Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Mbona kama mama anapambana na kanisa katoliki kaingia chaka sana uislam utampoteza ajue ya kuwa anapambana na serikali nyingine dunia nzima. Kanisa katoliki ni kubwa kuliko serikali ya Tanzania
Magaidi wananatabia ya Kuuwa na kushambulia viongozi wa dini isiyo dini yao. Je kuna magaidi?
 
Itawezekanaje wakati ndiyo imehusika? Uaminifu mkubwa wa aina gani wakati polisi wanateka raia wema hadharani na baadae polisi wanakana hadharani kuwa hawajui? HAKUNA ATAKAYEWAAMINI. Huyu ni Samia 100%.

Mbinu za Utawala za kidhalimu za kuwanyonga Wakosoaji wako (Assassination of the Critics and dissidents) kamwe hazijawahi kumsaidia Mtawala yoyote yule hapa duniani, zaidi Sana matokeo yake Watawala hao Wauaji wamekuwa wakikabiliwa na hali ngumu Sana na mbaya zaidi kwa kadiri wanavyozidi kuwanyonga Wakosoaji wao. Watawala Madikteta wengi sana waliotumia mbinu hii kamwe hawakuwahi kupata nafuu katika kuwatawala watu.
Mathalani, aliyekuwa Rais wa nchi ya Zaire (Sasa DRC) Dikteta Mobutu Sese Seko aliwateka na kuwanyonga watu wengi sana waliokuwa wakimkosoa na kupinga Utawala wake, lakini kamwe hiyo haikuweza kuwa dawa ya kuweza kuwanyamazisha watu katika kukosoa Utawala wake. Kadiri Mobutu alivyokuwa akiteka wakosoaji wake na kuwaua, ndivyo kadiri watu wakosoaji wenye Misimamo mikali zaidi walivyozidi kuongezeka katika idadi yao, na hatimaye Rais huyo aliishia kupinduliwa kijeshi.
 
Mbinu za Utawala za kidhalimu za kuwanyonga Wakosoaji wako (Assassination of the Critics and dissidents) kamwe hazijawahi kumsaidia Mtawala yoyote yule hapa duniani, zaidi Sana matokeo yake Watawala hao Wauaji wamekuwa wakikabiliwa na hali ngumu Sana na mbaya zaidi kwa kadiri wanavyozidi kuwanyonga Wakosoaji wao. Watawala Madikteta wengi sana waliotumia mbinu hii kamwe hawakuwahi kupata nafuu katika kuwatawala watu.
Mathalani, aliyekuwa Rais wa nchi ya Zaire (Sasa DRC) Dikteta Mobutu Sese Seko aliwateka na kuwanyonga watu wengi sana waliokuwa wa wakimkosoa au kupinga Utawala wake, lakini kamwe hiyo haikuweza kuwa dawa ya kuweza kuwanyamazisha watu katika kukosoa Utawala wake. Kadiri Mobutu alivyokuwa akiteka wakosoaji wake na kuwaua, ndivyo kadiri watu wakosoaji wenye Misimamo mikali walivyozidi kuongezeka katika idadi yao, na hatimaye Rais huyo aliishia kupinduliwa kijeshi.
Historia iko wazi, ukandamizaji haujawahi kufanikiwa kwa jambo lolote.
 
Serikali zote duniani zinatisha ukizikosoa unapaswa ujiandae na kujipanga kwa lolote hasa serikali za Afrika.Shekh Ponda Mbona alikoswa na Risasi kabisa , Ila sina maana na hili pia likawa swala la kisiasa .Ila ni kwamba ukiwa mkosoaji au kufuatilia fuatilia mambo ya kisiasa watu kukufanya kama soka ni swala la kawaida.

Hebu tofautisheni harakati kati ya harakati za kisiasa za kampeni za kutaka uongozi na za dini ya kiislam kwenye kipindi ambacho dunia nzima ilikua na tishio la ugaidi na magaidi.

Ni kweli Shehe ponda ni mtetezi wa Haki za Binadam lakini kumbukeni wakati huo baada ya hotuba zake Makanisa yalikua yanachomwa Moto na wakati huo huo vituo vya polisi vilikuwa vinachomwa moto na Chuki ilikua kubwa sana baina ya Waislam wao kwa wao na uvamizi wa misikiti na kuchapana bakora kugombania misikiti.

Sasa ni lazima tutofautishe na siasa .

Siasa za majukwaani ni kwa ajili ya madaraka na kudai haki kwenye uchaguzi . Hili ni haki na lipo wazi kikatiba .
Kwenda kusikiliza kesi ni kosa kwa sheria ipi. Na tangu wameanza kufanya mikutano ni nani ameumizwa kati ya hao wanaotumia nguvu huko Serikalini ni mali ya nani imeharibiwa ?

Hofu ya kukataliwa na wananchi ndiyo inayowaogopesha watawala na hao wakuu wa polisi kuogopa uongozi mpya maana nafasi zao zitatanguliwa kwa maovu waliyofanya lakini sio kweli kuwa Chandema wanafanya fujo .
Eti wamesema watakinukisha!
Kukinukisha ni kosa gani katika Makosa ya jinai ?
Hivi Simba kwa mfano ikisema kwenye mechi yetu ya marudiano kule Misri tutakwenda kukinukisha basi Wataondolewa kwenye mashindano kwa sababu wamesema watakwenda kukinukisha kama hamasa ya kuashiria watakwenda kucheza kwa bidii mpaka washinde ugenini !

Acheni kutisha watu kuwa eti maandamano au mikusanyiko inaondoa amani .
Amani inaondoka kwa serikali kuua wanandamanaji badala ya kuwasikiliza na kuwapa majibu wanayotaka .

Ingekuwa maandamano yanaondoka amani leo Marekani ingekuwa kama Somalia maana maandamano ni sehemu ya utamaduni wao panapotokea ukiukwaji wa sheria .

Hivi serikali ilifanya makosa yanayoumiza wananchi bado wanatakiwa wawapigie magoti watawala waliosema wao ni viziwi .?

Kwa sasa kunauzwa mpaka mayai feki toka China halafu watu wakisema hawasikilizwi , Wachina wanamaliza miti yote kwa kukata miti kwa kasi ya ajabu hakuna anayesema . Je, wapinzani wasiseme na kutaka sheria nzuri maana wanaona kuna sababu za msingi na nzuri za kuwaeleza wananchi na kupata kura kwa haki . Je , waliozembea serikalini watapenda haki itendeke wakati wanaona watapoteza nafsi zao kwenye serikali inayowajibika na kusimamia sheria ?
Hivi Mulilo mali na pesa alizonazo zinatokana na mshahara wake wa polisi . Au mnataka kusema kuwa Wambura alirithishwa mali na baba yake au ni mfanyabiashara au ni pesa za dhulma na rushwa kama alivyodai Hamza.

Wakina mama wanasema kuwa Wameibiwa simu zao na kuvuliwa nguo je, huo ndio utaratibu wa kutuliza fujo ? Kutuliza fujo watu wakikimbia si ndio maandamano yametawanyika au ni mpaka ukawapige na kuwavunja miguu tena kwa kuwashusha kwenye magari ?

Je , umesahau kuwa wakati wa tawala nyingine palikua na gari rasmi la kuweka mahabusu wanapokamatwa kwenye ummati wa watu na sio kuwalaza kwenye gari za polisi na kuwakanyaga vichwa . Hilo nalo ni sawa kwa sababu wanaandamana kudai sheria nzuri za uchaguzi ili anayechagiliwa achaguliwe kwa haki katika mazingira ya wazi na uhuru sio kulazimishwa au kutishwa kama wanavyofanya CCM kulazimisha eti wafanyakazi wote wasajili vitambulisho kule Zanzibar kwa sheria ipi ? Kwa nini anayetoa matamko kinyume cha sheria asiwe ndiye mvunja sheria ?
 
Haijawahi kutokea aibu kama hii. Hili shambulio litajibiwa kwa nguvu ile ile. Ngoja tuingie kwenye mafungo tupate kibali cha Bwana.
 
Ngoja sasa FBI itie maguu......si mnajua USA na Ugaidi?

Huu ni ugaidi. Mmewaita wenyewe.
 
Tumekwisha sasa, kumbe CCM ndo walivyo namna hii. Lakini pia tunapaswa kuelewa kwamba watu wengi sana wako kwenye vyombo vya ulinzi, yawezekana tunatawaliwa kijeshi jeshi bila kujua. Aisee haiwezekani nchi ikawa wa kutesa raia namna hii. Utashangaa wataitwa wahuni. Lakini wahuni wafuate tu watu wanaokosoa CCM.
 
Haijawahi kutokea aibu kama hii. Hili shambulio litajibiwa kwa nguvu ile ile. Ngoja tuingie kwenye mafungo tupate kibali cha Bwana.
Mwaka 2013 kule zanzibar Padre Alipigwa Risasi na kufariki.muda mfupi.

Rais JK aliagiza Vyombo vya Nje vija kuchunguza.

Naona imejirudia tena.

Je ni ugaidi?
 
Utetezi kwa magufuli haujitoshelezi,ikiwa alikuwa dhamira ya kupambana na ufisadi Iko wapi Ile mahakama ya wahujumu uchumi aliyoiahidi,mbona report ya CAG Asad ya upotevu wa tirrion 1.5 aliitupilia mbali na kumtimua kazi.Hayo madege ya Air Tanzania nani anajua yalinunuliwa kupitia zabuni ipi n.k.Ukiacha hayo zile maiti zilizokuwa zikiokotwa Coco beach na mto Wami tukiambiwa ni za wahamiaji haramu kutoka Ethiopia unataka tuendelee kuamini hivyo?.Utekwaji wa akina Mo,Roman mkatoriki,Ben-saanane,Azory Gwanda tukubali walikuwa wakijeteka,hapana shida mbingu zinajua kilichokuwa kinaendelea,tukutane siku ya hukumu.

Hakuwahi kuwa mnafiki Full stop .
Mtu mnafiki ni hatari sana .
Anajifanya yupo mbali kumbe yupo karibu .
Wtakifanya anakipenda kumbe ni adui yako namba moja .

Mnafiki ni hatari sana kwenye ulimwengu huu .
Hizi ni siasa za CCM sio za Magufuli . Tofauti za watawala wa CCM ni kiwango cha unafiki na wizi .
 
Mwaka 2013 kule zanzibar Padre Alipigwa Risasi na kufariki.muda mfupi.

Rais JK aliagiza Vyombo vya Nje vija kuchunguza.

Naona imejirudia tena.

Je ni ugaidi?

Wazanzibari hawajawahi kuupenda Ukristo ndio maana Mwinyi alikuta wanafunzi wote wanavaa sare zinazofanana bila kujali dini badala yake akajenga ubaguzi ili waislam wajibague na kujuana kwa kuwavalisha hijabu .
 
JPM alishauri Vizuri ila kwa mama naona ata Mfumo unataka Akwame tu, Nyoka ni wengi sana Kila Kona
 
Back
Top Bottom