Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Kitendo cha kumpiga Nondo ya kichwa, CCM mmefika kiwango cha juu sana. Sisi Wakatoliki hatuna mengi
 
Huyu Frey Edward ni nani; kuna anayemjuwa vizuri?
Ndiyo yeye mwenyewe kweli huyo kwenye picha?
Yupo wapi?
Baada ya kusoma mabandiko kadhaa nimeona wanamuelezea kama chawa coward wa baadhi ya viongozi.

Pia anaelezwa kama msabato flani hivi anasali pale mwenge jirani na uwanja wa KMC na anaishi makongo, zaidi ikielezwa ni mjaluo flani kutokea mpakani mwa Tanzania na Kenya.
 
Atakuwa nalo tatizo kichwani; kikawaida mtu huwezi kuandika kama alivyo fanya hapo,... halafu siku moja baadae ikawa hivyo; na mara moja hiyo hiyo bandiko lake kwenye mtandao likatolewa hadharani, si kabla ya tukio!

Kuna maswali mengi.
Afande Muliro katika maneno yake hakujuwa kuwa kuna mtu kama huyo alipozungumzia kwa mara ya kwanza kabisa tukio la Fr. Dr. Kitima! Na baadae akawa anauliza mtu huyo ni nani anajuwa alipo awape taarifa polisi?

Kuna uigizaji mwingi sana hapa.
 
Kitendo cha kumpiga Nondo ya kichwa, CCM mmefika kiwango cha juu sana. Sisi Wakatoliki hatuna mengi
'Nkobe', ndilo jina lako mkuu!
Si mwanzo walisema kitu kizito, butu, kama tofali au jiwe hivi, sasa imegeuka kuwa NONDO? Hawa walikuwa wamejiandaa kabisa wakiwa na silaha hiyo?
 

Yale Mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Taifa ya Mwaka 2023 yaliyotoa ruhusa ya kuua Watu kwa Maafisa wa Polisi na TISS sasa matunda yake ndio yanaonekana Wazi wazi kabisa ya Watu kutekwa, kuteswa, kushambuliwa, kupotezwa na kuuawa.

Aidha, Mabadiliko yale ya Sheria ya Usalama wa Taifa ya Mwaka 2023 yamewapa ruhusa Watu hao wa Tiss na Polisi kufanya Mauaji ya Watu kadiri watakavyo, na hakuna kitu chochote kile wanaweza wakafanywa. Wameruhusiwa kuua Watu bila ya wao Wauaji kuweza kushitakiwa.
 
Ila Jumanne Muliro Aliposema Anapata Kinywaji
Wolfgang Alimkanusha Chap Chap Aache Uongo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…