Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

Apate sanaa tu, ILA AWAJIBIKE KWA MATENDO YAKE DHIBI YA JAMIII. Basi Insta mmekazanaa kweli kweli kuwapost voda. Hahahahaaaa! Huu ndo mwanzo tu.
Acha kujitekenya na kucheka mwenyewe!! Wcb team wana post voda daily.. kila siku wanachafua!!! Usije kutegemea abadani watu watatingishika na hii mikwara mbuzi ya kitoto
 
Kweli wewe una roho ya kichawi!! Kwahiyo na akili zako ndogo mwenyewe umekaa unasubiria diamond aadhilike.!! Kweli ndio Maana mungu akaumba jehanum Maana watu kama nyinyi huko panawahusu sana

Mambo mengi sanaa duniani yaanziaga kwa watu wenye akili ndogo sanaaa. Ukipata mda soma hiko kitabu cha GRAIN OF WHEAT kitafungua macho sanaa.

MTU MDOGO KAMA MIMI NI BALAAA ZAIDIIII NA BALAAA KWELI KWELI KULIKO HATA MTU MKUBWA. HIZI ALLEGATIONS ANGETOA MANGE ANGEAMBIWA ANA KINYONGO CAUSE VODA WALIKATISHA MKATABA NAE BAADA YA KUSHINDWANA. ANGETOA MSAANII WA KIKE ANGEAMBIWA ANA WIVU SABABU HAJATOKA.

ILA NIMETOA MIMI LARA 1, MTU MDOGO SANAA KWENYE JAMIII, SINA TITLE YOYOTE ZAIDI YA MTEJA TU WA VODA. Sasa napewa mavitu makubwa makubwa kama ma email ya hao mabosi, napewa in and out ile endorsement ilivokuwa. Haya sasa mtu mdogo mie huyoooo. Nangoja mtume vingineee. Watu wekaa wekaaa, siendeshwi na mtu, hizi tuhuma nimezianza mwenyewe ziatenda navotaka mie. Bill Cosby ilichukua miaka 40 kumtumbua na tangia hapo hajatumbuka so na mimi nimeanza mdogo mdogo.

THE BEST PART KUWA MTU MDOGO YOU HAVE NOTHING TO LOSE, CAUSE YOU HAVE NOTHING TO BEGIN WITH, USEME LABDA NITAPOTEZA KITU FLANI NGOJA NINYAMAZE. I HAVE NOTHING TO LOSE HATA ASIPOCHUKULIWA HATUA KWANI SILI KWANGU NA KUNYA? ILA KAMA MWANAJAMII YOU HAVE TO THINK BEYOND YOURSELF.

MTU MDOGO MIMI NIPO KAZINI.
 
Hahaa! So, it's like am waiting for Azam Marine boat to Zanzibar at Dar es salaam international airport!!

@lara1, please do me a favor! Do Nyani Ngabu's findings true? I'd love to know that version coz' my interest now is to find out whether this discussion worth interrupting my sleeping schedule!!
 
Acha kujitekenya na kucheka mwenyewe!! Wcb team wana post voda daily.. kila siku wanachafua!!! Usije kutegemea abadani watu watatingishika na hii mikwara mbuzi ya kitoto

Hahahahaaaa! Pole washa anza kuja na front na data muhimu ujue ndo basi..

Suposedly nikijitoa ufahamu nikapita short cut yao na ku cycle tu picha kwenye bango, kuattach screenshot allegations za Debby, medical report kaipost tayari, RB iko live tayari na kuandika tu RAPIST IN YOUR BILL BOARD, nikatuma kwa huyo Ian unadhani Ian atafurahi sanaa, na hivi mzungu, kama wanaomsulubu Cosby atatetemeka sio kidogo. Ohh my God! Hahahaa!

That is typical me and typical hood, sio lengo la hizi harakati.

SI AJABU ALIETUMA HIZO EMAIL MTU MDOGO SANAA HUMO VODAAA.

MZAHA MZAHA HUTUMBUA USAHAAAAA! HAHAHAAAA!

Endeleni kuniminya na kuniminyua mbupu naweza ona kwani kitu gani nika foward tu. Hahahahaa!

Anyway it will be ashame not even trying kwenda Media takeout na TMZ and Linda Ikeji nishampa exclusive, anangoja Debby amjibu DM zake kuwa kweli. THE HUSTLE TO CLEAN OUR SOCIETY IS REAL.

Hapo mnaniona shetani mwenye pembe sabaaaa. Hahahaaaaa!
 
Hichi ukisemacho Lara 1,na kwakuwa kinawagusa wanaume wengi wa kiafrika hasa tz basi wanaona kama hayapo... Ukwel acheni usemwe ata kama haukuonekana nyuma huko yaweza kuwa ndo muda wake.......
 
Anyway it will be ashame not even trying kwenda Media takeout na TMZ and Linda Ikeji nishampa exclusive, anangoja Debby amjibu DM zake kuwa kweli. THE HUSTLE TO CLEAN OUR SOCIETY IS REAL.

Hapo mnaniona shetani mwenye pembe sabaaaa. Hahahaaaaa!

Nilidhani umeenda CNN kumbe Linda[emoji23] [emoji23] [emoji23] .!!
Tuma na BBC
 

Ndugu sawa umeeleweka ,lakini mimi binafsi na kwa faida ya wengine ambao hawajui hiyo lugha uliyoitumia ni vema ukalirudia hili andiko lako kwa lugha inayoweza kusomeka kwa ufasaa,kama unataka kutumia kiingereza tumia mwanzo mwisho,na kama unataka kutumia kiswahili tumia pia mwanzo mwisho,tafadhali kuwa mkiongoni mwa watu wanaojivunia lugha yako hata kama umesoma sana lakini bado wewe ni mtanzania na lugha yako ni kiswahili
 
Nilidhani umeenda CNN kumbe Linda[emoji23] [emoji23] [emoji23] .!!
Tuma na BBC

HUHITAJI KUUA NZI KWA BOMU WALA MBU KWA KOMBORAAA. Huyu huyu Linda Ikeji tu. Huwezi kukimbia kabla hujatambaa.

SABABU NISHA PLANT IDEA YA RAPIST IN YOUR BILLBORD HAPA HADHARANI, NA HAYO MA EMAIL MTU AKITIA NIA, ANAMUULIZA TU MTU WA VODA, ANAWEZA KUYA FOWARD VILE VILE COZ VOTE HIVO VIKO PUBLIC MTU TU KUTIA NIA.

Sasa wanaweza kumtuliza bwana public haijastukaaa, najua yule mzungu, lazima atagoogle sasa NDO MI POST KAMA HII ITAANZA KUIBUKA WATEJA SUGU TUNALALAMIKA NA KU ILINK VODA MOJA KWA MOJA NA MTUHUMIWA. NA KUNYAAA HUMO HUMO.

See my point ya kutambaa kabla hujakimbia. Maana ingetangulia ile akagoogle na kukuta nothing kidogo ingempa moyo, ila trust me akigoogle sahivi atafurahiii, maana hii mada ishakuwa reposted sanaa. Hahahaaaaa.

HUU MCHEZO HAUTAKI HASIRA NA MZAHA MZAHA HUTUMBUA USAHA.

Ila all in all you resiously think hio michupi ya Mange? Hahahaaa! Mange most of the time anavaa BIKINI, THONGS, G STRING next mapya dada Zenat ajipange upya.
 
Hoja sio kushindwana hoja ni kwamba ulikuwa unashadadia matangazo ya hao hao Vodacom kwa Mange wakati Mange anaongoza kwa kukashifu na kutukana watu matusi ya kutisha!! Na wengi anaowakashifu na kuwatukana ni hao hao wanawake unaojifanya hapa kuwaonea uchungu!

Lakini si Mange tu, hata wewe mwenyewe humu ushawahi kutoa posts za kumkashifu Zari!! Kwahiyo mwenye akili timamu anafahamu hoja yako wewe sio kutetea wanaodhalilishwa bali ni you against Diamond and probably na Zari na umeamua kutumia suala la Rommy kupenyeza agenda zako huku ukijaribu kuokoteza vijihabari kutoka magazeti ya udaku kuwa eti ndo hoja ya kuthibitisha Diamond nae since then amekuwa akidhalilisha wanawake!!

The good thing ni kwamba, ni zaidi ya saa moja sasa nimekuomba utoe hizo source lakini umeshindwa but still you expect Vodacom to end someone's contract basing on baseless allegations from anonymous!!
 

Nisaidie basi kutafsiri KINGLEZA SIJATHOMA MWENZIO UJUE, English nimejifunzia kwenye muvi tu ujue. CHONDE CHONDE BABA NAOMBA UNITAFSIRIE KINGEREZA KILICHO NYOOKA, CHONDE CHONDE FATA KANUNI ZA UANDISHI, VERY IMPORTANT PERSON ANAWEZA KUIGOOGLE HII MADA AFU AKASHINDWA KUPATA PICHA. Fanya hivo ndugu yangu, fanya hima himaaaa. Nakutegemea usiniangushe mzungu wangu.
 
See my point ya kutambaa kabla hujakimbia. Maana ingetangulia ile akagoogle na kukuta nothing kidogo ingempa moyo, ila trust me akigoogle sahivi atafurahiii, maana hii mada ishakuwa reposted sanaa. Hahahaaaaa.

Mi nataka kuona matokeo ya hizo plan zako sio kunisimulia elaboration za ndoto zako za mchana.. nataka nikuonyeshe power ya WCB against you stupid haters!! Lets play this game girl and see who comes out a winner..
 

See, say no more 'cause you already know!
 

HAHAHAAAAAAAAAAA! Naona umerudi si uliamua kunyamza wewe. HAHAHAAAA.

2 WRONGS DONT MAKE A RIGHT. Voda walishatambua makosa yao Thanks to you for nothing, na mimi shabiki maandazi i was wrong kwa kutokuona makosa ya Voda, the nice part is wamejitambua na KUSOLVE hilo. Sasa kwasababu nilishadadia mimi mtu mdogo Lara 1, mteja wa buku buku NDO WAACHE TANGAZO LAO NA RAPIST sababu mshangiliaji ndo kapoint out. Hahahahaaa! Interesting.

Zali nishamuomba msamahaaa, uungwana ni vitendo na nimekubali kule kulikuwa kuingilia uhuru binafsi hata siku haijaisha toka niombe huo msamaha tena humu humu YET STILL EVEN AFTER KUOMBA HUO SO CALLED MSAMAHA STILL BANGO LA VODA TZ LINA WANTED FUGITIVE FOR RAPE CHARGES IN SWEEDEN UNAWASAIDIAJE VODA SASA HAPO?
 
Mi nataka kuona matokeo ya hizo plan zako sio kunisimulia elaboration za ndoto zako za mchana.. nataka nikuonyeshe power ya WCB against you stupid haters!! Lets play this game girl and see who comes out a winner..

Matokeo ndo utulie sasa sio kupaparika, kesi ya Bill Cosby yenyewe ilichukua miaka arobaini US alafu mwanangu, je bongo si miaka hata 100 ukute. Sasa haraka ya nini? NO HURRY IN AFRICA, HAKUNA MATATA!

Power ya WCB mi naijua sanaa, I AM A FAN, JUZI TU NIMETOKA KUMPIGIA HARMONIZE DEBE ASIPOPEWA TUZO WALAU 5 NA KILLI AWARDS NAANDAMANA. Cheki nyuzi zangu za nyumaa, nilitokwa povu kweli watu kusema kijana hana kipaji, weeeeeee Ayooola tenaa. Kishingo upande jana nikaona kamuita Dee jay gani sijui Dj anae zingua jamaniii mbona Harmo hivo tenaaa.

POWER YA WCB NAIJUA SANAAAA. ILA RAPE CHARGES MY DEAR IS NOT A JOKE. Huo mda wa kunionesha mimi power malizaneni na Debby. Hahahaaa DONT FORGET MIMI MTU MDOGO SANAA SINA EFFECT KWENYE JAMIII. NYIE TENA WCB NI UNTOUCHABLES.
 
Mara ya kwanza nilikuuliza ni nini kimekufanya udhani sijaona hiyo interview hujajibu but the very same irrelevant information!

Alichoongea Sallam ni kwamba Rommy amekuwa na mawasiliano na yule demu for almost 2 years na walipofika Sweden yule demu akamfuata Rommy akiwa amemletea zawadi ya simu!!

Putting other cra'ps aside, baada ya hizo allegations Sallam akakaa na huyo demu ambae alitaka kuwa compensated $12K! Sina haja ya kueleza yote ila tu nakushangaa unavyong'aninia kwamba hizo habari nazikuta hapa wakati nazifahamu from the very first day!

Labda nikujuze jambo moja; mimi jukwaa langu kuu JF hii ni entertainment and celebrity and it didn't happen by chance coz' even what I do in real world relates to forums of my interest hapa JF kwahiyo acha kung'ang'ania vitu usivyovijua!

Kwamba hapa sio mahakamani ingawaje ulidai una ushahidi; unathibitisha jambo moja tu... blah blah coz' kama uliona ni Mahakamani pekee ndiko unaweza kutoa evidence; sasa nini kilikufanya ulete hoja yako JF !!

Anyway, I ain't that kind of a person who loves arguing with no evidence... mie sio mfuasi wa habari za kuokoteza vichochoroni... so, stay blessed!!!
 
umegeuza umbea kuwa mtajiii,,,shame on you.... Wema anapigwa afu hasemi muda huo anapigwa ulikuwepo? yaaan mibongo bna jitu linaish changanyiken huko linajifanya habar za Sinza zote linazjua...hahhaha Cheza na mwingne Sio Chibu Dangoteee........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…