evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
Tangu Kitima apewe kipigo mmesha fanya nn mpaka sasa?Basi washauri wathubutu kumteka kama walivyomteka Mdude!
Mbona yeye hawaheshimu anaowatawala anaharibu kwa makusudi uchaguzi wa serikali za mitaa?huyu mama.
Kama kukaribisha wawekezaji ndo kuuza nchi basi nchi ilasha uzwa tangu kipindi cha mkapa.Ungwana wa kuuza nchi kwa waarabu? Au upi😁
Hao viongozi wa dini wao huwa wanakosolewa na nani mbona na wao wamejaa uozo wa kujitajilisha kwa sadaka, kutembea na wake za watu ?Askofu yupo sahihi kama mtu hajiheshimu pasta hili kuheshimiwa.
Halafu huu msamiati eti "kukosoa kwa staha" ni wa hovyo ukikosea unakosolewa .
Watawala wasijifanye miungu watu eti wakikosea wakosolewe eti kwa staha .
Na wewe paschal ni mpumbavu flani una mahoja yako ya kijinga sana pumbavu mkubwa wewe .
Unatambua kuwa mamlaka ya nchi yanawekwa na wananchi na uchaguzi unapaswa kuwa huru na wa haki si wa mtutu wa bunduki. Kama kweli ni mwamke kweli aitishe uchaguzi huru na wa haki.Huo ubavu wa kumshughulikua mnao au mtaishia kubwabwaja kwenye majukwaa tu?
Huyu mama alianza akiwa muungwana lakini mmemchokonoa wenyewe mpaka kiwango chake za uvumilivu kimeisha.
Hata wewe unaweza kuwakosoa kwani umewakatazwa? .Hao viongozi wa dini wao huwa wanakosolewa na nani mbona na wao wamejaa uozo wa kujitajilisha kwa sadaka, kutembea na wake za watu ?
Kwani sio mama Tena..!!.?Hii sio lugha ya mimbarini!,ni lugha ya kijiweni!,Rais wa nchi ni Rais!huwezi kumuita “huyu mama... mimi nikamwangalia tuu”!。Rais Aheshimiwe na Wote!Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
P
Unaendana sana, mimi nahisi ni umevuja ule.Hivi kweli ule waraka ulikua fake? Mbona unaendana na matamko ya Maaskofu.
Huyo mama atamaliza muda wake na atakufa na Viongozi wa Dini atawaacha..usijisahau.Akija kuanza kuwashughulikia kisawasawa tusije sikia makelele maana naona mnazidi kumchokonoa.
Tena ingekuwa bora hao viongozi wakristu wanaojifanya wajeuri wafungiwe na watengwe na huduma za kanisa .Na bado hadi tuheshimiane, kama mlidhani imeisha shauri lenu, mioyoni kuna @ vingi sana na hayupo wa kuzuia hii "bandika bandua"
Acha ujinga hamna kitu itawafanya...Nchi hii imepata uhuru na Viongozi wa Dini imewakuta haijawai wafanya chochote..Kuna vyama vingi vya kisiasa vimeanguka na kupotea kabisa katika nchi nyingi za Afrika..lkn Bado Kanisa limesimama.Tangu Kitima apewe kipigo mmesha fanya nn mpaka sasa?
Au ww unadhani serikali anapo walea hawa maaskofu miaka na miaka kwa matamko yao basi unadhani haina uwezo wa kuwashughulikia ikiamua?
Narudia tena nyinyi endeleeni kumchokonoa tu mtayaona makubwa zaidi ya hapa.
We jamaa umekuwa Bogas sana kila siku unazidi kushusha heshima yako uliokuwa nayo nyuma.Hii sio lugha ya mimbarini!,ni lugha ya kijiweni!,Rais wa nchi ni Rais!huwezi kumuita “huyu mama... mimi nikamwangalia tuu”!。Rais Aheshimiwe na Wote!Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
P
Ukiwa kiongozi ukajiheshimu na ukaheshimu wenzako utaheshimiwa,lakini ukitaka uheshimiwe wewe tu ukawadharau wenzako utadhalauliwa na ukidhalauliwa kiongozi na ukajiona unazalaurika ni mateso makubwa sanaHii sio lugha ya mimbarini!,ni lugha ya kijiweni!,Rais wa nchi ni Rais!huwezi kumuita “huyu mama... mimi nikamwangalia tuu”!。Rais Aheshimiwe na Wote!Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
P
Mkuu kuheshimiwa Rais ni sawa shida ni kwa nini iwe kwake tu na sisi asituheshimu?.Hii sio lugha ya mimbarini!,ni lugha ya kijiweni!,Rais wa nchi ni Rais!huwezi kumuita “huyu mama... mimi nikamwangalia tuu”!。Rais Aheshimiwe na Wote!Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
P
Namkubali sana Padri Samwel Muchunguzi makamu askofu katoliki bukoba
View: https://youtu.be/KcSIOQxAh64?si=7rOHRwCBPK3Bcu2R
My Take
Rais asiwasikilize wapambe kina Wasira, akubali reforms
Kama kiwango chake cha kuvumilia kimefikia mwisho aachie wengine wenye ngozi ngumu watavumilia matusi, kebehi, kejeli nk. Nafasi aliyopo inaweza kushikwa na mwingine na tukamsahau kesho tu!Huo ubavu wa kumshughulikua mnao au mtaishia kubwabwaja kwenye majukwaa tu?
Huyu mama alianza akiwa muungwana lakini mmemchokonoa wenyewe mpaka kiwango chake za uvumilivu kimeisha.
Watu wanatekwa ye anasema ni drama, utaheshimiwa vp hapo na waathirika wa tukio hilo?!Mkuu kuheshimiwa Rais ni sawa shida ni kwa nini iwe kwake tu na sisi asituheshimu?.