LGE2024 Padri Kitima ashukia serikali kwa kuengua wagombea kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Asema uonevu ulianza rasmi mwaka 2016!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ccm walijisahau hawaamini kama vyama vingine vingekubalika kiasi hicho
 
Haraka haraka wewe ni Malaya wa kisiasa wa CCM huwezi kuona alichoongea.

Pamoja na yote wewe na CCM mnachochea machafuko,hata kama kiburu chenu ni uwepo wa siraha na majeshi .Ipo siku isiyo na jina mtalipa gharama hizi.

Kumbuka hili" UPUMBAVU WA MUNGU NI ZAIDI YA HEKIMA YA MWANADAMU."
Kwamba mungu ana upumbavu,unajua maana ya upumbavu!?..unaweza kithubutu kumwambia babaako mpumbavu?!
 
Father Kitima wakati anazungumza hivi karibuni amedokeza kuwa kumekuwa na uonevu kwenye mchakato wa Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa.

Amedokeza kuhusu vitendo vinavyoendelea vya kuengua wapinzani katika mchakato wa Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa na kuongeza kuwa aina hiyo ya uonevu ilianza mwaka 2016

Soma pia: Askofu Ruwa'ichi: Kuandikisha watoto kupiga Kura ni Hatari kwa Taifa, Tunalea Wahuni na Wezi

My take: Kwamba CCM ndicho kilichokuwa mstari wa mbele kupigania ukombozi afrika,kupinga ubaguzi afrika ya kusni lakini sasa ndicho chama kinchachofanya ubaguzi Tannzania. Je CCM wana sera ya apartheid/ubaguzi?

View attachment 3149271
ni muhimu zaidi kanuni, taratibu, sheria na katiba ya nchi vikazingatiwa.

maelekezo na malalamiko yasio na mashiko kisheria ni makelele tu.

Father anaheshimika sana, lakini maoni yake ni completely useless kama hajayajenga katika msingi na ushahidi wa kisheria. Huruma haina maana sana kwenye ushindani

uchaguzi ni Nov. 27,2024🐒
 
Kila kanisa,misikiti na Hindu temples zikihubiri siana na kuwa na ashki na siasa kiasi hiki,tutakua na nchi, mwisho wake nini!?
Acha upumbavu. We unataka asiseme kitu wakati nchi inaelekea pabaya. Kuhubiri siasa ukiwa na maana ya kupinga dhulma inayoendelea? Kwa akili yako iliyooza unafikiri viongozi wote wa dini wangekemea uovu unaofanywa na serikali nchi ingeenda kubaya? aisee....
 
Nchi inaelekea pabaya wapi!?..Kama kujaza form ya kugombea serikali za mitaa huwezi,unafaa vipi kuwa kiongozi!?
 
ni muhimu zaidi kanuni, taratibu, sheria na katiba ya nchi vikazingatiwa.

maelekezo na malalamiko yasio na mashiko kisheria ni makelele tu.

Father anaheshimika sana, lakini maoni yake ni completely useless kama hajayajenga katika msingi na ushahidi wa kisheria. Huruma haina maana sana kwenye ushindani

uchaguzi ni Nov. 27,2024🐒
Tuataona kama ni makelele tu.
 
Tuataona kama ni makelele tu.
huna haja kuonana na yeyote gentleman. Nov 27 piga kura kwendra zako nyumbani..

wasiofaa na wasio na sifa na vigezo vya kikatiba waenguliwe wote kwenye mchakato.

hawafai kua viongozi kabisa 🐒
 
Kuna mambo mengi tu kwenye Kanisa lake kama Katibu Mkuu wa TEC hajayafanyia kazi. Ningefurahi kumuona Padri Kitima akipambana kurudisha waumini wa RC wanokimbilia kwa Mwamposa na wachungaji wengine.

Ningefurahi kumuona Fr Kitima akipambana na mapadre wanaoua albino au kujihusisha na ufisadi wa fedha za kanisa.

Huyu Baba Padre aendelee tu na majukumu ya kuchunga kondoo wake. Hii kazi ya siasa awaachie wenyewe. Wanatuchanganya sana
mashudu
 
Father Kitima wakati anazungumza hivi karibuni amedokeza kuwa kumekuwa na uonevu kwenye mchakato wa Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa.

Amedokeza kuhusu vitendo vinavyoendelea vya kuengua wapinzani katika mchakato wa Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa na kuongeza kuwa aina hiyo ya uonevu ilianza mwaka 2016

Soma pia: Askofu Ruwa'ichi: Kuandikisha watoto kupiga Kura ni Hatari kwa Taifa, Tunalea Wahuni na Wezi

My take: Kwamba CCM ndicho kilichokuwa mstari wa mbele kupigania ukombozi afrika,kupinga ubaguzi afrika ya kusni lakini sasa ndicho chama kinchachofanya ubaguzi Tannzania. Je CCM wana sera ya apartheid/ubaguzi?

View attachment 3149271
Mimi sikujiandikisha kabisa pamoja na vi-SMS vyao ikiwa namna ya kupinga haya maovu.
 
Kuna mambo mengi tu kwenye Kanisa lake kama Katibu Mkuu wa TEC hajayafanyia kazi. Ningefurahi kumuona Padri Kitima akipambana kurudisha waumini wa RC wanokimbilia kwa Mwamposa na wachungaji wengine.

Ningefurahi kumuona Fr Kitima akipambana na mapadre wanaoua albino au kujihusisha na ufisadi wa fedha za kanisa.

Huyu Baba Padre aendelee tu na majukumu ya kuchunga kondoo wake. Hii kazi ya siasa awaachie wenyewe. Wanatuchanganya sana
Hayo uliyosema ni mambo madogo na ya kipuuzi ukifanananisha na mustakabali wa nchi.
 
Father Kitima wakati anazungumza hivi karibuni amedokeza kuwa kumekuwa na uonevu kwenye mchakato wa Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa.

Amedokeza kuhusu vitendo vinavyoendelea vya kuengua wapinzani katika mchakato wa Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa na kuongeza kuwa aina hiyo ya uonevu ilianza mwaka 2016

Soma pia: Askofu Ruwa'ichi: Kuandikisha watoto kupiga Kura ni Hatari kwa Taifa, Tunalea Wahuni na Wezi

My take: Kwamba CCM ndicho kilichokuwa mstari wa mbele kupigania ukombozi afrika,kupinga ubaguzi afrika ya kusni lakini sasa ndicho chama kinchachofanya ubaguzi Tannzania. Je CCM wana sera ya apartheid/ubaguzi?

View attachment 3149271
Mbona anayemsifia ndio ametufikisha hapa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuna mambo mengi tu kwenye Kanisa lake kama Katibu Mkuu wa TEC hajayafanyia kazi. Ningefurahi kumuona Padri Kitima akipambana kurudisha waumini wa RC wanokimbilia kwa Mwamposa na wachungaji wengine.

Ningefurahi kumuona Fr Kitima akipambana na mapadre wanaoua albino au kujihusisha na ufisadi wa fedha za kanisa.

Huyu Baba Padre aendelee tu na majukumu ya kuchunga kondoo wake. Hii kazi ya siasa awaachie wenyewe. Wanatuchanganya sana
Anzisha Uzi uyazungumzie ya Kanisa utajibiwa huko,Yeye acha atekeleze wajibu wake kama mwananchi,hakuna pa kujificha na uchafu huu
 
Back
Top Bottom