Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 276
- 473
Amesema katika Chaguzi za hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuwanyima haki baadhi ya wagombea hasa wa upinzani kutokana na sababu ambazo azina mashiko.
Father Kitima wakati anazungumza hivi karibuni amedokeza kuwa kumekuwa na uonevu kwenye mchakato wa Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa.
Amedokeza kuhusu vitendo vinavyoendelea vya kuengua wapinzani katika mchakato wa Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa na kuongeza kuwa aina hiyo ya uonevu ilianza mwaka 2016
Soma pia: Askofu Ruwa'ichi: Kuandikisha watoto kupiga Kura ni Hatari kwa Taifa, Tunalea Wahuni na Wezi
My take: Kwamba CCM ndicho kilichokuwa mstari wa mbele kupigania ukombozi afrika,kupinga ubaguzi afrika ya kusni lakini sasa ndicho chama kinchachofanya ubaguzi Tannzania. Je CCM wana sera ya apartheid/ubaguzi?
Kwamba CCM ndicho kilichokuwa mstari wa mbele kupigania ukombozi afrika,kupinga ubaguzi afrika ya kusni lakini sasa ndicho chama kinchachofanya ubaguzi Tannzania. Je CCM wana sera ya apartheid/ubaguzi?
View: https://x.com/HildaNewton21/status/1855593626589421783
Kuna mambo mengi tu kwenye Kanisa lake kama Katibu Mkuu wa TEC hajayafanyia kazi. Ningefurahi kumuona Padri Kitima akipambana kurudisha waumini wa RC wanokimbilia kwa Mwamposa na wachungaji wengine.
Ningefurahi kumuona Fr Kitima akipambana na mapadre wanaoua albino au kujihusisha na ufisadi wa fedha za kanisa.
Huyu Baba Padre aendelee tu na majukumu ya kuchunga kondoo wake. Hii kazi ya siasa awaachie wenyewe. Wanatuchanganya sana
RC mbona iko imara na itaendelea kuuw imara tu kwa sababu imejengwa juu ya msingi imara. Unaona protestant na madhehebu mengine yametokea RC lakini kanisa bado lipo. Mwamposa aendelee na shughuli zake ila CCM imeleta sera ya ubaguzi inayotakiwa kupingwa na wananchi wote wapenda hakiKuna mambo mengi tu kwenye Kanisa lake kama Katibu Mkuu wa TEC hajayafanyia kazi. Ningefurahi kumuona Padri Kitima akipambana kurudisha waumini wa RC wanokimbilia kwa Mwamposa na wachungaji wengine.
Ningefurahi kumuona Fr Kitima akipambana na mapadre wanaoua albino au kujihusisha na ufisadi wa fedha za kanisa.
Huyu Baba Padre aendelee tu na majukumu ya kuchunga kondoo wake. Hii kazi ya siasa awaachie wenyewe. Wanatuchanganya sana
Kanisa linahubiri siasa,unyumbulifu wao unanishangaza,toka kuwa umoja wa kiimani,kuruhusu ushoga na Sasa miguu yote ndani ya siasa,sijui kesho watanyumbulika na kuwa nini,jeshi!?
Kitima yuko against uovu popote ulipo uovu ni Mahali pake pa kazi usimpangie,Kuna mambo mengi tu kwenye Kanisa lake kama Katibu Mkuu wa TEC hajayafanyia kazi. Ningefurahi kumuona Padri Kitima akipambana kurudisha waumini wa RC wanokimbilia kwa Mwamposa na wachungaji wengine.
Ningefurahi kumuona Fr Kitima akipambana na mapadre wanaoua albino au kujihusisha na ufisadi wa fedha za kanisa.
Huyu Baba Padre aendelee tu na majukumu ya kuchunga kondoo wake. Hii kazi ya siasa awaachie wenyewe. Wanatuchanganya sana
Kanisa watu,Kama walokole na madhehebu mengine wanaongezeka jua wanatoka RC,kumbuka pia RC wengi hawaendi kanisaniRC mbona iko imara na itaendelea kuuw imara tu kwa sababu imejengwa juu ya msingi imara. Unaona protestant na madhehebu mengine yametokea RC lakini kanisa bado lipo. Mwamposa aendelee na shughuli zake ila CCM imeleta sera ya ubaguzi inayotakiwa kupingwa na wananchi wote wapenda haki
Alitoa tamko kuhudu padre kushiriki mauaji ya albino?..alishawahi sema lolote kuhusu liwati kwa vijana kanisani?Kitima yuko against uovu popote ulipo uovu ni Mahali pake pa kazi usimpangie,
Hilo silifahamu,. naona watu wanajaa tu kanisani. RC hallfi leo wala kesho. Utakufa wewe, wajukuu zako na wengine wanaofuata lakini kanisa litabakiKanisa watu,Kama walokole na madhehebu mengine wanaongezeka jua wanatoka RC,kumbuka pia RC wengi hawaendi kanisani
Alibino anahusianaje na uchaguzi? Nachofahamu yuko chini ya vyombo vya ulinzi
Alitoa tamko kuhudu padre kushiriki mauaji ya albino?..alishawahi sema lolote kuhusu liwati kwa vijana kanisani?
Haya yote uliyoandika hayamzui yeye binafsi kutoa maoni yake kuhusu ubaguzi unaoendelea kwenye zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa.Kuna mambo mengi tu kwenye Kanisa lake kama Katibu Mkuu wa TEC hajayafanyia kazi. Ningefurahi kumuona Padri Kitima akipambana kurudisha waumini wa RC wanokimbilia kwa Mwamposa na wachungaji wengine.
Ningefurahi kumuona Fr Kitima akipambana na mapadre wanaoua albino au kujihusisha na ufisadi wa fedha za kanisa.
Huyu Baba Padre aendelee tu na majukumu ya kuchunga kondoo wake. Hii kazi ya siasa awaachie wenyewe. Wanatuchanganya sana
Ccm ni Ile Ile watu wake ni wale wale kwahiyo unafananusha kanisa katoliki na huo uchafu wako 🤣 🤣 😏Kuna mambo mengi tu kwenye Kanisa lake kama Katibu Mkuu wa TEC hajayafanyia kazi. Ningefurahi kumuona Padri Kitima akipambana kurudisha waumini wa RC wanokimbilia kwa Mwamposa na wachungaji wengine.
Ningefurahi kumuona Fr Kitima akipambana na mapadre wanaoua albino au kujihusisha na ufisadi wa fedha za kanisa.
Huyu Baba Padre aendelee tu na majukumu ya kuchunga kondoo wake. Hii kazi ya siasa awaachie wenyewe. Wanatuchanganya sana
Huko ulaya makanisa yanafungwa na kugeuzwa bar,club na msikiti kwa kukosa waaminiHilo silifahamu,. naona watu wanajaa tu kanisani. RC hallfi leo wala kesho. Utakufa wewe, wajukuu zako na wengine wanaofuata lakini kanisa litabaki
Uelewa duni au kusudi?!Alibino anahusianaje na uchaguzi? Nachofahamu yuko chini ya vyombo vya ulinzi
Naona unamuangalia messenger na dini yake bila kuzingatia ujumbe wake. Je serikali ya CCM inaendesha sera ya Apartheid/ubaguzi? Hili ndilo la kujiulizaUelewa duni au kusudi?!
CCM ni hatari kwa taifa letu tunawaihitaji kina Kitima wengi zaidi.
Ahubiri dini, ndiyo kazi yake,au laa Kama ana hamu Kali ya kufanya siasa avue joho avae gwanda, apartheid ya CCM Iko wapi!?Naona unamuangalia messenger na dini yake bila kuzingatia ujumbe wake. Je serikali ya CCM inaendesha sera ya Apartheid/ubaguzi? Hili ndilo la kujiuliza
Hakika CCM ni makaburu weusi.
Anakuchanganya sababu ubongo wako mdogo sana. Mbona hachanganyi lolote? Waumini kwenda kwa Mwamposa ni haki yao. Ingeshangaza kama angeanza wakataza wakati hapa anazungumzia Demokrasia. Watu wakaabudu wanapotaka. Hata wakienda kwa Sheikh Kundecha ni maamuzi yao.Kuna mambo mengi tu kwenye Kanisa lake kama Katibu Mkuu wa TEC hajayafanyia kazi. Ningefurahi kumuona Padri Kitima akipambana kurudisha waumini wa RC wanokimbilia kwa Mwamposa na wachungaji wengine.
Ningefurahi kumuona Fr Kitima akipambana na mapadre wanaoua albino au kujihusisha na ufisadi wa fedha za kanisa.
Huyu Baba Padre aendelee tu na majukumu ya kuchunga kondoo wake. Hii kazi ya siasa awaachie wenyewe. Wanatuchanganya sana
Ujumbe murua kabisa. Wahuni watapingaFather Kitima wakati anazungumza hivi karibuni amedokeza kuwa kumekuwa na uonevu kwenye mchakato wa Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa.
Amedokeza kuhusu vitendo vinavyoendelea vya kuengua wapinzani katika mchakato wa Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa na kuongeza kuwa aina hiyo ya uonevu ilianza mwaka 2016
Soma pia: Askofu Ruwa'ichi: Kuandikisha watoto kupiga Kura ni Hatari kwa Taifa, Tunalea Wahuni na Wezi
My take: Kwamba CCM ndicho kilichokuwa mstari wa mbele kupigania ukombozi afrika,kupinga ubaguzi afrika ya kusni lakini sasa ndicho chama kinchachofanya ubaguzi Tannzania. Je CCM wana sera ya apartheid/ubaguzi?
Dini ni pamoja na kupinga dhulma ya aina yeyote ile...kwani katika imani yako uchafu huu unaofanya na makaburu CCM unampendeza Mungu?Ahubiri dini, ndiyo kazi yake,au laa Kama ana hamu Kali ya kufanya siasa avue joho avae gwanda, apartheid ya CCM Iko wapi!?