Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Kuwaa na akili na una bahati JF si yangu ungepigwa ban milele.
 
Kuna wakati mwingine acheni upumbavu. Yaani hatujajua watu waliomshambulia huyo Padri wa CHADEMA halafu unakimbilia kuitaja CCM in a negative way kama vile ndo imemshambulia. Wewe ni mahakama hadi uhukumu bila uchunguzi?
Umerudi lini kiongozi?
 
Yaani basi tu! Kama wote mngekuwa kama mimi, wote tungekuwa washindi kabisa!
 
Ivi ma padre si wanaishi Jimboni? Inakuaje padre anakua na kwake?
Hapo sasa. Aliachiwa freedom ya kufanya ya kidunia. Akipona arudishwe jimboni wanakoishi mapadre wenzake na maaskofu. Laa sivyo akaungane na akina Padre Slaa
 
Ama kweli serikali hii mpaka aibu wangejua vizuri Katoliki walivyo hata wasingefanya hivi, sasa washauri wenyewe hamna kitu ngoja waone umafia wa Katoliki sasa hivi mtu ataenda Vatican kulia lia majitu kama hayana akili kichwani yanakurupuka tu
Idara yetu ya usalama wa Taifa bado ina vijana wazalendo sana. Jeshi letu la wananchi kitengo chake Cha Military intelligence (MI) kipo imara sana.. hao majasusi wenu wa Jesuits hakuna anayewaogopa na hawana mamlaka wala uwezo wa kuingilia siasa za nchi yetu. Tanzania sio koloni la Roman Catholic..
 
Uzuri wa kanisa hilo, halikaagi kimya. Awamu ya nne ilitakaga kuleta upuuzi flani wa kulibana kanisa ushuru n.k, kanisa likadinda, Jeikei akaufyata.
Kanisa hilo lina tabia ya kujipigania. Lazima kuna attempt kanisa litafanya kujilinda na kukumbusha nguvu zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…