gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Kila kanisa,misikiti na Hindu temples zikihubiri siana na kuwa na ashki na siasa kiasi hiki,tutakua na nchi, mwisho wake nini!?Siasa na dini havitangamani we aunt , kasome acha kukurupuka kama uharo!
Sawa kabisa ila kanisa halifi....Hawarudi RC Bali watatafuta mfanya maajabu mwingine
Kwamba mungu ana upumbavu,unajua maana ya upumbavu!?..unaweza kithubutu kumwambia babaako mpumbavu?!Haraka haraka wewe ni Malaya wa kisiasa wa CCM huwezi kuona alichoongea.
Pamoja na yote wewe na CCM mnachochea machafuko,hata kama kiburu chenu ni uwepo wa siraha na majeshi .Ipo siku isiyo na jina mtalipa gharama hizi.
Kumbuka hili" UPUMBAVU WA MUNGU NI ZAIDI YA HEKIMA YA MWANADAMU."
Kutoua albino,kutolawiti watoto,kutozini,kutodhulumuUnataka kwenye dini huko ahuburi ni hasa?
Uchafu gani?!Dini ni pamoja na kupinga dhulma ya aina yeyote ile...kwani katika imani yako uchafu huu unaofanya na makaburu CCM unampendeza Mungu?
ni muhimu zaidi kanuni, taratibu, sheria na katiba ya nchi vikazingatiwa.Father Kitima wakati anazungumza hivi karibuni amedokeza kuwa kumekuwa na uonevu kwenye mchakato wa Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa.
Amedokeza kuhusu vitendo vinavyoendelea vya kuengua wapinzani katika mchakato wa Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa na kuongeza kuwa aina hiyo ya uonevu ilianza mwaka 2016
Soma pia: Askofu Ruwa'ichi: Kuandikisha watoto kupiga Kura ni Hatari kwa Taifa, Tunalea Wahuni na Wezi
My take: Kwamba CCM ndicho kilichokuwa mstari wa mbele kupigania ukombozi afrika,kupinga ubaguzi afrika ya kusni lakini sasa ndicho chama kinchachofanya ubaguzi Tannzania. Je CCM wana sera ya apartheid/ubaguzi?
View attachment 3149271
Acha upumbavu. We unataka asiseme kitu wakati nchi inaelekea pabaya. Kuhubiri siasa ukiwa na maana ya kupinga dhulma inayoendelea? Kwa akili yako iliyooza unafikiri viongozi wote wa dini wangekemea uovu unaofanywa na serikali nchi ingeenda kubaya? aisee....Kila kanisa,misikiti na Hindu temples zikihubiri siana na kuwa na ashki na siasa kiasi hiki,tutakua na nchi, mwisho wake nini!?
Nchi inaelekea pabaya wapi!?..Kama kujaza form ya kugombea serikali za mitaa huwezi,unafaa vipi kuwa kiongozi!?Acha upumbavu. We unataka asiseme kitu wakati nchi inaelekea pabaya. Kuhubiri siasa ukiwa na maana ya kupinga dhulma inayoendelea? Kwa akili yako iliyooza unafikiri viongozi wote wa dini wangekemea uovu unaofanywa na serikali nchi ingeenda kubaya? aisee....
Tuataona kama ni makelele tu.ni muhimu zaidi kanuni, taratibu, sheria na katiba ya nchi vikazingatiwa.
maelekezo na malalamiko yasio na mashiko kisheria ni makelele tu.
Father anaheshimika sana, lakini maoni yake ni completely useless kama hajayajenga katika msingi na ushahidi wa kisheria. Huruma haina maana sana kwenye ushindani
uchaguzi ni Nov. 27,2024🐒
huna haja kuonana na yeyote gentleman. Nov 27 piga kura kwendra zako nyumbani..Tuataona kama ni makelele tu.
Nchi inaelekea pabaya wapi!?..Kama kujaza form ya kugombea serikali za mitaa huwezi,unafaa vipi kuwa kiongozi!?
Hayo maelezo yanaonyesha level yako...Nchi inaelekea pabaya wapi!?..Kama kujaza form ya kugombea serikali za mitaa huwezi,unafaa vipi kuwa kiongozi!?
mashuduKuna mambo mengi tu kwenye Kanisa lake kama Katibu Mkuu wa TEC hajayafanyia kazi. Ningefurahi kumuona Padri Kitima akipambana kurudisha waumini wa RC wanokimbilia kwa Mwamposa na wachungaji wengine.
Ningefurahi kumuona Fr Kitima akipambana na mapadre wanaoua albino au kujihusisha na ufisadi wa fedha za kanisa.
Huyu Baba Padre aendelee tu na majukumu ya kuchunga kondoo wake. Hii kazi ya siasa awaachie wenyewe. Wanatuchanganya sana
Level yangu wewe huifikii,utakoseaje kujaza form ya kugombea serikali za mitaa ikiwa wewe ni mtu serious?Hayo maelezo yanaonyesha level yako...
Mimi sikujiandikisha kabisa pamoja na vi-SMS vyao ikiwa namna ya kupinga haya maovu.Father Kitima wakati anazungumza hivi karibuni amedokeza kuwa kumekuwa na uonevu kwenye mchakato wa Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa.
Amedokeza kuhusu vitendo vinavyoendelea vya kuengua wapinzani katika mchakato wa Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa na kuongeza kuwa aina hiyo ya uonevu ilianza mwaka 2016
Soma pia: Askofu Ruwa'ichi: Kuandikisha watoto kupiga Kura ni Hatari kwa Taifa, Tunalea Wahuni na Wezi
My take: Kwamba CCM ndicho kilichokuwa mstari wa mbele kupigania ukombozi afrika,kupinga ubaguzi afrika ya kusni lakini sasa ndicho chama kinchachofanya ubaguzi Tannzania. Je CCM wana sera ya apartheid/ubaguzi?
View attachment 3149271
Hayo uliyosema ni mambo madogo na ya kipuuzi ukifanananisha na mustakabali wa nchi.Kuna mambo mengi tu kwenye Kanisa lake kama Katibu Mkuu wa TEC hajayafanyia kazi. Ningefurahi kumuona Padri Kitima akipambana kurudisha waumini wa RC wanokimbilia kwa Mwamposa na wachungaji wengine.
Ningefurahi kumuona Fr Kitima akipambana na mapadre wanaoua albino au kujihusisha na ufisadi wa fedha za kanisa.
Huyu Baba Padre aendelee tu na majukumu ya kuchunga kondoo wake. Hii kazi ya siasa awaachie wenyewe. Wanatuchanganya sana
Mbona anayemsifia ndio ametufikisha hapa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Father Kitima wakati anazungumza hivi karibuni amedokeza kuwa kumekuwa na uonevu kwenye mchakato wa Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa.
Amedokeza kuhusu vitendo vinavyoendelea vya kuengua wapinzani katika mchakato wa Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa na kuongeza kuwa aina hiyo ya uonevu ilianza mwaka 2016
Soma pia: Askofu Ruwa'ichi: Kuandikisha watoto kupiga Kura ni Hatari kwa Taifa, Tunalea Wahuni na Wezi
My take: Kwamba CCM ndicho kilichokuwa mstari wa mbele kupigania ukombozi afrika,kupinga ubaguzi afrika ya kusni lakini sasa ndicho chama kinchachofanya ubaguzi Tannzania. Je CCM wana sera ya apartheid/ubaguzi?
View attachment 3149271
Siyo Magufuli na Samia?Mbona anayemsifia ndio ametufikisha hapa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Anzisha Uzi uyazungumzie ya Kanisa utajibiwa huko,Yeye acha atekeleze wajibu wake kama mwananchi,hakuna pa kujificha na uchafu huuKuna mambo mengi tu kwenye Kanisa lake kama Katibu Mkuu wa TEC hajayafanyia kazi. Ningefurahi kumuona Padri Kitima akipambana kurudisha waumini wa RC wanokimbilia kwa Mwamposa na wachungaji wengine.
Ningefurahi kumuona Fr Kitima akipambana na mapadre wanaoua albino au kujihusisha na ufisadi wa fedha za kanisa.
Huyu Baba Padre aendelee tu na majukumu ya kuchunga kondoo wake. Hii kazi ya siasa awaachie wenyewe. Wanatuchanganya sana
Lete fact hapa usilete mambo ya uongo huko ulaya umeenda mwaka gani na ukakuta makanisa na misikiti imefungwaHuko ulaya makanisa yanafungwa na kugeuzwa bar,club na msikiti kwa kukosa waamini