Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 3,506
- 2,606
Huyu wa CCM mbona amekosea tarehe ya kuzaliwa na bado ameteuliwa kugombea? Huu upuuzi wa kuengua alianza nao Magufuli na Samia naye ameuboteaha zaidi. Enzi za Mkapa na kikwete hakukuwa na upuuzi kama huu. Mtu akikosea si anaambiwa arekebishe tu. Hata mahakamani watu wanakosea lakini siyo issue kihivyoKiongozi ambae hajui hata kujaza fomu anatakiwa aongoze mbuzi,kondoo na wanyama wengine wafugwao.Tusitete watu wenye ajenda za siri