angolewe macho ndio utaelewa tunachosemaHuyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
kuteka na kuua siyo suala la mtu mmoja. Damu ya mtanzania ilindwe na kutetewa kwa gharama zote. na watu wote. AMRI KUU ZA MUNGU: USIUELioneni hili zombie, nchi hii siyo mali ya kanisa katoliki hao mambwa wataishiaa kubweka tu hakuna wanaloweza kufanya
Sio kazi yake. Yeye kazi yake ni hiyo anayoendelea kuifanya😄Hivi yule mwenye hema Kawe amewahi kukemea utekaji?
Inaonesha ndugu zake wako salama 100%, kama sivyo ujasiri huu kautoa wapi?.Ngoja siku ndugu yako atekwe na angolewe macho ndio utaelewa tunachosema
Masheikh ubwaubwa utawaweza!Halafu sikiliza upande wa Masheikh wanavyosema
Duuuh hizi chuki kwa kanisa zinasababishwa na nini? Ndiyo mnafundishwa kuwachukia wengine kwa kiwango hiki ndo mnaenda peponi? Labda pepo za mama na Bibi zenu!Lioneni hili zombie, nchi hii siyo mali ya kanisa katoliki hao mambwa wataishiaa kubweka tu hakuna wanaloweza kufanya
Afadhali Mwashambwa yeye huwa anajibubujikia machozi ya furaha aonapo "miradi" mbalimbali🤣Ulishawahi kumuona akiandika chochote cha maana zaidi ya matusi? Mpuuze tu, hawa ni wale machawa sugu kama kina Mwashambwa
Je wauaji hawatafuti shari?Na kwa Tanzania hii hakuna kanisa lililowahi kufanikiwa kuleta vurugu za kidini......na halitafanikiwa kwani Mungu yupo hai muda wote na anazijua vema hila zetu tulizonazo myoyoni na ana uwezo wa kuziyeyushia mbali.
Wanatafuta Shari kwa nguvu kweli lakini hawatofanukiwa.
Hivi Jamani 3.3..4 imesimama na kundi gani. Naona kama imesimama na wakora watupu.Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima
Kukemea utekaji ni kumsumbua rais ? Je kweny uislam wanaruhusu uonevu na utekaji ?Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
Kichwa chake Tu kinasadifu akili Yake kuwa mbowe kichwan butu
Ha haaa kwahiyo kuna waliotoweka serikali ilihusika.....?
KipanyaMkuu uko mbali sana, hujamuelewa kabisa huyo Kitimacna genge lake. Kibao ametajwa kukutega wewe hapo na kukunasa....ukweli ni kwamba hata hamfikirii huyo kibao na hilo hata sio lengo lake kuu