Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
- Thread starter
- #81
Iwepo Sheria ya kujipulizia pafyum
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikujibu nitagKwenda wapi
Pipa linakua bado ghafi. Baada ya kugawa kwenye vichupa ndo inakua pafyumu kamili.
Sijaelewa kwanini mnamshambulia Mtoa Mada,
Kwani huko kwenu hamuoni hayo mapafyum ya kupima?? Yamejaa tele hata wakazi wa Kigamboni karibu na kukata tiketi yanapoingilia magari kuna duka pale wanauza hayo madude ya kupima,
Mtoa Mada kasema ukitaka kufanya biashara nenda Babati kanunue Pipa lako uanze kupiga hela, wanatokea jobless wanaleta ujuaji, kwa kweli Jamii Forum kuna wajuaji sana na ukiwaangalia wengi ni graduates waliokata tamaa.
Hoja imepitaPaundwe Bodi ya Pafyumu Tanzania (BOPATA) wapewe na V8 za kuzungukia wadau wa pafyumu kote nchini
Mwenyekiti atoke Micheweni, ZanzibarHoja imepita
Ubarikiwe sanaa kwa MAONO yako! When you get the RIGHT CATALYST you're good to go!Utajiri wa halali na wa chapu upo kwenye kutengeneza petrol na diesel mbadala hasa kipindi hiki cha nishati kuzidi kupanda bei. Raw materials zipo zimejaa tele kwa cheap cost
Aisee!Ukitaka kuwa na pesa za chap chap! Basi Anza hii biashara ya kuuza pafyumu za kupima. Mzigo unaagiza kiwandani Babati, Manyara pipa 60,000 TZS+usafiri 50,000/= kutoka Babati-Dar es Salaam, gharama za chupa @5,000 faida wastani wa 1.6m mpaka 2.5m TZS kwa kila pipa. Upewe nini Tena?
View attachment 2247854
View attachment 2247863View attachment 2249528
Salam wakuuShida wengi wananunua perfume ambazo hawazijua ,wengi wakipita tu mjini wakiona machinga anauza perfume unanunua bila Hata kujua unahitaji ya aina gani,kisa tu umeambiwa ni nzuri
Umeshaambiwa Babati na namba umepewa tayariSalam wakuu
Kwenye uhakika wa panapopatikana material ya kutengenezea perfumes za kupima na vifaa vingine kama chupa empty na vifungashio vingine naomba msaada plz wa pakuvinunua 0673654598
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo chupa ndo zinabadili malighafi kuwa perfume?