Pafyumu za kupima-Utajiri nje nje!

Pafyumu za kupima-Utajiri nje nje!

Sijaelewa kwanini mnamshambulia Mtoa Mada,
Kwani huko kwenu hamuoni hayo mapafyum ya kupima?? Yamejaa tele hata wakazi wa Kigamboni karibu na kukata tiketi yanapoingilia magari kuna duka pale wanauza hayo madude ya kupima,

Mtoa Mada kasema ukitaka kufanya biashara nenda Babati kanunue Pipa lako uanze kupiga hela, wanatokea jobless wanaleta ujuaji, kwa kweli Jamii Forum kuna wajuaji sana na ukiwaangalia wengi ni graduates waliokata tamaa.

Zile perfume wanazouza pale oil chupa moja ni 180,000 huko chimbo bila kuongeza chochote
 
Utajiri wa halali na wa chapu upo kwenye kutengeneza petrol na diesel mbadala hasa kipindi hiki cha nishati kuzidi kupanda bei. Raw materials zipo zimejaa tele kwa cheap cost
Ubarikiwe sanaa kwa MAONO yako! When you get the RIGHT CATALYST you're good to go!
 
Shida wengi wananunua perfume ambazo hawazijua ,wengi wakipita tu mjini wakiona machinga anauza perfume unanunua bila Hata kujua unahitaji ya aina gani,kisa tu umeambiwa ni nzuri
Salam wakuu
Kwenye uhakika wa panapopatikana material ya kutengenezea perfumes za kupima na vifaa vingine kama chupa empty na vifungashio vingine naomba msaada plz wa pakuvinunua 0673654598
 
Salam wakuu
Kwenye uhakika wa panapopatikana material ya kutengenezea perfumes za kupima na vifaa vingine kama chupa empty na vifungashio vingine naomba msaada plz wa pakuvinunua 0673654598
Umeshaambiwa Babati na namba umepewa tayari
 
Back
Top Bottom