LGE2024 Padri Kitima ashukia serikali kwa kuengua wagombea kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Asema uonevu ulianza rasmi mwaka 2016!

LGE2024 Padri Kitima ashukia serikali kwa kuengua wagombea kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Asema uonevu ulianza rasmi mwaka 2016!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kiongozi ambae hajui hata kujaza fomu anatakiwa aongoze mbuzi,kondoo na wanyama wengine wafugwao.Tusitete watu wenye ajenda za siri
Huyu wa CCM mbona amekosea tarehe ya kuzaliwa na bado ameteuliwa kugombea? Huu upuuzi wa kuengua alianza nao Magufuli na Samia naye ameuboteaha zaidi. Enzi za Mkapa na kikwete hakukuwa na upuuzi kama huu. Mtu akikosea si anaambiwa arekebishe tu. Hata mahakamani watu wanakosea lakini siyo issue kihivyo
 
Wajitokeze viongozi wengine pia wakemee huu upuuzi ambao matunda yake tunaelekea kuuona soon. Watu watafinyana this time...sidhani kama hao waliotekeleza maagizo ya kuengua wagombea wa upinzani watakuwa salama. Ni kama wanaotutawala wamechokwa na utulivu wetu kukaa kimya kwa mambo yanayotuhusu.
 
Unaitenganishaje siasa na maisha ya kila siku?Kuna uwezekano mkubwa sana hauijui maana ya siasa.Uliwahi kuwasikia wafarisayo na wasadukayo na Yesu?Umewahi kujifunza kuhusu majibizano yao?
Sisi siyo Wasadukayo wala Wafarisayo bali ni Watanzania. Na hatuwezi kuiga maisha yao kwa kuwa mwisho wa siku walimuua Bwana Yesu Kristu
 
Acha uongo....hata wakati wa magufuli alikuwa na moto wake....wakati wa Kikwete kwa kweli sikumsikia sana. Uchaguzi wa 2020 mbona waliusema sana. Nyie ndio mnafikiri anasema kwa sababu rais ni muislam? Pumbavu zenu
Huna ujuacho kitoto cha elfu 2, ukute enzi ya kikwete ulikua unavaa bambino
 
Back
Top Bottom