Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Kupitia tahajudi.. Hasa tahajudi maizi
And how long unafanya tahajud adi jicho la 3 kufunguka na inachukua miaka? Je kila ukitaka kufungua jicho la tatu adi ufanye tahajud au ukifanya iyo tahajud one time inatosha next time jicho la tatu litakuafunguka automatically bila tahajud
 
Mkuu kufungua
Jicho la tatu na ile nimewahi sikia inaotwa Astral projection ni vitu viwili tofaut au sawia
 
And how long unafanya tahajud adi jicho la 3 kufunguka na inachukua miaka? Je kila ukitaka kufungua jicho la tatu adi ufanye tahajud au ukifanya iyo tahajud one time inatosha next time jicho la tatu litakuafunguka automatically bila tahajud
With serious practice not less than 18 months
 
Mshana ulisema utanirudia mbona kimya ni mimi rafiki yako[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Sawa rafiki yangu mshana Jr
Hili jicho la tatu ni Nini na mtawezaje kulitumia?
Jicho la tatu ni dhana ya fumbo na esoteric ya jicho la kubahatisha lisiloonekana, ambalo kawaida huonyeshwa kama liko kwenye paji la uso, ambalo hutoa mtazamo zaidi ya macho ya kawaida. Katika mila ya kiroho ya Kihindi, jicho la tatu linamaanisha ajna chakra
Jicho la tatu ni la kiroho na huona ya mbeleni kabla ya jicho la nyama
Watabiri wengi hulitumia sana jicho hilo na hata baadhi ya hawa wanaojiita manabii na mitume japo wao hulipata kupitia ushirikina
 
Habari mkuu Mshana Jr Mimi ni muumini mzuri sana wa meditation. Mimi napenda kufanya meditation ya pumzi, Sasa wakati nafanya ile pumzi ninayoivuta taratiiibu kupitia pua huwa naisikia ikipanda kwenye paji la uso kwa ndani (huwa nahisi kiubaridi kikali sana cha aina yake), Je, hiyo ni dalili ya jicho la tatu kufunguka? Au nakosea naweza kujiletea madhara?
 
Usivute kwa kulazimisha fanya iwe natural breathing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…