Katibu Mkuu wa TEC Padri ametoa rai kwa mamlaka za juu kuacha kuigilia mamlaka za chini hususani katika mchakato wa kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji.
Amesema katika Chaguzi za hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuwanyima haki baadhi ya wagombea hasa wa upinzani kutokana na sababu ambazo azina mashiko.
Father Kitima wakati anazungumza hivi karibuni amedokeza kuwa kumekuwa na uonevu kwenye mchakato wa Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa.
Amedokeza kuhusu vitendo vinavyoendelea vya kuengua wapinzani katika mchakato wa Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa na kuongeza kuwa aina hiyo ya uonevu ilianza mwaka 2016
My take: Kwamba CCM ndicho kilichokuwa mstari wa mbele kupigania ukombozi afrika,kupinga ubaguzi afrika ya kusni lakini sasa ndicho chama kinchachofanya ubaguzi Tannzania. Je CCM wana sera ya apartheid/ubaguzi?
Kwamba CCM ndicho kilichokuwa mstari wa mbele kupigania ukombozi afrika,kupinga ubaguzi afrika ya kusni lakini sasa ndicho chama kinchachofanya ubaguzi Tannzania. Je CCM wana sera ya apartheid/ubaguzi?
Kuna mambo mengi tu kwenye Kanisa lake kama Katibu Mkuu wa TEC hajayafanyia kazi. Ningefurahi kumuona Padri Kitima akipambana kurudisha waumini wa RC wanokimbilia kwa Mwamposa na wachungaji wengine.
Ningefurahi kumuona Fr Kitima akipambana na mapadre wanaoua albino au kujihusisha na ufisadi wa fedha za kanisa.
Huyu Baba Padre aendelee tu na majukumu ya kuchunga kondoo wake. Hii kazi ya siasa awaachie wenyewe. Wanatuchanganya sana

RC mbona iko imara na itaendelea kuuw imara tu kwa sababu imejengwa juu ya msingi imara. Unaona protestant na madhehebu mengine yametokea RC lakini kanisa bado lipo. Mwamposa aendelee na shughuli zake ila CCM imeleta sera ya ubaguzi inayotakiwa kupingwa na wananchi wote wapenda haki
Kanisa linahubiri siasa,unyumbulifu wao unanishangaza,toka kuwa umoja wa kiimani,kuruhusu ushoga na Sasa miguu yote ndani ya siasa,sijui kesho watanyumbulika na kuwa nini,jeshi!?

Naona unamuangalia messenger na dini yake bila kuzingatia ujumbe wake. Je serikali ya CCM inaendesha sera ya Apartheid/ubaguzi? Hili ndilo la kujiuliza
CCM ni hatari kwa taifa letu tunawaihitaji kina Kitima wengi zaidi.
Naona unamuangalia messenger na dini yake bila kuzingatia ujumbe wake. Je serikali ya CCM inaendesha sera ya Apartheid/ubaguzi? Hili ndilo la kujiuliza
Kuna mambo mengi tu kwenye Kanisa lake kama Katibu Mkuu wa TEC hajayafanyia kazi. Ningefurahi kumuona Padri Kitima akipambana kurudisha waumini wa RC wanokimbilia kwa Mwamposa na wachungaji wengine.
Ningefurahi kumuona Fr Kitima akipambana na mapadre wanaoua albino au kujihusisha na ufisadi wa fedha za kanisa.
Huyu Baba Padre aendelee tu na majukumu ya kuchunga kondoo wake. Hii kazi ya siasa awaachie wenyewe. Wanatuchanganya sana
Anakuchanganya sababu ubongo wako mdogo sana. Mbona hachanganyi lolote? Waumini kwenda kwa Mwamposa ni haki yao. Ingeshangaza kama angeanza wakataza wakati hapa anazungumzia Demokrasia. Watu wakaabudu wanapotaka. Hata wakienda kwa Sheikh Kundecha ni maamuzi yao.
Father Kitima wakati anazungumza hivi karibuni amedokeza kuwa kumekuwa na uonevu kwenye mchakato wa Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa.
Amedokeza kuhusu vitendo vinavyoendelea vya kuengua wapinzani katika mchakato wa Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa na kuongeza kuwa aina hiyo ya uonevu ilianza mwaka 2016
My take: Kwamba CCM ndicho kilichokuwa mstari wa mbele kupigania ukombozi afrika,kupinga ubaguzi afrika ya kusni lakini sasa ndicho chama kinchachofanya ubaguzi Tannzania. Je CCM wana sera ya apartheid/ubaguzi?
Katibu Mkuu wa TEC Padri ametoa rai kwa mamlaka za juu kuacha kuigilia mamlaka za chini hususani katika mchakato wa kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji.
Amesema katika Chaguzi za hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuwanyima haki baadhi ya wagombea hasa wa upinzani kutokana na sababu ambazo azina mashiko.
Katibu Mkuu wa TEC Padri ametoa rai kwa mamlaka za juu kuacha kuigilia mamlaka za chini hususani katika mchakato wa kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji.
Amesema katika Chaguzi za hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuwanyima haki baadhi ya wagombea hasa wa upinzani kutokana na sababu ambazo azina mashiko.
Kuna mambo mengi tu kwenye Kanisa lake kama Katibu Mkuu wa TEC hajayafanyia kazi. Ningefurahi kumuona Padri Kitima akipambana kurudisha waumini wa RC wanokimbilia kwa Mwamposa na wachungaji wengine.
Ningefurahi kumuona Fr Kitima akipambana na mapadre wanaoua albino au kujihusisha na ufisadi wa fedha za kanisa.
Huyu Baba Padre aendelee tu na majukumu ya kuchunga kondoo wake. Hii kazi ya siasa awaachie wenyewe. Wanatuchanganya sana
Kwani umeona Kuna parokia au kigango kilichofungwa?
Lakini pia unajua Kila mtu yupo huru kuabudu anapotaka?
Mbona husemi waislamu na madhehebu mengine wanaojiunga na ukatoliki Kila siku kwamba warudi kwenye dini zao?
Yote hayo ni kuonyesha kwanza unachuki na kanisa husika lakini pili wewe ni mwanaCcM na mnufaika wa yanayoendelea. Ndio maana unaumia kusikia ukweli unasema.
Mwisho mapadri hawapaswi kusema uongo ni dhambi hivyo wacha waseme ukweli ukikuuma sawa TU.
Kanisa linahubiri siasa,unyumbulifu wao unanishangaza,toka kuwa umoja wa kiimani,kuruhusu ushoga na Sasa miguu yote ndani ya siasa,sijui kesho watanyumbulika na kuwa nini,jeshi!?
Ni vile Katoliki yeye anaamini ndiye baba na mama wa siasa na dini ya watu wote. Katoliki inapaswa kuhubiriwa injili ya Kristu. Katoliki inatakiwa kubatizwa. Katoliki inatakiwa kuongoka. Ameeen!
NB: Kukemea maovu katika jamii, bila kujali hali, mahali na hadhi, ndiyo wito sahihi wa kila Mkristu.
Mkuu ukatoliki ni imani huru, ukitaka njoo usipotaka usije, sisi hatupigi propaganda watu wajiunge na ukatoliki, ukiwa sehemu yetu fuata taratibu zetu.
Hiyo ni haiba ya mtu, kupambana na wanaovunja sheria za nchi sio kazi ya Padre/Askofu ama kanisa, ni kazi ya Serikali na sheria zake. Mababa wa imani wao ni kukemea, kama wanavyokemea madhalimu ya Serikali.
Siasa ni za nani? siasa ni za kila mtu, mimi, wewe na huyo padre. Yeye yuko hapo akiwazungumzia waumini wake wakatoliki ikiwemo mimi na wengine wanaosoma huu uzi.
Wakatoliki zaidi ya 23M (33% ya watanzania) tunamsikiliza Padre Kitima, si kwa sababu ni Padre tu, hapana bali kwa sababu ya hoja zake zenye kulijenga taifa, na hizi hoja zake si kwa watoliki tu bali na wale wa imani zingine. Kiufupi anatutakia wema watanzania wote.
Tatizo ni kwamba kuna baadhi ya watu wanadhani tukikosoa uongozi wa Rais SSH, tunaukosoa kwa sababu ya Dini yake, Hapana, hata angekuwa Mpagani, Mhindu ama mkatoliki bado tungekosoa akienda ndivyo sivyo!
Mwisho: Msipambane na ukatoliki, ume exist kwa zaidi ya miaka 2000 (Tunatanguliwa na Hinduism na Budhisim), vita vyote vya kidini na kisiasa ukatoliki ulipigana na ulishinda, hautakaa utetereke kamwe!
Kuna mambo mengi tu kwenye Kanisa lake kama Katibu Mkuu wa TEC hajayafanyia kazi. Ningefurahi kumuona Padri Kitima akipambana kurudisha waumini wa RC wanokimbilia kwa Mwamposa na wachungaji wengine.
Ningefurahi kumuona Fr Kitima akipambana na mapadre wanaoua albino au kujihusisha na ufisadi wa fedha za kanisa.
Huyu Baba Padre aendelee tu na majukumu ya kuchunga kondoo wake. Hii kazi ya siasa awaachie wenyewe. Wanatuchanganya sana
Mkuu ukatoliki ni imani huru, ukitaka njoo usipotaka usije, sisi hatupigi propaganda watu wajiunge na ukatoliki, ukiwa sehemu yetu fuata taratibu zetu.
Hiyo ni haiba ya mtu, kupambana na wanaovunja sheria za nchi sio kazi ya Padre/Askofu ama kanisa, ni kazi ya Serikali na sheria zake. Mababa wa imani wao ni kukemea, kama wanavyokemea madhalimu ya Serikali.
Siasa ni za nani? siasa ni za kila mtu, mimi, wewe na huyo padre. Yeye yuko hapo akiwazungumzia waumini wake wakatoliki ikiwemo mimi na wengine wanaosoma huu uzi.
Wakatoliki zaidi ya 23M (33% ya watanzania) tunamsikiliza Padre Kitima, si kwa sababu ni Padre tu, hapana bali kwa sababu ya hoja zake zenye kulijenga taifa, na hizi hoja zake si kwa watoliki tu bali na wale wa imani zingine. Kiufupi anatutakia wema watanzania wote.
Tatizo ni kwamba kuna baadhi ya watu wanadhani tukikosoa uongozi wa Rais SSH, tunaukosoa kwa sababu ya Dini yake, Hapana, hata angekuwa Mpagani, Mhindu ama mkatoliki bado tungekosoa akienda ndivyo sivyo!
Mwisho: Msipambane na ukatoliki, ume exist kwa zaidi ya miaka 2000 (Tunatanguliwa na Hinduism na Budhisim), vita vyote vya kidini na kisiasa ukatoliki ulipigana na ulishinda, hautakaa utetereke kamwe!
Kuna mambo mengi tu kwenye Kanisa lake kama Katibu Mkuu wa TEC hajayafanyia kazi. Ningefurahi kumuona Padri Kitima akipambana kurudisha waumini wa RC wanokimbilia kwa Mwamposa na wachungaji wengine.
Ningefurahi kumuona Fr Kitima akipambana na mapadre wanaoua albino au kujihusisha na ufisadi wa fedha za kanisa.
Huyu Baba Padre aendelee tu na majukumu ya kuchunga kondoo wake. Hii kazi ya siasa awaachie wenyewe. Wanatuchanganya sana
CCM inamfanya uovu Kiongozi yeyote wa dini anayenyamazia maovu katika jamii huyo hapaswi kuaminiwa na jamii inayomzunguka maana anakuwa ameshapoteza sifa ya kuwa Kiongozi wa imani.
Kuna mambo mengi tu kwenye Kanisa lake kama Katibu Mkuu wa TEC hajayafanyia kazi. Ningefurahi kumuona Padri Kitima akipambana kurudisha waumini wa RC wanokimbilia kwa Mwamposa na wachungaji wengine.
Ningefurahi kumuona Fr Kitima akipambana na mapadre wanaoua albino au kujihusisha na ufisadi wa fedha za kanisa.
Huyu Baba Padre aendelee tu na majukumu ya kuchunga kondoo wake. Hii kazi ya siasa awaachie wenyewe. Wanatuchanganya sana
Anakuchanganya sababu ubongo wako mdogo sana. Mbona hachanganyi lolote? Waumini kwenda kwa Mwamposa ni haki yao. Ingeshangaza kama angeanza wakataza wakati hapa anazungumzia Demokrasia. Watu wakaabudu wanapotaka. Hata wakienda kwa Sheikh Kundecha ni maamuzi yao.
Anakuchanganya sababu ubongo wako mdogo sana. Mbona hachanganyi lolote? Waumini kwenda kwa Mwamposa ni haki yao. Ingeshangaza kama angeanza wakataza wakati hapa anazungumzia Demokrasia. Watu wakaabudu wanapotaka. Hata wakienda kwa Sheikh Kundecha ni maamuzi yao.
RC hakunà waumini ea Fr. Kitima. Hata akifa RC haifi, subiri Mwamposa afe kanisa làke linakufa pia maana wale ni waumini wa Mwamposa siyo kanisa maana hilo kanisa halipo kwenye orodha ya makanisa.
Unakumbuka Getrude Lwakatare na kanisa lake? Liko wapi?