Padri William Ntengi Wa Jimbo Katoliki Geita Aondolewa Daraja La Upadri(Ukasisi)

mwacheni kamarade apige show maamae walay ile kitu simchezo eti unataka ishindane na nature thubutuuuuuuuuuu kama MD tanesco mwenyewe kaacha kid 15 wake wawili tena unaambiwa walikuwa watatu na vidumu usiseme unataka yeye aishi kama malaika ama, bora yeye kakataa unafiki
 
Huyu ndo yule aliyehusika kutafuta pesa kupitia kumwua Albino mtoto.

Anaonekana siyo Mtanzania PUMBAVU zake.
Anapaswa ANYONGWE
Hapana, siyo yeye, huyu jamaa namfahamu nimesoma naye o level
 
Kwan mapadre wanapewa posho au mshahara?
 
Kwan mapadre wanapewa posho au mshahara?
Mapadre wa Tanzania hawalipwi mshahara lakini mapadre wa Ulaya wanalipwa mshahara na kukatwa kodi na kuwekewa fedha kwenye mifuko ya kijamii pindi wakistaafu wasihangaike.
Huku bara la giza bado mnaambiwa ni kazi ya wito, kujitolea. Ulaya hakuna kujitolea hata anaefagia kanisa analipwa, huwezi ita watu kule eti waje wafanye usafi parokiani.
Tofauti nyingine huku bara la giza mapadre wote wanaishi parokiani, kule ulaya, sehemu nyingi ni paroko tu ndio anaishi parokiani, wengine wanapqnga huko mitaani, au kuishi kwa wazazi wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…